Ukweli wa kifo cha Kighoma Ally Malima ni upi?

Akiwa waziri wa fedha alikwapua fedha kibao za wananchi na kupeleka nje ya nchi (switzland). Halafu aliunda chama chake cha siasa chenye harufu kali ya udini. Inasemekana wakubwa waliiona hiyo na kuandaa mipango ya kuzirejesha fedha hizo nchini. Mungu bariki mipango ilifanikiwa na fedha zote zilirejeshwa BoT. Babu wa watu alipoenda kuchukua hela kiasi ili aendelee na mipango yake ya kuimarisha chama aliambiwa hakuna kitu. Alishikwa na mshtuko mkubwa kiasi cha mwili kushindwa kuhimili. Akakata roho palepale. That's all about Malima.

That is from Tanzania; the rumour (read grape vine gossip) capital of Africa!
 
Sitaongea ninachokijua.
Ila kama una nia ya kweli ktaka kuujua ukweli huu, nitakuelekeza kwa wawili hao wanajua kila kitu.
Watu hao niJK na Adam malima.

Sisi waislam ni wanafki na watu wa ajabu sana, yani hata wanayofanya ISIS huko IRAQ kuchinja na kuwaua Waislam wenza ndicho kilichotokea kwa Malima.
 
Wakati wa mwalimu watu wengi walifaulu lakini nafasi zilikuwa chache, hivyo ulianzishwa upendeleo maalumu kwa wale waliokuwa nyuma kielimu kwa maana ya kikabila, utakuta kuna miaka walipendelewa watoto wa kigogo, kimasai, wanyiramba na ilieleweka kuwa wahaya, wachaga na wanyakyusa walikuwa mbele kielimu, hakujawai kuwa na upendeleo wakidini zaidi ya waislamu wengi walitilia mkazo watoto wao wasome kurani(Madrasa) kitu ambacho kiliwapunguzia uwezo darasani na hata kuwachanganya. IFIKIE WAKATI WAISLAMU WAKUBALI UKWELI KWAMBA HAWAITILIA MANAANI ELIMU DUNIA KWANI WALITHAMINI SANA ELIMU AKHERA. Elimu ilikuwa bure kwa wote na shule zote ndio msingi wa kutaifisha shule na mission.
 
Mfumo wa namba ulikuwepo kabla Marehemu Malima hajawa waziri wa elimu. Jaribu kuuliza waliosoma kabla huyu jamaa hajapata huo uwaziri wa elimu watakudhibitishia hili. Pia kama namba ilikuwa sababu mbona bado miaka kibao imepita na trend ni ile ile ya ufaulu?

Namba imesaidia kupunguza bias kwenye usahihishaji. Tabu ya trend kubaki vike vike iko wazi, kwenye upangaji na kuquerry kwa kutumia kompyuta namba haina faida. Na jina lako pia linatokea. Mfano mzuri wa claims za matokeo kuchakachuliwa ni like swala la matokeo ya Islamic knowledge. Walimu waliposahihisha walishajua matokeo yako vipi. Ila kuonyesha kukithiri kwa ukiritimba wa NECTA, matokeo yalipotoka yalikuwa yamebadilishwa na almost wanafunzi wote walikuwa kwenye daraja D na lower. NECTA kwa kujitetea wakadai ilikuwa technical problem, ina maana huwa hawareview matokeo kabka ya kuyatoa? Na iweje hilo litokee kwenye Islamic knowledge tuu....na sio divinity labda?
 
Wakati wa mwalimu watu wengi walifaulu lakini nafasi zilikuwa chache, hivyo ulianzishwa upendeleo maalumu kwa wale waliokuwa nyuma kielimu kwa maana ya kikabila, utakuta kuna miaka walipendelewa watoto wa kigogo, kimasai, wanyiramba na ilieleweka kuwa wahaya, wachaga na wanyakyusa walikuwa mbele kielimu, hakujawai kuwa na upendeleo wakidini zaidi ya waislamu wengi walitilia mkazo watoto wao wasome kurani(Madrasa) kitu ambacho kiliwapunguzia uwezo darasani na hata kuwachanganya. IFIKIE WAKATI WAISLAMU WAKUBALI UKWELI KWAMBA HAWAITILIA MANAANI ELIMU DUNIA KWANI WALITHAMINI SANA ELIMU AKHERA. Elimu ilikuwa bure kwa wote na shule zote ndio msingi wa kutaifisha shule na mission.

Ndugu Sikubaliani na wewe kabisa ukwelini huu:-

1. Si kweli kuwa ukikomaa na elimu ya Dini then utafeli ya duniani.
2. Si kweli kuwa hawaithamini elimu dunia, ila ukwlei ni kuwa elimu ya leo ni gharama kubwa sana na hii ya ahera ni rahisi kuliko ya dunia. na ndipo wazazi wengi sasa wanaposhindw akwende sambamba na gharama za elimu dunia, ila pia kuna swala la mwamko, mwamko nimdogo sana bado kuanzia elimu dunia na hata hiyo ya ahahera.
 
Hizo ndio tunaita facts, kwani bila hizi facts watu wachache wenye nia mbaya za kidini wanaweza kutuyumbisha kama taifa.

Ni fact kuhusu number..kwani hyo hoja ilijengwa mapema na waislam hata malima hajaingia wizara ya elimu...na ukweli Kipindi mfumo wa namba unaanza malima alikuwa tayari ni wazir na alikwa waziri toka nyerere. Na kwa sababu ya kuahakikisha idadi kubwa waislam inaongezeka Waziri malima ndio alienzisha double session kwa shule zote za sekondary za DSM mwaka 1988, shule kama yanngu ya Tambaza tulipaswa kuingia 240 ambayo ni stream 6 tukawa stream 12 yaani 480 vivo hivo ikawa azania, kisutu, forodhan, jangwan, kibasili nk....!!! Udini ndio ulileta mfumo huu na ku-revise passing score kwenda form I
 
Mie ni mmoja wa watu ambao hatuungi mkono kabisa ubaguzi. Kelele za waislam zilinifanya nianze kutafuta tatizo liko wapi. Nilichokiona kwa macho yangu ni kuwa hamana mkazo wa elimu kwa watoto miongoni mwa wazazi wa kiislam, nimekaa vingunguti, buguruni kwa mnyamani na Segerea kwa nyakati tofauti. nilichoona vingunguti na buguruni ni kuwa haya ni maeneo yenye waislam wengi sana huko watoto wengi wa kike huacha shule darasa la tano na sita bila wasiwasi na ni kitu cha kawaida, hii hali ni tofauti kidogo na sehemu ambako kuna wakristo wengi kama segerea na Tabata kwa ujumla, nimefuatilia pia wale waislam tuliosoma nao katika level tofauti nimegundua wengi ni watu waliokulia ktk mikoa ambayo inazingatia elimu kama kilimanjaro, Mbeya Kagera n.k wakati tukiwa A-Level pale kibaha ktk darasa la watu 103 kulikuwa na waislam 21 na kati ya hao ni mmoja tu ndio alikuwa mtu wa mkoa wa pwani waliobaki walikuwa waislam wa kutoka Iringa, mbeya kilimanjaro, mwanza na wachache kutoka Tanga, dar, singida na kigoma. Nilichoona ni kuwa ktk mikoa ya pwani lifestyle na mila na desturi zinawaathiri watoto na hilo liko wazi iwe kwa wakristu au waislam, watoto wa kiislam hulelewa ktk misingi ya kuchukia elimu ya magharibi wakiiambatanisha na ukristo wakati wakristo hawana tatizo hilo. Aidha kuna dada yangu alihamia tandika akiwa na mtoto mdogo lakini kwa mazingira ya tandika ndani ya mwezi mmoja mtoto alibadilika sana kitabia kiasi kwamba ilibidi huyo dada arudi mkoani ili akamlee mtoto mpaka atakapofikisha umri wa kwenda shule ili kumwepusha asitumie muda mwingi kuchanganyikana na watoto wengi ambao matusi ni kama tai.

Mwisho nishauri kuwa kama watu tuna dhamira ya dhati ya kuondoa tofauti kubwa iliyopo kati ya wakristo na waislam pana haja ya kwanza kuyaadress matatizo yanayosababisha hali hiyo. Kuhusu malalamiko ya waislam kuwa waislam wanaonewa ni rahisi tu kuyaondoa, kwanza tujaribu kubalance idadi ya waislam na wakristo ktk maswala ya kusahihisha mitihani, halafu zianzishwe program za chemsha bongo kushindanisha wanafunzi wa shule tofauti zitakazokuwa zinarushwa ktk TVs kama ilivyo kwa Zain Africa challenge, pamoja na kuwapa changamoto wanafunzi na kuwajengea confidence lakini pia kila mtu atakuwa akiona tofauti ilyopo kati ya mwanafunzi anayesoma Marian girls, st. fransis na Mazinde na yule anayesoma kirinjiko, kibohehe na alharamain na pia tutajionea tofauti kati ya wanaosoma serikalini na wanaosoma private schools. Hapo tutakuwa ktk nafasi ya kutambua kama wanafunzi wa kikristo wanajua kweli au wanapendelewa na vilevile tutajua kama wanafunzi hawajui mambo kweli au wanaonewa ktk marking.

Kaka umeongea point sana.
 
Alipojiengua CCM na kuhamia NAREA(NRA), Al-marhumu Prof KIGHOMA ALLY MALIMA alienda Makka katika hijja ya UMRA. Kabla ya kwenda kwake huko aliahidi pindi atakapo rudi Tzania, atakuja kutoa yaliyopo moyoni mwake. Baada ya kumaliza hijja alielekea Uingereza namauti yakamkuta huko.

Ilienea katika kila kona ya Tanzania kuwa inawezekana kuna FITNA iliyopelekea kifo chake though wengine wanasema hakuna FITNA yoyote.

Anayejua vema suala hili atujuze, KULIKONI??

Kaka umeongea point sana.

Well done brother iyo itakuwa ipo vizuri sana. Nina rafiki yangu anaitwa ally ni msomi wa degree 1. Lakini ananikwaza sana anapoanza suala la dini, inafika mahali anakuambia nyie wakristo wauaji wakubwa sana, mmemuua kigoma malima, kwa sababu alikuwa kichwa zaidi ya nyerere. Sasa namulizaga maswali kama vile, umejulia wapi? Umezaliwa 1989 iyo ni story utasikia anakuambia nimesoma, unamwambia kitabu gani anaanza kupaniki. Niwaombe ndugu zangu tusipende kushabikia vitu vya vijiwe vya kahawa inatufanya tuwe kama vile wazee na kushindw kufanya yenye maendeleo. Mm daima Naamini hakuna kitu kibaya duniani kama vile kusema kitu ambacho hukijuwi wala hukuwepo na hapo hapo unakisimamia kwa hoja nyepesi, na unataka ushinde.
 
allikua na mpango wa kuweka wazi sababu ya kuwa na gap kubwa la elimu kati ya waislam na wakristo kumbuka huyu alikua waziri wa Elimu aliyeanzisha mfumo wa kutumia namba badala ya majina. mtakatifu nyerere alipopata taarifa akamfuata uingereza then malima akarudi maiti. habari ndio hiyo
Jamani acheni uongo! Au mkitaka kudanganya tumieni akili kidogo. Mimi nimesoma shule ya msingi wakati wa Nyerere na tulitumia NAMBA katika mitihani yetu ya mwisho, na hata past papers tulizokuwa tukisoma za miaka ya 1970s zilikuwa na sehemu ya "Nambari ya Mtahiniwa", siyo jina. Sekondari nilianza wakati wa Nyerere nikamalizia wakati wa Mwinyi, nako tulitumia namba throughout, hatukutumia majina. Kighoma Malima alikuwa waziri wa elimu nikiwa nimeshamaliza sekondari, mfumo wa namba aliukuta.
 
wapelekeni watoto shule na sio madrasa tu! unamlaumu nani kuhusiana na nyie kutosoma na gap litaendelea tu.nitajie sekondari moja nzuri iliyojengwa na bakwata! kwa hapa nyerere hana kosa ila waarabu inabidi tuwaambie ukweli kuwa watujengee misikiti na shule na hospitali
allikua na mpango wa kuweka wazi sababu ya kuwa na gap kubwa la elimu kati ya waislam na wakristo kumbuka huyu alikua waziri wa Elimu aliyeanzisha mfumo wa kutumia namba badala ya majina. mtakatifu nyerere alipopata taarifa akamfuata uingereza then malima akarudi maiti. habari ndio hiyo
 
k
Msikiti hakujenga bwana walikua wanamsingizia tu,ni sehemu tu ambayo ilikua hata hivyo haitumiki yeye akaitenga kwa ajili ya kufanyia ibada ili asipoteze muda wa kuwatumikia watz na kwenda kufanya ibada kariakoo mchana na kurudi ofisini,akaona awe anafanya ibada zake za saa saba na saa kumi pale kwa dk 15 then anaendelea kuchapa kazi,wengi wanaofanya ibada mara tano kwa siku kwa mujibu wa uislam wanafanya hivyo maofisini mwao,hata dau pale ofisi kwake ikifika saa saba wengine wakienda lunch yeye anajifungia ofisini kwake anachukua mkeka wake anamuomba mungu 15minutes then anarudi kwenye kiti chake na kuendelea na kazi,ni ajabu malima angejenga msikiti si ungepigwa hata picha basi tuuone maana msikiti ni lazima wangekua na watu wengine wanaingia kufanya ibada utajenga msikiti wapeke yako...sema fitna zilikua nyingi,malima wafanyabiashara wakiongozwa na mengi hawakumpenda kabisa sababu alikua anawabana ndio wakaanzisha media kampeni dhidi yake,ndio mana mpaka kesho ADAM MALIMA na mengi ni chui na paka kwa kuwa ule ugomvi ADAM kaurithi na aliapa kulipa kisasi kwa mengi kumchafua babake wakati hakua na mali yeyote kighoma malima,hata familia yake imesota sana,huyu adam mwenyewe kasota sana msimuone hivi sasa,alikua kama chizi kuna kipindi,kabla ya kupewa kibarua na AZIM DEWJI!

Hayo ya namba siyajui kama yalikuwepo huko nyuma kipindi cha nyerere kama kweli yalikuwepo basi kuna kipindi inawezekana yalisitishwa ndio malima kweli akayarejesha,hii nakumbuka kabisa.na kuhusu udini,ni kwa sababu alipofika elimu alijitahidi kuwapa nafasi waislam wasomi waliokua hawajapandishwa vyeo muda mrefu na kwa mara ya kwanza katika historia ya wizara ile toka uhuru akateua ama akawapendekeza wakurugenzi wa elimu ya msingi na sekondari waislam kwa mara ya kwanza narudia toka tupate uhuru hakukuwahi kuwa na waislam kwenye chances hizo kama ilivyokuwa kwa waziri wa wizara hiyo muislam yeye ndio alikua wziri wa kwanza toka uhuru muislam pale.Je tukiweka ushabiki pembeni na kufuata haki malima pale alikua na kosa kama kweli hao waislam walikua na sifa?mimi nadhani kama walikua na sifa na hawajapandishwa vyeo muda mrefu mtu yeyote mpenda haki asingefanya tofauti na malima.Tuache jazba na ushabiki kupita kiasi.
kama mtaendelea na madrasa tu mtaendelea kuisoma namba.pelekeni watoto shule.waarabu wanawadanganya
 
Akiwa waziri wa fedha alikwapua fedha kibao za wananchi na kupeleka nje ya nchi (switzland). Halafu aliunda chama chake cha siasa chenye harufu kali ya udini. Inasemekana wakubwa waliiona hiyo na kuandaa mipango ya kuzirejesha fedha hizo nchini. Mungu bariki mipango ilifanikiwa na fedha zote zilirejeshwa BoT. Babu wa watu alipoenda kuchukua hela kiasi ili aendelee na mipango yake ya kuimarisha chama aliambiwa hakuna kitu. Alishikwa na mshtuko mkubwa kiasi cha mwili kushindwa kuhimili. Akakata roho palepale. That's all about Malima.
Ukiona mtu anaanzisha chama chenye harufu yakidini niwazi atakua aliona kunachama au vyama vilikwisha tangulia vime aukimea udini inabidi tuchukue kama somo tuchunguze
 
Ukiona mtu anaanzisha chama chenye harufu yakidini niwazi atakua aliona kunachama au vyama vilikwisha tangulia vime aukimea udini inabidi tuchukue kama somo tuchunguze
waarabu wanawadanganya sana na hayo madrasa.bakwata wapo wapo tu kulalamika kila siku hata viwanja wanataka wapewe na serikali na shule na misikiti wajengewe sijui hata kama wana akaunti benki.tukiweka idadi ya wasomi wakristo na waislamu na tukagawa kazi kwa haki mngeisoma namba.ukweli inabidi usemwe zingatieni elimu dunia mikoa ya kusini kila mwaka wa mwisho kwa kuendekeza madrasa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom