Ukweli Vs Usiri katika MMU....Ni taarifa kiasi gani apewe mwenza?

Nilipo kuna baridi... Hivo nimehakikisha nina heater.... Hio si nayo kuota moto?? (alafu umenipoteza.. whats it with tendo lenyewe na kuota moto)

Hivi umewahi kuishi na bibi/babu kweli wewe???

Huwa wanamwaga data hadi unashangaa....

Kuna mmoja kule Tabora alisikika redioni akisema kuwa wadada wa siku hizi wamesahau kuwapa lishe bora waume zao..Kwamba enzi zao mwanamume walikuwa analishwa kama dume la kafara ili aweze kuchapa mzigo kisawa sawa!!

Halafu huwa ni wazuri sana katika kueleza miiko ya kitandani vizuri (the dos and vice versa)!! Mfano..watakueleza kuwa ni marufuku kwa mwanamke kufumbua macho wakati wa majamboz...!!!
 
Hahahahah...Babu bwana..!Kwahiyo kumbe nia yako ni watu wajilipue hapa?

Well kwa sasa hivi 0% kwasababu sijahitaji kufanya hivyo. Ila nikiangalia huko nyuma ukweli ni kwamba niko very selective kuhusu watu nnaofunguka kwao. Kama sijapata ile connection ya kunishawishi/nifanya nitamani kumwambia mpenzi/mtarajiwa mambo yangu bila kuchagua basi naangalia machache tu (siwezi kuweka asilimia maana hii inategemea na huyo mtu ila yaweza kuaanzia 10% na kuendelea) nnayoona ni muhimu huku nikitumaini kwamba kadiri muda unavyoenda nitafunguka zaidi.

Hapa relationship gani unayoiongelea? uchumba au ndoa?
Jibu kwa utulivu leo Lawyer niko serious kweli.
 
Hii siyo scenario ya kutisha na kwa hiyo hakuna sababu ya kupata pressure nayo...Kasheshe ni pale ambapo kweli umepita kwa dada Sophy na kukamuliwa mzigo wako woote...Sasa mama anadai na wewe huna cha kutoa...

Uko tayari kutoa suicidal confession??
mie nilifikiria tu ukweli as ukweli, na kuanzia pale mnaacha uongo, yaani mnaambiana mambo yenu, yawe past relatn, iwe fedha na mengine, then mnaendelea vizuri, kumbe tena ya kwa dada sophy hata mie sitaki kuambiwa haya
 
And from a different world (a non-fellow being)......Wewe ni mkai,

Uko among the top buddies kwenye list yangu......

Tupo members wengi saana JF, Particularly MMU.. Na katika
a group of all the members kila mmoja ana wale ambao yeye
personally anawakubali for what ever reason... Nasema hivo
sababu katika different sub groups za MMU, Upo kwa wale ambao
naheshimu na kuthamini michango yao... Hivo basi DC (Buddy...)
You can not imagine my feelings of Joy tokana na hii post nimeqoute...

THANK YOU...

Pamoja Saaana.
ADI.
 
Hivi umewahi kuishi na bibi/babu kweli wewe???

Huwa wanamwaga data hadi unashangaa....

Kuna mmoja kule Tabora alisikika redioni akisema kuwa wadada wa siku hizi wamesahau kuwapa lishe bora waume zao..Kwamba enzi zao mwanamume walikuwa analishwa kama dume la kafara ili aweze kuchapa mzigo kisawa sawa!!

Halafu huwa ni wazuri sana katika kueleza miiko ya kitandani vizuri (the dos and vice versa)!! Mfano..watakueleza kuwa ni marufuku kwa mwanamke kufumbua macho wakati wa majamboz...!!![/QUOTE]
haaaaa babu, mwanzo mwisho au iakuwaje, mlegezo pia hakuna?kweli bibi na bibi wanaeleza mengi ila hili wanatupeleka chaka
 
Well

hiiz sredi za time hizi inabidi kuzijibu jua likiwaka manake pande nilipo ni kiza kinene

hivi DC unamanisha encounter ya mwana JF wa kiume kwa mwanaJF wa kike sio....

orait
 
mie nilifikiria tu ukweli as ukweli, na kuanzia pale mnaacha uongo, yaani mnaambiana mambo yenu, yawe past relatn, iwe fedha na mengine, then mnaendelea vizuri, kumbe tena ya kwa dada sophy hata mie sitaki kuambiwa haya

Unajua nilisahau kitu kimoja, nacho ni current (especially dubious relationships) kama zipo....Hapa nadhani kuna utata...

Mimi niko tayari kupigwa risasi kuliko kufungua domo langu kuyaongelea hayo!!
 
haaaaa babu, mwanzo mwisho au iakuwaje, mlegezo pia hakuna?kweli bibi na bibi wanaeleza mengi ila hili wanatupeleka chaka

Jamani wasikilizeni babu na bibi zenu...wameona mengi hao!!!

Shauri yenu mkijifanya vichwa ngumu!!
 
Unajua nilisahau kitu kimoja, nacho ni current (especially dubious relationships) kama zipo....Hapa nadhani kuna utata...

Mimi niko tayari kupigwa risasi kuliko kufungua domo langu kuyaongelea hayo!!
Mie pia mwee, unaanzia wapi kwanza....what if ukishikwa, unaweza amua sema ukweli
sasa, au ndio utajifanya umepata ukichaa
 
Hivi umewahi kuishi na bibi/babu kweli wewe???

Huwa wanamwaga data hadi unashangaa....

Kuna mmoja kule Tabora alisikika redioni akisema kuwa wadada wa siku hizi wamesahau kuwapa lishe bora waume zao..Kwamba enzi zao mwanamume walikuwa analishwa kama dume la kafara ili aweze kuchapa mzigo kisawa sawa!!

Halafu huwa ni wazuri sana katika kueleza miiko ya kitandani vizuri (the dos and vice versa)!! Mfano..watakueleza kuwa ni marufuku kwa mwanamke kufumbua macho wakati wa majamboz...!!!

Ndio.... She was one of the best ladies I ever knew.. Ndo wale waliozwa age 13..
 
Mie pia mwee, unaanzia wapi kwanza....what if ukishikwa, unaweza amua sema ukweli
sasa, au ndio utajifanya umepata ukichaa

Dada,

Kushikwa ugoni ni jambo jingine...Hiyo ni emergency...Hata ukifundishwa namna gani, kila case inayoletwa casualty unit ina jinsi yake ya kuishughulikia!!

The bottom line ni kwamba hakuna tija ku-confess infidelity...Unakomaa hadi mwisho kama Mheshimiwa sana Billy Clinton na case yake ya Monica Lowinsky!
 
Ndio.... She was one of the best ladies I ever knew.. Ndo wale waliozwa age 13..

Hongera sana kama ulipata simulizi wanazozikosa wajukuu zangu wapendwa,

Badala ya kuwa kwenye moto...nakuwa ama counter au JF!! Aibu tupu...!!
 
ktk suala la usiri nashauri usipende sana kumsifia mpenzi wako wa zamani mbele ya huyu wa sasa, jaribu konyesha unamjali then rekebisha mapungufu yake taratibu tena kwa umakini mkubwa mpaka pale atakapo fikia hatua unayoitaka wewe! Ambacho hutakiwi kuficha ni ukweli juu ya maisha yako, don't pretend to live life which isn't yours, then hisia zako kwake mweke wazi na onyesha kumthamini! Mfanye ajione bora zaidi ya X-wake!
 
Kwenye suala la hisia zako za kimapenzi...asilimia ngapi iwe real na ngapi iwe usanii??
 
Back
Top Bottom