Alipojiengua CCM na kuhamia NAREA(NRA), Al-marhumu Prof KIGHOMA ALLY MALIMA alienda Makka katika hijja ya UMRA. Kabla ya kwenda kwake huko aliahidi pindi atakapo rudi Tzania, atakuja kutoa yaliyopo moyoni mwake. Baada ya kumaliza hijja alielekea Uingereza namauti yakamkuta huko.
Ilienea katika kila kona ya Tanzania kuwa inawezekana kuna FITNA iliyopelekea kifo chake though wengine wanasema hakuna FITNA yoyote.
Anayejua vema suala hili atujuze, KULIKONI??
Ilienea katika kila kona ya Tanzania kuwa inawezekana kuna FITNA iliyopelekea kifo chake though wengine wanasema hakuna FITNA yoyote.
Anayejua vema suala hili atujuze, KULIKONI??