Ulaaniwe ewe tiGO kwa kukwamisha huduma za Internet kwa siku nne mfululizo!

Jana niliamua kununua muda wa hewani kwa njia ya tigo pesa, nimenunua mara ya kwanza 3000/=, wakaniletea sms kuwa nyongeza imefanyika, kuangalia salio, hakuna kitu.
Nikaamua kununua tena 2000/= ikawa kama mwanzo.

Kwakuwa nilikuwa Mosh mjini nikaamua niingi tigo makao makuu, nikawaeleza tatizo langu. Wakanakili na ya muamala pamoja na namba yangu ya simu. Wakaniambia ndani ya masaa 24 watalifanyia kazi. Hadi muda huu hakuna lolote.

Tigo achane Wizi
 
net ilikata nkajua kwangu toka juzi tigo ovyo ovyo tigo pesa chali net nayo chali skuizi ukiweka buku dk 2 tu imeisha sjui wana nini wamekuwa wezi kweli skuizi na wababaishaji
 
Jamani tiGO ni wezi, hakuna wa kutusaidia. Hapa swala ni kugomea huduma zao.
 
Siku hizi wameondoa zile ofa za dakika za bure ambazo zinaingia pale tu unapoongeza muda wa hewani na pia wameongeza bei na muda wamepunguza wa hewani, yaani ukiweka 1000 ukiongea dk 2 au 3 tayari zimeisha kwa sasa, yaani imekuwa pasua kichwa kweli kweli!
 
jamJAMANI NAOMBA MSAADA NIMEJIUNGA NA BUNDLE YA STANDARD MONTH KWA MODERM NIKATUMIWA SMS KWAMBA NIMEKUWA ACTIVATED KWENYE HIYO PACKAGE NI KI CONNECT KWENYE DASHBORD YA TIGO INANIAMBIA CONNECTING ALFU INASEMA CONNECTION TERMINATED NIKIWEKA LAIN NYINGINE YA TIGO INA CONNECT MSAAAAAAAAAAAAADA PLSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS
 
Tgo wezi kweli,ukitumia internet bila kujiunga inaenda vizuri bila miyeyusho na mahela wanakata vya kutosha ila ukijiunga na bundle tu shida ya network inaanza,agh
 
Hawa tigo wanaboa sana hata kama kuna taizo kwanini hawatoi taarifa? Halafu kazi yao ni kututumia SMS zao zisizojua na maana
 
kwani kuna nini hapa...mbona malumbano tuuuuu!!! mara tigo , mara TIGO ya ukweli, mara blackberry.....!???:A S embarassed:
 
hivi blackberry sio simu ya kawaida eeh!
hilo swali linanipa shida.
sifaa za kijingaa.... Zinaniboa sana
Linapokuja swala la kutumia net kwa simu basi ujue BB sio "simu ya kawaida"
Ni BB pekee ambayo ili utumie net kwa uhalisia wake inabidi ujiunge na upuuzi wa bundle tofauti na simu zingine
So aliyetumia neno "simu ya kawaida" hakumaanisha kujisifu kama mnavyo fikiria jamani
 
Back
Top Bottom