Ulaji chipsi kwa wanaume hupunguza nguvu za kiume

Chipsi siyo tatizo, mafuta ndiyo haswaaaa tatizo! Cha kufanya baada ya kula chipsi, PIGA KONYAGI NA PILIPILI NYINGI
 
Ulaji wa chakula aina ya chipsi kwa wanaume husababisha upungufu wa nguvu za kiume.Taarifa hii nimeipata Mlimani tv nilipokuwa naangalia kipindi cha Jarida la habari,hivyo wanaume wanashauliwa kutopendelea kula chipsi,pia ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi huweza pia kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.Wanaume tuwe makini ili kuepukana na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume.

Hakuna ukweli wowote hapo looking at the Food Content its purely CHO (Carbohydrate) au kwa kiswahili wanga na wanga upo kwenye vyakula vyote! nafikiri ukuelewa vizuri hilo somo! Na kwa taharifa yako Carbohydrate ni source of energy. Lakini sio ajabu inawezekana ulikuwa unaangalia iyo habari ukiwa na bia mdomoni kama sio mkononi.
 
Mimi sio mynywa pombe ndugu yangu,hiyo habari niliiangalia mwanzo mpaka mwisho na ndo nikaamua kuwafahamisha wana jf wenzangu.
 
Nadhani tatizo hapo saio viazi bali ni hayo mafuta yanayokaangia viazi ndo yanayoleta shida.Nakubaliana na wale waliosema kuwa wanaume inabidi tuepuke sana vyakula vyenye mafuta kwa wingi na pia mazoezi ni muhimu ili kufanya damu iweze kuflow vizur kwenye maeneo yote ya mwili hasa maeneo nyeti.
Huwezi kuacha kutumia mafuta sababu nayo ni source of energy mwilini, unachotakiwa kufanya ni kama Speaker alivyoshauri hapo juu, mafuta yatakuja tu hata ule ugali, nyama n.k, so tafuta namna ya kuyaondoa.
 
Jamani acheni kutishana. Mi mbona nimekula chips miaka nenda rudi na mambo ni mwendo mdumdo tu?!
Naona zile mila za kizamani za kuzuia wanawake wajawazito kutokula mayai eti watazaa watoto wenye vipara zimeanza kurudi kwa mlango wa nyuma.

Ukila mayai unanenepa, na mtoto akinenepa atashindwa kutoka, na zamani hakukuwa na operesheni!
 
Chipsi siyo tatizo, mafuta ndiyo haswaaaa tatizo! Cha kufanya baada ya kula chipsi, PIGA KONYAGI NA PILIPILI NYINGI

Kwa wale ambao uwezo ni mdogo nadhani "GONGO" a.k.a. "CHANG'AA" inaweza saidia.
 
Duh natamani nipunguze hz nguvu za kiume maana zinavyonipeleka,cjui hata kwanini watu wanazitabikia.Naogopa hata kwenda kutest 4 HIV maana nimewatandika hapa kitaa halafu wanasimuliana,natamani dawa ya Babu ingekuwa ya kweli
 
]Ulaji wa chakula aina ya chipsi [/B]kwa wanaume husababisha upungufu wa nguvu za kiume.Taarifa hii nimeipata Mlimani tv nilipokuwa naangalia kipindi cha Jarida la habari,hivyo wanaume wanashauliwa kutopendelea kula chipsi,pia ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi huweza pia kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.Wanaume tuwe makini ili kuepukana na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume.
Basi waanga wakubwa watakuwa ni wakaazi wa Yuropa na Amerika ya kaskazini, maana uko ndio zinalika sana.

Kuna hatari migahawa ya mcdonalds, burger king, kfc, subway na starbucks, kuja kushitakiwa siku za mbeleni na walaji wa chips.

Na kule mitaani kwetu sijui itakuwaje ikithibitika kuwa hii habari ni kweli.
 
He he hee! Yaani wanaume kiboko yetu mtu akutishie usalama wa hiyo nguvu ya kiumeni!! Naona tayari watu mmekamata matikitiki maji!!!
 
Ulaji wa chakula aina ya chipsi kwa wanaume husababisha upungufu wa nguvu za kiume.Taarifa hii nimeipata Mlimani tv nilipokuwa naangalia kipindi cha Jarida la habari,hivyo wanaume wanashauliwa kutopendelea kula chipsi,pia ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi huweza pia kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.Wanaume tuwe makini ili kuepukana na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume.

nahisi ni kweli, ila we baada ya kuliona hilo ulifanya uchunguzi binafsi?
 
Speaker the way tu unavyotingisha kichwa katika avatar yako inaonesha unapenda... Acha longolongo ina maana unataka uwe unatumia V???

Viagra?
no way,hata glucose tu wanayo sema inaongeza nguvu baada ya uchovu wa
mazoezi hua situmii,..
ukitaka kunikamata nambie kitu flani "natural" kina saidia,...
siogopi chips wala mafuta maana najua jinsi ya kuya handle ipasavyo
 
mama yangu nimekwisaha make iko ndo chakula yangu kila thiku laaah! Mie ndo bath tena!!!!!
 
Nyie mnataka biashara za watu zife sasa duh!! Hii research haijakamilika maana huwezi kuamka na kusema chipsi zinapunguza nguvu za kiume bila kutoa sababu na jinsi gani ya kuepuka ilo swala.
 
Nyie mnataka biashara za watu zife sasa duh!! Hii research haijakamilika maana huwezi kuamka na kusema chipsi zinapunguza nguvu za kiume bila kutoa sababu na jinsi gani ya kuepuka ilo swala.
Asante mkuu tatizo sio viazi, hata hayo mafuta sio tatizo ila inategemea yanatumiwaje kwenye viazi hapo ndipo tatizo linapoaanzia
 
Nitatumia kondom zilizozinduliwa UK zenye mafuta ya viagra maana sdasa kila msosi mnasema mbaya tule Nyasi?
 
Back
Top Bottom