ule mswaada wa cameroon umeshapitishwa Tayari..!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
ndo ule mswaada wa kameruni waziri aukubali.utaamsha hisia zako ili kujiandaa kushughulikiana?.mia
 
Hii ndiyo siku alipokuwa akihutubia mkutano wa jumuia ya Madola...
Cameron.jpg
 
natamani nimchinje huyu cameroon nyama yake nimpe pusi ale,pusi nimpe sumu afe nikamzike katikati ya bahari
 
natamani nimchinje huyu cameroon nyama yake nimpe pusi ale,pusi nimpe sumu afe nikamzike katikati ya bahari

hivi kama nyie wasichana inawauma nini?watakao oana si wanaume kwa wanaume?wewe kam wewe unaathirika vipi?mia
 
Wananchi wangesimama Kama wao kutofanya hayo hata Kama serikali imeruhusu. Kwani hiyo misaada Yao wananufaika viongozi na sio raia. Hii kitu inasikitisha kwani tatizo sio pesa ila ni akili ndio maana wanaomba kila kukicha watoe viboga vyao wanaonufaika na waache kutuharibia vizazi vijavyo.aaaaaarrrrrrgggghhh
 
in red...
mgongano wa kimaslahi...mia

ndo nataka fais buku aniambie kwa mfano ndo sheria imepitishwa,yeye kama mwanamke anapata matatizo gani?au yeye kwanini anaipinga?koz nilijua hili ni janga la wanaume.je wasichana kwanini wanalalamika.mia
 
Mkuu wa kaya aliwahi nena ukitaka kula lazima uliwe.....nadhani kamerun alimnukuu ndio maana akaja hii bila chenga
 
hii itasadia nchi zetu hiz kupunguza kuombaomba maana imekuwa 2mellwa na misaada hatutaki kujtegemea thus y 2naombwa tgo
 
Back
Top Bottom