Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Yaan we n kenge vitabu vitakatfu vimeshatoa majibu sahihi kabisa kuhusu mungu n nan na anaishi wap na anauwezo gan na njia za kufika pale alipo umepewa sasa nakushangaa wewe na kiherehere chako unataka kufanya mambo yawe magum huo muda ulio poteza n mwngi na hakuna ulichogundua
 
Mkuu Mungu yupo, Tatizo mmejifunza kwa marafiki au mmelazimishwa na dhamira sehemu za kazi mkajikuta mumelimbuka MUNGU NI NAFSI TUKUFU HAWEZI KUONEKANA KWA MACHO KAMA MNAVYOTAKA NA WENZIO FANYENI UTAFITI ACHA BLABLA,
Una hakika na unachokinena
Maelezo yako yenyewe tu hayajanitosha kuonyesha uwepo wa Mungu sembuse hao uliowataja
 
Ngoja tukuache mkuu
mshana jr atatuletea mrejesho wa huo utafiti wako

Utafiti wako umebase katika Biblia hilo ni tatizo tena tatizo kubwa.
Pia una reflect uelewa wako mdogo wa sayansi!
Mkuu sipo kama unavyoni dhani, Mimi nilikuwa siamini uwepo wa Mungu HICHO NDIO KITU KILICHOPELEKEA KUTUMIA MUDA WANGU MWINGI KUJUA UKWELI NA SASA NINA AMINI KWA KILE NILICHOJIFUNZA KATIKA HALI HALISI YA ULIMWENGU WETU, Na pia nimepitia vitabu vya KIDINI UISLAMU NA UKIRISTO Ambavyo kama utavitumia bila kuwa na uelewa wa Ulimwengu VINACHANGANYA HAUTAWEZA KUPATA MAJIBU UTABAKI NA WALAKINI.
 
Una hakika na unachokinena
Maelezo yako yenyewe tu hayajanitosha kuonyesha uwepo wa Mungu sembuse hao uliowataja
Mkuu mimi binafsi miaka ya 97 nilimaliza elimu ya A LV katika mojawapo ya Seminari za Kanisa Catholic sikuweza kuendelea na dhamira yangu ya malengo kwa sababu sikupata majibu ya kuniridhisha kuhusu Mungu nikaamini Mungu hayupo Ndipo nilipoanza kuweka Nguvu katika kufanya utafiti na kujilidhisha kwa hili NA JIBU NIKALIPA MUNGU YUPO.
Bibie wewe umefanya utafiti kwa kutumia Quran na Bible haujatumia sayansi ukaujuwa Ulimwengu ndio maana majibu yako ni mepesi kama maswari yako.
 
Hitimisho zuri sana
Mkuu mimi nilikuwa siamini uwepo wa Mungu Lakini leo ninaamini MUNGU YUPO si kwa kuwa nilijifunza Biblia na Msaafu nimefanya utafiti siyo kama mnavyonifikili Ni utafiti kuhusu Ulimwengu yetu na maisha tuliyo nayo kwa ujumla.
 
Umeifanya jioni yangu kuwa njema impongo
 
Mkuu mimi binafsi miaka ya 97 nilimaliza elimu ya A LV katika mojawapo ya Seminari za Kanisa Catholic sikuweza kuendelea na dhamira yangu ya malengo kwa sababu sikupata majibu ya kuniridhisha kuhusu Mungu nikaamini Mungu hayupo Ndipo nilipoanza kuweka Nguvu katika kufanya utafiti na kujilidhisha kwa hili NA JIBU NIKALIPA MUNGU YUPO.
Bibie wewe umefanya utafiti kwa kutumia Quran na Bible haujatumia sayansi ukaujuwa Ulimwengu ndio maana majibu yako ni mepesi kama maswari yako.
Bado hujajibu swali.
Una hakika na unachokinena????
 
Mkuu mimi nilikuwa siamini uwepo wa Mungu Lakini leo ninaamini MUNGU YUPO si kwa kuwa nilijifunza Biblia na Msaafu nimefanya utafiti siyo kama mnavyonifikili Ni utafiti kuhusu Ulimwengu yetu na maisha tuliyo nayo kwa ujumla.
1454257708851.jpg
neno hili likawe taa na mwangaza popote utakapopita likumulikie
 
Impongo sio mbaya kwa level ulio fikia katika utafiti wako, lakin ningependa nikuulize swali moja tu katika huo utafiti ulio ufanya miaka 16 na zaid uligundua kuwa Adamu ambaye ndio binadamu wa kwanza kuongea na mungu ,,, mungu alitumia njia gani kuongea na Adamu.... au Mungu alikuja kwa ishara ya moto kuwa siliana na Mungu kama ilivo kuwa kwa musa??
 
Kabla haujafikiria kuanza utafitiwako Mungu alijua na alijua utatumia zana gani.Na kama umetudanganya Mungu hapa Jf Mungu alijua kabla kwamba ukiamka ukashiba chai chapatizako mbili na maharage.Utaanza kufyatu mara jua mara nyota i don't know.
 
Mungu...alikuwepo kabla ya hivyo vitu ..yupo na atakuwepo...vyote vitapita....na uhai sio jua kwan kuna viumbe hai haviishi mwenye jua na vinasonga tu...
 
Bado hujajibu swali.
Una hakika na unachokinena????
Mkuu kama ntaweza kuonana na mshana atawaleteeni mlejesho na amini ipo siku utaamini Mungu yupo na utakili kwa kinywa chako.
 
Mungu...alikuwepo kabla ya hivyo vitu ..yupo na atakuwepo...vyote vitapita....na uhai sio jua kwan kuna viumbe hai haviishi mwenye jua na vinasonga tu...
Mkuu hakuna KIUMBE kinachoishi katika sayari yetu ya DUNI ambacho uhai wake hautegemezi jua.
 
Kabla haujafikiria kuanza utafitiwako Mungu alijua na alijua utatumia zana gani.Na kama umetudanganya Mungu hapa Jf Mungu alijua kabla kwamba ukiamka ukashiba chai chapatizako mbili na maharage.Utaanza kufyatu mara jua mara nyota i don't know.
Mkuu jifunze kuongea staha pia hata kukaa kimya ni jibu
 
Mkuu kilicho nisukuma kufanya Utafiti ni kwamba nilikuwa siamin uwepo wa Mungu lakini sasa naamini Mungu yupo na kila kitu kimekuwapo kwa mpango wake na Mungu ni Roho ndiyo maana hata Biblia haitwambii Mungu alionana na Adamu kwa uso wa Nyama Soma MWANZO;3:8-13 Alionana na adamu katika Roho.
 
Impongo sio mbaya kwa level ulio fikia katika utafiti wako, lakin ningependa nikuulize swali moja tu katika huo utafiti ulio ufanya miaka 16 na zaid uligundua kuwa Adamu ambaye ndio binadamu wa kwanza kuongea na mungu ,,, mungu alitumia njia gani kuongea na Adamu.... au Mungu alikuja kwa ishara ya moto kuwa siliana na Mungu kama ilivo kuwa kwa musa??
Mkuu kilicho nisukuma kufanya Utafiti ni kwamba nilikuwa siamin uwepo wa Mungu lakini sasa naamini Mungu yupo na kila kitu kimekuwapo kwa mpango wake na Mungu ni Roho ndiyo maana hata Biblia haitwambii Mungu alionana na Adamu kwa uso wa Nyama Soma MWANZO;3:8-13 Alionana na adamu katika Roho.
 
Mkuu kilicho nisukuma kufanya Utafiti ni kwamba nilikuwa siamin uwepo wa Mungu lakini sasa naamini Mungu yupo na kila kitu kimekuwapo kwa mpango wake na Mungu ni Roho ndiyo maana hata Biblia haitwambii Mungu alionana na Adamu kwa uso wa Nyama Soma MWANZO;3:8-13 Alionana na adamu katika Roho.
3c3631c8fafb09c672de3ecb8d6cb889.jpg
 
Yaan we n kenge vitabu vitakatfu vimeshatoa majibu sahihi kabisa kuhusu mungu n nan na anaishi wap na anauwezo gan na njia za kufika pale alipo umepewa sasa nakushangaa wewe na kiherehere chako unataka kufanya mambo yawe magum huo muda ulio poteza n mwngi na hakuna ulichogundua
Mkuu ninamashaka na uelewa wako huu muda sio mwingi kwasababu changa moto pekee na Ngum hapa Duniani ni kuhusu Mungu na uwepo wake kama haujajua mungu anakoishi bado hujui yeye ni nani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom