Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

katika hali hii nadhani utafiti wa "kisomi" kuhusu kambona na wengine itabidi kukubali kuanzia kwenye simulizi.

Simulizi ndiyo hizo ambazo mwandishi katoa baadhi ya info kutoka kwenye magazeti ya Uingereza ambako Kambona aliwahi kuhojiwa na may be for some reasons habari hiyo haikuchapwa zama hizo kwa kuwa ilikuwa inatoa upande wa pili wa shilingi. Sasa ni simulizi zipi ambazo mnazitaka? Akina Chipaka (Lifa) bado wako hai waje watuambie ilikuwaje wakasundwa gerezani. Tatizo ninaloliona ni kwamba wale walio pro-Nyerere wataongelea uzuri wa Nyerere na umalaya wa Kambona, lakini hawawezi kusema ubaya wa Nyerere na uzuri wa Kambona. Sasa utachukua stori ipi ambayo ni sahihi?

Naomba tuwasiliane na Prof. Issa Shivji nadhani anaweza kutusaidia maana na yeye alipitiwa na panga la Nyerere zama hizo katika harakati za kuandika vitabu. Hapo ndipo unapoweza kuona kwamba kuna vitabu ambavyo vilikuwa na balanced info havikutoka vilibaki kapuni na vile ambavyo vina mazuri ya Nyerere na serikali yake vilitoka haraka sana na kuwa recommended kama vitabu vya rejea kwenye mitaala ya sekondari na vyuo.
 
Simulizi ndiyo hizo ambazo mwandishi katoa baadhi ya info kutoka kwenye magazeti ya Uingereza ambako Kambona aliwahi kuhojiwa na may be for some reasons habari hiyo haikuchapwa zama hizo kwa kuwa ilikuwa inatoa upande wa pili wa shilingi. Sasa ni simulizi zipi ambazo mnazitaka? Akina Chipaka (Lifa) bado wako hai waje watuambie ilikuwaje wakasundwa gerezani. Tatizo ninaloliona ni kwamba wale walio pro-Nyerere wataongelea uzuri wa Nyerere na umalaya wa Kambona, lakini hawawezi kusema ubaya wa Nyerere na uzuri wa Kambona. Sasa utachukua stori ipi ambayo ni sahihi?

Naomba tuwasiliane na Prof. Issa Shivji nadhani anaweza kutusaidia maana na yeye alipitiwa na panga la Nyerere zama hizo katika harakati za kuandika vitabu. Hapo ndipo unapoweza kuona kwamba kuna vitabu ambavyo vilikuwa na balanced info havikutoka vilibaki kapuni na vile ambavyo vina mazuri ya Nyerere na serikali yake vilitoka haraka sana na kuwa recommended kama vitabu vya rejea kwenye mitaala ya sekondari na vyuo.

mkuu nisome vizuri. nilikuwa namueleza mwkjj kwa nini ni muhimu kuanzia kwenye simulizi inapokuja suala la kambona na wengine wengi ambao historia haiwataji inapokuja kwenye michango yao kwa nchi hii.
 
STORY HAS IT THAT ..hata sokoine was silenced by power brokers kutokana na style yake iliyo mu overshadow mwalimu..though hilo mwalimu halikumsumbua kwa kuwa tayari alitaka kuondoka..watu kama kawawa na msuya waliokuwa wakitegemea wamrithi nyerere wali m fix sokoine...

PIA NA HILI TUWAULIZE HAWA..anyway nchi nyingi wana utaratibu wa kuziweka archives za SECRET SERVICE na mambo mengine nyeti wazi for PUBLIC CONSUMPTION baada ya kipindi fulani..mfano marekani MAFAILI mengi ya siri ya miaka ya 60 yako wazi ..ili historia iwekwe sawa..hata hapo kenya baadhi ya taarifa za siri za serikali ya KENYATTA zimeanza kuwekwa wazi kwa awamu..na kuna kipindi NATION walitoa series ya baadhi ya taarifa.....utashangaa hadi leo kwetu mambo kama kifo cha karume[na uwaji wake wa watu kama hanga ]...ets bado ni kitendawili..ni udhaifu wa waandishi wetu au..?

