Ukweli vurugu Mbagala si dini bali ujinga na umaskini

Father of All najua hupendezwi na kitendo kilichofanywa na wanaojiita waislamu.
Mimi ningefurahi message yako ingewafikia waislamu wasomi kama kina Jusa na Seif sharif.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Last edited by a moderator:
katika vichwa ninavyoviamini na kuviheshimu kwa viongozi wa kiislamu Shekhe mkuu wa Dar es salaam Alhad Salum namkubali siku zote.

Hapo awali alikuwa Shekhe Gologosi, mungu aiweke mahara pema peponi Roho yake. huyu pia alikuwa na busara sana

lakini vizuri havidum.
 
Baba wa wote.

Umasikini na elimu inaweza kuwa sababu hapa kwetu tanzania lakini kwa
asilimia kidogo sana.

Inchini Irani ukijifanya kuhubiri ukristo roho yako iko mashakani

Saudi arabia yaleyale

Syria kama kawaida

Bado father nahitaji kuwekwa sawa huko kote chuki kwa imani ya kikristu
inasababishwa na umaskini?

Kilichofanyika nimfumo wa maisha wa wenzetu. nimeishi Tanga kwa miaka
mitano lakini simulizi nilizokuwa nazipata vijiweni zinatisha,
nilibahatika kwa mda mrefu kupata simulizi mbalimbali kwasababu
iliwachukua miaka mitatu kuitambua imani yangu kwasababu jina langu ni
miongoni mwa majina yanayotumika kotekote na waliamini nipo upande wao
japokuwa swala tano sikupatikana.

Kama ni umasikini mbona wasimalizie hasira zao pale polisi

Je kugomea sensa kwa ushawishi wa ponda pia umasikini?

Je Kule zanzibar makanisa yaliyochomwa mfululizo mpaka kufikia zaidi ya
ishirini ni umasikini?

Ni umaskini gani huo wasioenda kuvamia benki kuu kuliko na fedha!
wamebaki kuvamia na kuharibu makanisa?

Father of all, kunatatizo kubwa tena sana la kiimani kiasi kwamba
watu wanakuwa saturated kiakili kutokana na mahubiri ya kichochezi
yakiwa na malengo maalumu nyuma ya pazia kimkakati. watbisha na
kukanusha huo ndiyo ukweli.

Mie ni amini kuwa jamaa hawa wanaamini kitu wasichokuwa na uhakika nacho..ndio maana wanahaika sana kuipigania kimwili imani yao.
 
Ujinga na umasikini unaozungumziwa ni ule wa kukuweza kukubali kujazwa hela na ideas potofu kuattack jirani zako,
Ni ule unaokufanya ushindwa kusoma kitabu kitakatifu/kitukufu mwenyewe kuambia kuwa kinasema mpigane na wewe ukapigana wakati wenzio wako chamber na watu wa dini zote wanapiga stori.
Huo ni ujinga, tena hapo zamani kidogo niliwahi kusema sio bahatimbaya, ni makusudi mazima walidhani kuwa tukiwa wajinga, basi tutatawalika vizuri. kumbe Mhhhhhh hatutawaliki!!!!
 
Back
Top Bottom