Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, "Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa."
Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, "Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu)."
Baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa BAKWATA na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa CCM. SOURCE - Gazeti la Mwanahalisi.