Philemon Mikael,

Kuna jamaa wawili, mmoja anaitwa Joseph Mihangwa na mwingine William Shao walikuwa wanaandika sana habari kama hizi kwenye gazeti la Rai, wakiwa na rejea nyingi zinazoonesha kuwa labda walikuwa wanazipata kwenye "previously classified documents". Kama unawafahamu hawa waandishi au kama una njia za kuwapata, hebu ongea nao, wameandika mengi sana kwenye magazeti, lakini sijui kama kuna kati yao aliyeandika kitabu.
 
Kama hamjui kuna documents ambazo zilikuwa classified na sasa hivi zinaweza kabisa kupatikana. Kama Vatikano wameweza kufungua their Secret Archives na kuweka wazi kwa wasomi kupitia maisha ya Papa Pius wa wakati wa Unazi na nafasi yake nina maana watanzania wataweza kupitia historia ya Mwalimu na ukweli wote ujulikane. Kusema kuwa Kawawa hakuwahi kuwa na "mawazo yake" ni kutusi akili ya mwanadamu. NI kweli mtu anaweza kuwa mpenzi wa mtu fulani wakati akiwa madarakani lakini kwa hakika anaweza kabisa kuwa huru kimawazo baadaye. Tumeyaona hayo.

Wakati kina Salva wameeneza habari za Uhizibu wa SAS na nafasi yake katika Mapinduzi na hata madai ya kuhusika kwake katika mauji ya Karume ni nani aliyekaa chini na kumhoji SAS? Leo SAS yupo hai, Salva yupo kwanini hakuna mwandishi anayethubutu kuwahoji hawa? Tusubiri wafe ndio tuanze kutengeneza legends of heroes?

Msimamo wangu uko very clear on Kambona/Nyerere controversy. Kambona is dead and so is Nyerere. Now, who can tell us with authority and reliability on what really happened? What are people so afraid and unwilling to approach this question with humility of a scholar and with boldness of a fighter?

Why can't we all call for a scholarly approach and be willing to accept the judgment of history? I do not believe that all that was said about Kambona during Mwalimu's administration was true of him, and I also don't believe that everything that Kambona says is absolutely and unquestionably true just because "Kambona gave an interview in a British magazine".

Now, if you guys have already closed your mind on this question to the point that any challenge to Kambona's version of story seems to be defending Mwalimu, that is fine. But to me when it c comes to questions of biography and role different people played I'm more skeptical than on anything else. For I know, that history sometimes is written by people who think the hold history captive. And I also know that some times there are people who would like to revisit history, not to learn from it, but to revise it, even to their own liking.

So, what are we so afraid to be open and fair minded and be cautious when we read about what happened? There are so called "people who knew" who would like to tell the different story in the private chambers but in public would not dare to speak of it. Let call them to put on record what they know about Kambona and Nyerere; Kwanini tuogope watu hawa kuzungumza hadharani isipokuwa wanajifanya wana ujasiri wa kuelezea visa hivi kwa wanafamilia wao lakini hadharani wanagwaya? Kama wanajua wanachosema ni ukweli si wasimame wautetee? Mwalimu hayupo, Kambona hayupo, wanaogopa nini? Hawa ndiyo viongozi uchwara wasio na ujasiri wa kusimamia hoja zao na wanaishi kuwapendeza watawala wetu. Wasimame basi waseme kwamba Nyerere alimuonea Kambona na wanataka kurestore Kambona's historical role kwenye Taifa letu.

Kama mmoja alivyosema basi tuite mtaa, shule au kitu fulani in memory of Kambona, binafsi naamini kama kuna sababu ya kufanya hivyo why not? Kama CCM wanaona kuwa Kambona kaonewa si wana nguvu Bungeni? WAsimame walete hoja na ijadiliwe ili Kambona apewe haki yake! Vinginevyo, wataendelea kumtetea sirini na kumnung'unikia Mwalimu kwenye vyumba vyao!! I dare them to stand up for Kambona and be counted!
 
