Ulaya wamgomea Magufuli

Kwani wazungu ndio wanawatuma muibe rasilimali za taifa lenu?ndio wanawatuma muibe na kutafuna kodi za watanzania? Hivi wale wanyama hai mlio waiba na kuwapakiza kwenye ndege mlitumwa na wazungu?
Well said Waafrika kila kitu wanamsingizia mzungu kweli Africans are whitemen's burden naona Mzungu anamjutia Mungu kutuumba maana alitutumikisha kama watumwa tukalia akaacha, akaja akatutawala kama makoloni tukalia weeeeeee akatupa Uhuru, leo tunavuruga wenyewe nchi zetu bado kosa la mzungu!!!! Kweli kasheshe...
 
Serikali ya watu, iliyowekwa na watu kwa ajili ya watu haihitaji kuhangaika sana na maneno ya nje. Kipaumbele chake ni kuwasikiliza wananchi wake wanataka nini hasa. Ikishindwa kuwasikiliza wananchi wake basi isishangae kukumbwa na dhahma ya kulazimika kujielezaeleza kwa "watu baki". Na hapo ndipo utimilifu wake (integrity) utakapopimwa.
 
Hivi ulaya wao ni nani katika Dunia hii?
..Kuna usemi usemao ujionavyo ndivyo ulivyo.......
 
nachukua nafasi hii kukupongeza kwa ujasiri wa kiwango cha kutisha ulionao kwa kuendelea kusikiliza TBC redio .
 
......Atafanya mazuri yote lkn kimataifa itatuletea dosari kubwa sana!
#znz could disqualify his........../
 
Acha wamgomee tu hakuna namna, hata viwavi tutakula mbona Dodoma wamekula Na wanaishi
No sanctions for us pliz! Sina ukereketwa wa chama chochote na sioni kwa nini mimi na familia yangu tuumie kwa ajili ya watu wanaong'ang'ania madaraka. No! No! No! Imetosha. Wengine tulioenda mstari ulionyooka kwa miaka kumi tulipata matumaini alipoingia Magufuli. Fikra za halali au haramu tulizisukuma nyuma kabisa. Tulishangilia kwa nguvu zote sio tu kwa kumkaribisha mgeni bali pia kuondoka kwa mwenyeji.

Ninachotaka kujua kwanini mnyonge a-give in siku zote kwenye nchi hii? Kwanini Magufuli asitume watu wakaongee na Shein, akubali kushindwa.

Magufuli has to do the right thing. Kwa ajili ya watanzania na Mungu wake. After all msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Zanzibar..napata tabu hata kuitafuta kwenye ramani.
images
 
Kwa EU ni nani ? wao ndiyo wana dhamana ya Watanzania, na Wazanzibari?

Mbona Yoweri Mseveni au Misri hawaambiwi chochote.
washike adabu zao na kuheshimu uhuru wetu, Sisi huwa hatuwaingilii mambo yao
 
Hizi nchi za magharibi zinadharau sana nchi za kiafrika na sisi tunachangia sana kwa kuwabembeleza. Mifano ipo mingi na mmoja ni kwamba Tanzania ilipewa adhabu kubwa kwa kushabikia na kujiingiza kwenye mapambano ya kusini.
Kwa sasa wala siyo ishu kwani duniani sasa kuna economic power ya mashariki.
Ningekuwa mshauri wa JPM ningemwambia anyamaze na aende kule linapochomoza jua.
Kule hawongei kidhunguu?
 
Onyesha vifungu vya katiba ya JMT au ya Zanzibar vinavyompa JPM mamlaka ya kuingilia kati mambo ambayo si ya muungano yaliyopo upande wa visiwani
 
Ingawa nayo EU imeficha maovu yake kwa mwavuli wa maendeleo yake, kwamba kwakua wao wanajiweza kiuchumi basi hata baya kwao ni sahihi na yale yetu yote ni mabaya kwakua sisi tumechelewa kupata maendeleo kwa fitna zao basi hata akili ya kujiamulia mambo yetu tena haipo, na kila wanalotuambia wao ni vyema tukalifanya hatupaswi kulikaidi. Huyo ndio Mzungu.


Kwa vile CCM wao wanauwezo wa kula viwavi jeshi ndio maana wanataka watanzania sote tule viwavi?
 
Back
Top Bottom