Ulaya wamgomea Magufuli

wagome tu,hawatusumbui hata kidogo.hawana haki ya kutuamulia cha kufanya.kama ni vimisaada vyao wavikate tuu..
 
Sijui lini na Tanganyika yetu tujichagulie Raisi wetu!. Hii ndoa ya jina Tanzania naona inaleta mpaka kichefu chefu!
 
Ingawa nayo EU imeficha maovu yake kwa mwavuli wa maendeleo yake, kwamba kwakua wao wanajiweza kiuchumi basi hata baya kwao ni sahihi na yale yetu yote ni mabaya kwakua sisi tumechelewa kupata maendeleo kwa fitna zao basi hata akili ya kujiamulia mambo yetu tena haipo, na kila wanalotuambia wao ni vyema tukalifanya hatupaswi kulikaidi. Huyo ndio Mzungu.
 
Yule mkurugenzi wa tbc naamini hawatendei haki watanzania walipa kodi ambayo ndio mshahara wake
Kwanza kile kipinde cha magazetini wangeacha na kukifuta kama walivyofuta Bunge. Kwani hata yale magazeti ni live na kushindwa kusoma kitu kinachoonekana na mtazamaji live ni mateso kwa mtangazaji mwenyewe eti kisa kuwafurahisha wakubwa. Wafute tuu ili wafurahi, siku hizi hata mitandaoni tunayasoma.
 
Fifiemu wanafanya mgogoro Zanzibar kuendelea jinsi ilivo. Ww akilizako zina wadudu maana katika umoja wa mataifa Zanzibar haitambuliki kama nchi inayojitegemea ndio maana hata raisi wa zanzibar hatambuliki kama raisi.ndio maana Zanzibar inashindwa hata kushiriki kwenye mikutano ya jumuia ya madola na hata kushiri kwenye michezo ya kimataifa ktk kuwakilisha timu ya taifa. JPM ndio wanae mjua kuwa anahusika.
 
Kwanza kile kipinde cha magazetini wangeacha na kukifuta kama walivyofuta Bunge. Kwani hata yale magazeti ni live na kushindwa kusoma kitu kinachoonekana na mtazamaji live ni mateso kwa mtangazaji mwenyewe eti kisa kuwafurahisha wakubwa. Wafute tuu ili wafurahi, siku hizi hata mitandaoni tunayasoma.
Huo ndio utamaduni wao mkuu,wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mwaka jana kuna member wa jf alileta pia malalamiko ya mtangazaji wa tbc jinsi alivyokuwa anaruka habari zilizokuwa zina mhusu lowasa,haya matangazaji sijui kwa tabia zao hizi kama yakitoka tbc yanaweza kwenda tv station nyingine
 
ni wakati sasa wa kuja na ID yako original unaweza pata kazi Lumumba

swissme
Mkuu apate kazi mara ngapi tena?alipombeba prince na kupiga kikongwe wa siasa hapa nchini ndio akapewa ako kanafasi
 
Ingawa nayo EU imeficha maovu yake kwa mwavuli wa maendeleo yake, kwamba kwakua wao wanajiweza kiuchumi basi hata baya kwao ni sahihi na yale yetu yote ni mabaya kwakua sisi tumechelewa kupata maendeleo kwa fitna zao basi hata akili ya kujiamulia mambo yetu tena haipo, na kila wanalotuambia wao ni vyema tukalifanya hatupaswi kulikaidi. Huyo ndio Mzungu.
Kwani wazungu ndio wanawatuma muibe rasilimali za taifa lenu?ndio wanawatuma muibe na kutafuna kodi za watanzania? Hivi wale wanyama hai mlio waiba na kuwapakiza kwenye ndege mlitumwa na wazungu?
 
Kwahio wakimgomea
Kuna tatizo gani!
Minaona wakazane kugoma
Wewe unaishi hapa tanzania kwa matazamio kwani kwenu amani ikurudi unatimka na kutuwacha sisi wabongo na njaa zetu huku watoto wakifa kwa kukosa madawa
 
Mkuu apate kazi mara ngapi tena?alipombeba prince na kupiga kikongwe wa siasa hapa nchini ndio akapewa ako kanafasi
mwekitiki wao aliapa kuwa vijana 46 wa ccm mtandaoni wamechoka hadi ubongo zao hazifanyi kazi waangaliwe.

swissme
 
Hivi mh MaGu akiingilia hili kwa mujibu wa katiba atakuwa ameivunja bado jumuia hii hii ya Ulaya itamtaka kwenye mahaka zake huko uswiswi aargh hamna namna hapo ni kusimamia kile katiba inataka ndio uongozi bora
 
Kwani wazungu ndio wanawatuma muibe rasilimali za taifa lenu?ndio wanawatuma muibe na kutafuna kodi za watanzania? Hivi wale wanyama hai mlio waiba na kuwapakiza kwenye ndege mlitumwa na wazungu?

eti tumechelewa kupata maendeleo kutokana na fitina za wazungu...khaaaa...eti haki ya kujiamulia mambo yetu... tena saa nyingine ni afadhali hata wazungu wanapoingilia hayo mambo yetu...maana bila hivyo tungekuwa tumeshaanza kulana nyama na ingekuwa ni utaratibu wa kawaida tu... refer issue ya albino ilivyokuwa imetupwaga kapuni alafu refer issue ya babu wa loliondo ilivyopata support ya serikali...
 
Kweli kabisa mkuu hawa jamaa wa lumumba kuna vitu wanatetea utadhani wao siyo watanzania
 
Kweli kabisa mkuu hawa jamaa wa lumumba kuna vitu wanatetea utadhani wao siyo watanzania

hawa sijui ndio vijana wa lumumba wananitia huzuni sana...maana wanatuangusha sana jamani, sijui kwanini hawakubali tu ukweli jamani tukaanza kulijenga hili taifa.
 
wakati mwingine ni vema ukaangalia ni nmna gani unapata ugali wako wa kila siku kuliko kufanya kazi ya kufurahisha umma,inawezekana akawa mzalendo kwa hilo
 
Back
Top Bottom