Mkjj mtafute Mama Maria, Kawawa, akina Hashim Mbita na wengine wengi, nina uhakika watakuwa na mengi ya kusema.
 
Mkjj mtafute Mama Maria, Kawawa, akina Hashim Mbita na wengine wengi, nina uhakika watakuwa na mengi ya kusema.

Kwa nini watafutwe wa upande mmoja tu? Watafutwe na wa upande wa Kambona pia, wahojiwe na wao tusikie wanachosema halafu tutaamua wenyewe nani tumwamini na kwa kiwango gani na nani tumpuuzie na kwa kiwango gani. Hakuna mtu aliye closed minded hapa. Sote tunachokitaka ni pande zote za hadithi na kwa haki na uwiano sawa. Nadhani hapa tupo ktk ukurasa mmoja. Mimi sina resources tu la sivyo ningejitolea kufanya utafiti wa hili jambo. Kama kuna wafadhili ambao wangependa kunifadhili na wanasoma hapa nitaarifuni.
 
1.
Kuna JF member moja kasema ati watu walizuiwa kuagiza magari madogo, hili sio kweli. Ukweli ni kwamba kodi ya magari madogo ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba wenye uwezo wa kufanya hivyo walikuwa watanzania wachache sana. Mimi nawafahamu wachache ambao waliweza kulipia na kuwa na hayo magari. Mwenye hiyo sheria kama ilikuwepo atuwekee hapa.

Mabaharia walifikia mahali hawakutakiwa kuleta magari, kama ilikuwa ni sheria au sio hilo sijui, kila aliyerudi na magari aliambiwa kuwa sheria hairuhusu kwa sababi magari ni mabovu yataleta polution, lakini wenye connection waliweza kuyatoa bila noma, sasa wasiokuwa na connections, ilibidi kuyasubiri magari yao wenyewe kwenye mnada wa serikali, ambako ndiko walikoenda kuyanunua tena kwa bei poa,

Hakuna baharia aliyerudi fresh ambaye hakuwa na hela za kulipia kodi ya gari lake, huo sio ukweli, maana hata hayo magari tulikuwa tukiyanunua Uholanzi kwa bei ndogo sana yakiwa katika process ya kuelekea kuyeyushwa, ndio maana mabaharia wengi walikuwa wakiyasubiri magari yao kwenye mnada wa serikali,

Mabaharia wenye connection, kama Timmy Toma, yeye alirudi na magari mawili, na vyombo vya bendi akaanzisha bendi ya Toma Toma na kina Kasaloo Kyanga, baadaye maa-agent wakaanza kumsumbua kuwa alitoaje magari na vyombo vyake ndipo alipoamua kukimbilia Zimababwe, btu kama unaaamini kuwa mabaharia waliorudi fresh walishindwa kukomboa magari kwa sababu ya kodi, labda unajua something I do not kuhusu mabaharia maana gari ilikuwa dola 300-500, kodi haikuwa zaidi ya dola 100, kwa waliokuwa nje kwa sughuli tofauti na ubaharia, sasa kweli baharia angeshinda kulipia hizo hela mbuzi mkuu? Hayo yako ni matusi kwa mabaharia!

2.
Swala jingine ni la passport, kweli zilikuwa zinatolewa tu kama unasababu ya msingi ya kusafiri nje

Mkuu ninamfahamu mshikaji wangu aliyekuwa na biashara moja tu mjini nayo ni passport, ambazo nyingi alikuwa akiwauzia wahindi na waarabu, ambao hawajawahi hata kufika bongo licha ya kuonyesha safari kama unavyosema, na huyo kijana na wakubwa wake aliokuwa akishirikiana nao, kupitia kwa Mbwana aliyekuwa mkuu wa uhamiaji then walitajirika sana na passport, kama hyajui mkuu dawa ni kuuliza tukufahamishe!


