Ulagai wa baadhi ya wanaume,

kiplagati26

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
305
135
Katika mabadiliko ya kila siku kwenye jamii,kuongezeka kwa kasi ya utandawazi, kukosa malezi mazuri ya familia na mbali zaidi kukosa elimu ya dini ambayo ndio msingi mkuu kwa maisha ya binadamu wa leo wasichana,wanawake wengi wenye ndoa na wasiokuwa na ndoa wamekuwa wakilagaiwa na wanaume wenye ndoa na wasio kua na ndoa na hata vijana kwa jina kuu Serengeti boys, wanaume wengi wenye ndoa zao uwalagai na kuwapumbaza wanawake/wasichana wapumbavu kwa pesa na vitu vidogo kama nyumba, na Gari na kuwapumbaza akili zao kasha nao kuinguia mkenge na kuchezewa then mwanaume akichoka anasanuka,,,

kama ujaachiwa ukimwi basi gono, na magonjwa mengine ya zinaa, kama ni mke wa mtu unaweza kupata vyote na zaidi kualibu familia yako,,,, Kwa baadhi ya wanaume wasio kuwa na familia au ndoa yani vijana wa kileo ananza kumupumbaza mwanamke kwa kumwita maneno matamu oooh dear, ooh baby, ooh my sweat apple, my pie wangu ooh my love na maneno ya bashasha mengi sana ooh unajuwa wewe mrembo, Basi wanawake/wasichana baadhi ndio wanapumbazwa na kuwa wapumbavu nao utakuta wanaludisha ooh my dear, hati sweateee, ok baby , ooh my wangu ah ah ah mwisho wa siku baby imekuwa baby, dear imekuwa dear tayari kashapumbazika na kuwa complete mpumbavu, mwisho wasiku anaingia mtegoni nakuishia kuchezewa kama mpira ,mwisho anaingia katika matatizo na kupata magonjwa na kuitawanya familia kama ni mke wa mtu.

Ndio tatizo kubwa la WANAWAKE /WASICHANA/VIJANA WA KIKE NA WALE WENYE NDOA ZAO kuwa WAPUMBAVU Mambo hayo yanapatikana kwa wingi sana ukisoma vitabu vya Dini kama Biblia na Qur'an (MITHALI 14:1-3) Uchavu na mapigo mengi yatawapata (ISAYA MLANGO WA TATU 3) Madhala yao ni makubwa sana na ya muda mrefu kuliko hata zile starehe za muda mfupi na kuongezeka kwa wingi na kazi kubwa kwa watoto wa mitaani na yatima.

TUJITAZAME KWA SISI WANAUME TUTAWACHEZEA WASICHANA MBAKA LINI, NA NYIE WANAWAKE KWA WASICHANA MTACHEZEWA MBAKA LINI UJUMBE UWAFIKIE NATAMBUA UKWELI UNAUMA LAKINI NI BORA KUJIFUNZA NA KUCHUKUA HATUA..AMANI IWE NANYI NA MALEZI MEMA KWA WATOTO NA FAMILIA
 
mbona uko mbali sana, yaani kuhongwa gari au nyumba. wengine huhongwa hata vinywaji tu. lakini all in all moto unasubiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom