Ukweli Vs Usiri katika MMU....Ni taarifa kiasi gani apewe mwenza?

Kuhusu 6 X 6 najua wanaume in most round wanakuwa satisfied 100% Mimi sina haja ya kumwambia level ya satisfaction yangu kwa kuwa jamaa anajua kabisa ku evaluate kazi alofanya. Ila huwa namsifia saaana akifanya kazi yake ipaswavyo kwa sababu najua ina mfanya a feel good. Akiifanya vibaya sisemi kitu ni yeye mwenyewe ndo anakiri kuchemka na mimi naongezea tu kuwa asijali we can do it better next time..

Fweza yangu ni yak hivyo hata dili nalopiga nje ya mshahara huwa naiweka wazi. tuna joint account. Mimi pesa hazinichukulii muda kwenye uhusiano.

Current dubious relationship??? I don't have and never had any. Na sitegemei hata yeye akiwa nayo anambie I have to do my research to know. Ila napenda kukiri kuwa kuna siku jamaa alikiri kuwa na crush na mdada nadhani ilikuwa first experience kwake na ilimuumiza so we had to abstain mpaka acheki afya yake. Kwa kweli I was speechless na nilishindwa hata kumsema kwani he was crying; mpaka leo ni years nimeshindwa kuuliza details za hiyo one night stand naogopa kuonekana kero kwani alikiri mwenyewe angeweza kunificha tukafa na ngoma so at least kukiri kwake kumenifanya nimuone ananijali.

Nimekuvulia kofia....

Hapo kwenye confession...Kweli alifanya hivyo??

May be huyo jamaa yako ni malaika fulani...inawezekana pia akavunjwa mwiko ...kwama baadhi ya wezi wanaweza kustaafu kabisa!!
 
Hii sredi maadam imerushwa na babu mwenzangu,

Ngoja leo tupate uzoefu wa wajukuu zetu.

Afu mwishoooooooni kabisa nitatoa mauzoefu yangu kwanini bibi yenu mpaka leo hajabanduka ubavuni mwangu na miaka yote hii lukuki ya ndoa.

Tutakusubiri tu hata ukirudi usiku wa manane...Hatuwezi kukuacha upotee/upotezwe kirahisi rahisi!!
 
mie ni mkweli 100% kitandani tu, umeniridhisha/hujaniridhisha...menginryo ni 50-50 kutokana na uzito wa jambo.

DC nimemwambia anasema eti kulala bila nguo tu ndo useme 100% hapo hakuna siri hujanitekelezea matarajio yangu nakupa live 100%
 
Pamoja na kuwa nipo kwenye "pingu za maisha" karibia miongo miwili, SIJAWAHI ku-disclose hata robo ya hayo uliyoyaandika!
- My ex : Hapa naweza kuvunja ndoa instantly!
- Financials : Hili linapimwa kwa matendo (otuputs) na siyo "bank statements" : mtimizie mwenzio kwa hali na mali
- Familia yangu: Siyo muhimu maana familia nyingi za ki-Tanzania ni tegemezi for life
- Chumbani : Hapa no comments
- Nyumba ndogo : ???
 
- Nyumba ndogo : ???[/QUOTE
]

Mbona unaacha madeni mkuu???

Malizia basi....!

DA keshasema ulisipofanya kazi vizur..you are fired instantly!!
 
Well well well: Nimerudi kama nlivyoahidi......

1. My Ex?- Ukiondoa huyu nliyezaa naye kabla sijamuoa, huyu bibi yenu anaamini sijawahi kuwa na mwanamke mwingine (anaweza kuapa). Ukweli ni kuwa nshamcheat mara nyingi (Nashukuru Mungu hajui, na sitamwambia ili ndoa yetu iendelee kudumu kwa furaha na amani).............Upande wa pili wa shilingi, naye pia hajawahi niambia na kizuri zaidi wala SITAKI aniambie. Sijawahi kumuuliza na wala sitamuuliza..... Naamini niko peke yangu mpaka nitakapomfumania (siyo kuambiwa)

2.Mambo ya Fedha: Yale yaliyo rasmi...........Yako wazi, Tunashea kama kawaida. Yale ya mishemishe hajawahi kuyaona, na kama na yeye ana mishemishe, sijawahi kuyaona mapato yake......ngoma droo na maisha yanaendelea kwa raha zetu.

3. Mambo ya familia yangu hakuna nililomficha, naamini naye hakuna aliyonificha..... kama amenificha sina sababu ya kujua, na wala sina haja ya kumuuliza kama kanificha.

4.Vibustani?.......Rejea namba moja pale juu.

Angalizo: Tunazungumzia ndoa yenye zaidi ya miaka kumi, kwa hiyo naamini hii ndio njia sahihi zaidi KWANGU.

Mungu mbariki ODM
Mungu Mbariki Mrs ODM
Mungu wabariki mabinti zetu.

Ahsanteni kwa kunisikiliza.
 
Mbona unaacha madeni mkuu???

Malizia basi....!

DA keshasema ulisipofanya kazi vizur..you are fired instantly!!

Lt Gen..[Mkuu wa Kaya juzi amepandisha vyeo ma-Brig.Gen!]

Mambo ya Chumbani na Nyumba Ndogo yana uhusiano wa karibu sana na kwahiyo yanatakiwa kuwa "approached" in very similar "fashion"! Ni vizuri ukaacha mambo ya chumbani "yaogee yenyewe" au "yaji-disclose yenyewe"... Equally so mpango wa nje ibakie kuwa ni "uzushi wa watu tu"
 
Well well well: Nimerudi kama nlivyoahidi......

1. My Ex?- Ukiondoa huyu nliyezaa naye kabla sijamuoa, huyu bibi yenu anaamini sijawahi kuwa na mwanamke mwingine (anaweza kuapa). Ukweli ni kuwa nshamcheat mara nyingi (Nashukuru Mungu hajui, na sitamwambia ili ndoa yetu iendelee kudumu kwa furaha na amani).............Upande wa pili wa shilingi, naye pia hajawahi niambia na kizuri zaidi wala SITAKI aniambie. Sijawahi kumuuliza na wala sitamuuliza..... Naamini niko peke yangu mpaka nitakapomfumania (siyo kuambiwa)

2.Mambo ya Fedha: Yale yaliyo rasmi...........Yako wazi, Tunashea kama kawaida. Yale ya mishemishe hajawahi kuyaona, na kama na yeye ana mishemishe, sijawahi kuyaona mapato yake......ngoma droo na maisha yanaendelea kwa raha zetu.

3. Mambo ya familia yangu hakuna nililomficha, naamini naye hakuna aliyonificha..... kama amenificha sina sababu ya kujua, na wala sina haja ya kumuuliza kama kanificha.

4.Vibustani?.......Rejea namba moja pale juu.

Angalizo: Tunazungumzia ndoa yenye zaidi ya miaka kumi, kwa hiyo naamini hii ndio njia sahihi zaidi KWANGU.

Mungu mbariki ODM
Mungu Mbariki Mrs ODM
Mungu wabariki mabinti zetu.

Ahsanteni kwa kunisikiliza.

Hii ni post yangu ya mwezi Sept............good (Babu) hasa hapo kwenye bluu
 
Mimi nadhani ukiacha suala la ni kipi kinahitajika kusemwa na kipi kiachwe, pia inategemea na hulka ya mtu. Kuna watu ambao kiasili ni wasiri sana, hawa hata ufanyeje huwezi kujua hata robo tu ya ukweli wao.
 
Ni kweli kabisa labda hapa tunashare experience tu. Huwezi kumbadili mtu tabia. Kuna watu wameumbwa hivyo ni wasiri sana na kuna wengine hawawezi kabisa kukaa na kitu rohoni kinawasumbua. Ni personality ya mtu. Na hata akijitahidi kuficha utamgundua tu mtu wa hivyo kwani anakuwa hatulii .

Back
Top Bottom