Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Mkuu

Kwani kila kitu kilichopangiliwa Lazima kiwe na Mpangaji?

Huyo Mungu anayeishi kwenye Jua hayupo

Sun is not fine tuned for any kind of Life
You are just out of Left field!
Mkuu ni kitu gani unacho kifahamu kipo katika mpangilio na hakikuwekwa, na na msanifu? Mungu yupo Ninna rafiki yangu yupo s.korea eti ananiambia hakuna Mungu kwa sababu amejifunza kwa marafiki zake YUPO KAMA WEWE UMEFANYA UTAFITI ? Zakuambiwa changanya na zako usiwe mtumwa wa kubuluzwa na hisia za Watu fanya utafiti UNAAMINI UCHAWI, MAJINI?
 
Nimeukwepa sana huu mjadala kwakuwa niliona uko kimzaha zaidi na kwakweli siamini mpaka kama kweli mleta mada alimaanisha kuwa serious au alitaka tu kufurahisha jukwaa
Ukiangalia hata post hakuimalizia akiahidi kurudi sijui kama alirudi tena
Mkuu nililudi na nilichokiandika si mzaha ni utafiti nilio ufanya nimetumia nguvu kubwa sana hiki unachoona ni mzaha.
 
Nimeukwepa sana huu mjadala kwakuwa niliona uko kimzaha zaidi na kwakweli siamini mpaka kama kweli mleta mada alimaanisha kuwa serious au alitaka tu kufurahisha jukwaa
Ukiangalia hata post hakuimalizia akiahidi kurudi sijui kama alirudi tena
SIPO KIMZAHA NINA MAANISHA.
 
Huyu Mungu wake ni Mungu jua, na ana sifa zote za kibinadamu
Mkuu Mungu yupo, Tatizo mmejifunza kwa marafiki au mmelazimishwa na dhamira sehemu za kazi mkajikuta mumelimbuka MUNGU NI NAFSI TUKUFU HAWEZI KUONEKANA KWA MACHO KAMA MNAVYOTAKA NA WENZIO FANYENI UTAFITI ACHA BLABLA,
 
Mkuu hivi upo serious kweli?
Huo ndo utafiti wa miaka 16 au umetupa Intro tu?

Tupe,kiwango cha Elimu yako please!

Labda unajua maana ya supernova?

Unafahamu kuwa haliwaki moto?

Unafahamu kuwa mwanadamu anaweza kulifikia jua?
Kiongozi in short,unachekesha.
Imefika mahali nikamkubalia tu ili kuondoa udhia lakini sasa nimejenga hamu ya kuonana naye kabisa
 
Sun is not fine tuned for any kind of Life
You are just out of Left field!
Mkuu hapa sio kosa lako ukomo wako wa kufikili umegota Mungu ni nafsi Tukufu si Kiumbe kama unavyofikili Nafsi inaweza kuishi kokote maana Haili wala hainywi.
 
Mkuu hivi upo serious kweli?
Huo ndo utafiti wa miaka 16 au umetupa Intro tu?

Tupe,kiwango cha Elimu yako please!

Labda unajua maana ya supernova?

Unafahamu kuwa haliwaki moto?

Unafahamu kuwa mwanadamu anaweza kulifikia jua?
Kiongozi in short,unachekesha.
Mkuu hakuna mwanadamu anae weza kulifikia Jua Mimi na Wewe ni Tofauti wewe umejifunza kwa kukalili na MIMI NIMEJIFUNZA KWA KUTAFITI.
 
dogma is dogma..... kabla ya kuanza kufikiria kumjua huyu MUngu mkuu,, yatu pasa kujijua sisi kwanza ndipo tuingie hatua hiyo ya pili,, vinginevyo itakua vigumu kufikia suruhisho la kumjua Mungu.

tujiulize tu kwanini tupo hapa duniani, kazi yetu hasa nini? bila shaka itakua si kula, kulala, kujenga nyumba n.k bila shaka kuna sababu ya kuwepo hapa duniani ifahamu hiyo kwanza na ujijue vyema then go to the next level of that dimension.
 
Impongo God loves you but wants you to recognize that He's The Great Iam and ofcourse indescribable in whole!
 
Mkuu Binafsi kabla sijaleta mada (UTAFITI) najielewa na ninajua kwa nini nipo Duniani na ni kwanini Mungu amenipa Akili lakini Binadamu Wengi hawawezi kutumia akili walizo pewa na Binadamu wanaamini kwa kitu walicho kigusa Hawaamini katika Roho, kwa kuwa tumeumbwa katika Nyama Wengi imekuwa ngumu kujielewa ndiyo maana hata majibu mepesi imekuwa vigum kuyaamini, kwa mfano; Musa alikuta kichaka kinawaka moto bila kuteketea akasogelea akaambiwa hapa ni mahali patakatifu Vua viatu akaongea na Mungu kwa njia ya moto, inatosha kujifunza mungu ni nani hatupaswi kuwa na hofu kwa MUNGU YEYE NI BABA YETU MUUMBA WETU.
 
Impongo God loves you but wants you to recognize that He's The Great Iam and ofcourse indescribable in whole!
Najua Mungu ananipenda ndio maana leo naweza kufanya haya kwa kuwa ameniweka mwenye Akili na mwenye nguvu Mungu anae ishi Milele Daima (ALPHA NA OMEGA) Mungu ni Baba yetu tumuheshimu kwa matendo katika amri zake 10 siyo uoga wa binadamu huku tukiendelea na matendo maovu,. Mungu ametuumba na kutupa akili ili tumjue na tumtumikie ktk haki na kweli ndiyo maana tupo duniani na tuna sifa kuliko viumbe wote alivyo vifanya.
 
Mkuu hakuna mwanadamu anae weza kulifikia Jua Mimi na Wewe ni Tofauti wewe umejifunza kwa kukalili na MIMI NIMEJIFUNZA KWA KUTAFITI.

Ngoja tukuache mkuu
mshana jr atatuletea mrejesho wa huo utafiti wako

Utafiti wako umebase katika Biblia hilo ni tatizo tena tatizo kubwa.
Pia una reflect uelewa wako mdogo wa sayansi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom