Ukweli umepatikana: Sasa DC Igunga anastahili kupigwa mawe kwa kuasi dini - Sheikh Ponda!

Usipokuwa muislamu lazima uwe mkristu?
Afadhali mfungo umeisha, biashara yangu ilikuwa inafanya vibaya sana. Thank God sasa hivi wanyama wangu wanatoka kama kawa.

Ha! Ha! Ha! Ha!, unataka kupangia watu eti usipokuwa mkiristo basi muislamu hizo nia akili za ukungu.

Mimi sio mkiristo wala muislamu mimi ni Pagan, ndio maana hata kwenye jukwaa la dini uwezi kuniona nabishana.
Na siwezi kwenda mpaka nakufa sababu mimi ni Pagan
 
tuliziweka habari zote kabla ya uchaguzi mkaziondoa... hamkuziona za maana sasa mama MODS wanaziacha for what reasons?

it is a failure from news achors, politicians, Jamii Forum to our Jamii Forum Mods
yep haya ni marudio anafanya huyu mutu.
 
Kifupi huyo DC wa Igunga kuna maeneo aliyowahi kufanya shughuli za kisiasa hawakushangaa masahibu yaliyomkuta huko. Mfano wananchi wa Tandahimba, wengi walishukuru alipohamishwa.Na wanasema ana asili ya ukorofikorofi walijua iko siku yatamkuta kwa wababe wengine.
 
Watanzania bwana tu watu wa ajabu sana
Kwani huyu sheikh hakuwapo tanzania wakati BAKWATA walipolivalia njuga jambo hili?
Au ndo ile karama ya unafiki inavyowatafuna binadamu?
 
Ha! Ha! Ha! Ha!, unataka kupangia watu eti usipokuwa mkiristo basi muislamu hizo nia akili za ukungu.

Mimi sio mkiristo wala muislamu mimi ni Pagan, ndio maana hata kwenye jukwaa la dini uwezi kuniona nabishana.
Na siwezi kwenda mpaka nakufa sababu mimi ni Pagan

Kwani ukiwa pagani ndo ushindwe kuona alama ya kuuliza? Hata hapo utakuwa hujanielewa.

Jitahidi kusoma kwa utulivu ili uelewe alichoandika hata kama umesoma shule ya kata.
 
tuliziweka habari zote kabla ya uchaguzi mkaziondoa... hamkuziona za maana sasa mama MODS wanaziacha for what reasons?

it is a failure from news achors, politicians, Jamii Forum to our Jamii Forum Mods

Sure hii forum saivi hawa mods wanapotezea posts nyingi sana tayari imeshaingiliwa na kupe.....
 
Mimi sina cha kusema nilikuwa nataka tu kufahamu, kwa hiyo Mkuu, CDM ni chama cha Wakiristo tu?

Kuna Ubaya Gani wewe kukiona CHADEMA kama Chama cha kikristo? weka kama ni imani yako na tunza rohoni mwako na vundika kama ni imla yako ya kipweke na ya kifitina; na ujue kuwa Igunga Chadema ilipata kura 2,300 na chama chako CUF kilipata kura 1,200
 
Crackpot
 
Walitumika kama wajinga hawa wa Wizara ya madini? hivi inakuwaje jitu zima na akili zake linatumika kama Condom?

avatar43962_3.gif
afadhali hata kondom inazuia maambukizi... sasa hebu angalia hao wanaume/wanawake wanaosukuma gari hapo wanafaida gani... wako bize masaburi na familia zao ziko zinateseka
 
Issue sio DC au Uislam wala ukristo! Jalia kwamba aliyedhalilishwa ni mama yako mzazi.

Acheni upuuzi Hivi josephine alipodhalilishwa pale arusha na polisi wa sisiemu mbona hamkuropoka,mbona hamkusema tufikirie angekua mama yetu..Acheni unafiki kuweni wakweli Some one being DC doesn't prevent him/her to be arrested if she/he broke the laws..
WANAFIKI HAWATAURUTHI UFALWE WA MUNGU KAMWE!!!
 
Ee bana umenena,unajua tunatofautiana uelewa,wengine huwa wanafikiri chama cha siasa ni kama clubs i.e man u,liver,chelsea...
 
Huku kwetu Tandahimba ambako kuna waislamu tele na kuna nguvu kubwa ya upinzani hasa CUF,DC wa Igunga alipata kuwa DC huku. Kifupi raia takribani wote wa Tandahimba waliowahi kumfahamu hawakushangaa yaliyomkuta.Ana ubabe uliokithiri maelezo. Mkorofi,jeuri,kiutendaji anasumbua,kwa wananchi ndo usiseme.. Yaani basi tu! Kifupi yaliyomkuta Igunga ni kama alipokuwa huku alirusha boomerang,sasa miaka mingi baadaye imemgeukia..!
 
Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, “Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa.”

Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, “Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu).”

Baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa BAKWATA na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa CCM. SOURCE - Gazeti la Mwanahalisi.

Ina maana FFU watampiga mawe?
 
Kuna Ubaya Gani wewe kukiona CHADEMA kama Chama cha kikristo? weka kama ni imani yako na tunza rohoni mwako na vundika kama ni imla yako ya kipweke na ya kifitina; na ujue kuwa Igunga Chadema ilipata kura 2,300 na chama chako CUF kilipata kura 1,200

Achana na watu wenye kutanguliza udini. Bila kujali hata hiyo dini yenyewe inasemaje.
 
Back
Top Bottom