3.
ya nchi na wengi walikuwa wanapata lakini ukija kuomba na ukaonekana huna sababu ya msingi ulikuwa hupati kutokana na vijana wengi hasa miaka chini ya 25 waliopoteza maisha yao kwa kuzamia meli. Wengi waliweza kupata kwa njia moja au nyingine,

Ili kuweza kupata passport kwa uhalali au kwa mizengwe, ilikuwa ni lazima uwe una uwezo kwa hiyo mkuu wale wote waliop[ata pass kwa uahalali hata siku moja hawakuzamia meli, isipokuwa aliondoka kwa halali, vijana kama kina Chelu Fundikira, Raja Kaka, Mlela, Omondi, Lengwe, na watoto wachache kutoka Migo Migo, na Chang'ombe waliokuwa na uwezo wa kupata passport kwa halali yaani kimizengwe waliondoka kihalali, moja ya sababu kubwa ya kuzamia ilikuwa ni kutokuwa na passport mkuu, no way baharia wa kweli akazamia meli huku akiwa na passport kibindoni, hiyo sio kweli!

4.
nakumbuka wakati ule vijana wengi walikuwa wanakwenda buja na kuleta mashati ya juliana n.k.

Hawa vijana wote nilikuwa nikipambana nao nikiwa MV Liemba, ambayo ndio waliyokuwa wakiitumia kwa biashara zao, 90% hawakuwa na passport, walikuwa na travelling documents, na pia walikuwa na ujanja mwingi wa kuweza kuingia Buja bila pass, wala karatasi yoyote, wengi walikuwa vijana kutoka Bukoba, wachache sana waliokuwa wakitoka Dar, na nia na madhumuni yao ilikuwa ni ku-raise funds ili waondoke bongo kihalali, hata Vijana Jazz wenyewe na Maneti walipokwenda Buja hawakuwa na passport isipokuwa travelling documents tu mkuu, that is how serious passport ilikuwa kuwa nayo!

5.
wakati ule kusafiri kwa ndege ilibidi utume maombi benki kuu ili uweze kupata foreign currency, hili lilikuwa kuanzia mwaka 1978 kama sikosei na sio kipindi chote ambacho mchonga alikuwa madarakani.

Mkuu ili usafiri ulitakiwa kuwa na passport, kibali cha kununua tiketi ya ndege, na kibali cha kununua dola kutoka benki kuu, vibali hivi vilikuwa vinatolewa na BOT tu, sasa niambie baharia wa kawaida angeweza vipi ku-satisfy masharti ya kuweza kupata hivyo vibali?

6.
Vile vile lazima kupata muhuri wa customs wakati ule kuomyesha kwamba unalipa kodi (matatizo mengi ya wakati huo ilikuwa ni pamoja na kuvunjika kwa jumuiya ya Afrika mashariki 1977,

Sasa muhuri huo vijana wangeupata wapi na wao kazi yao ilikuwa ni magendo tu ya mtaaani? Ni wabongo wangapi then waliokuwa wakilipa kodi mpaka kueza kupata huo mhuri, si ndio zilikuwa njia tu za kula hizo mkuu?

7.
vita ya Iddi Amin iliyokuwapo 1978 kama sikosei n.k) Nyerere alipohutuba taifa alisema tufunge mkanda kwa miezi 18. wengi walitafsiri alimaanisha miaka 18.

Vile vita sheria za kimataifa zinasema kuwa aliyekuchokoza unamtoa kwenye ardhi yako tu, halafu unaachana naye na kuwaachia UN walete majeshi yao ya peacekeeping, sasa kilichotupeleka Kampala ni nini? Maaana ni kwenda huko ndiko kulikotu-cost tunalipa madeni mpaka leo! Maneno ya kufunga mkanda miezi 18 mbona yalikuwa hayawagusi wenye nguvu na the connected? Maaaan sikumbuki Mwalimu akisema kuwa itakuwa kwa wanyonge tu!

8.
Mwalimu hakupenda watanzania wasome - Kama ni kweli wengi tu tusingeweza kuwa hapa tulipo, shule za dini zilitaifishwa ili WTZ wasiende shule - MAKUBWA HAYA. Siye yeye aliyeanzisha hata elimu ya ngumbaru?

Katika hii topic nzima sijaona mahali point, labda ni yako mkuu, wananchi wamesema Mwalimu hakupenda kuwa karibu na wananchi wenye elimu nzuri na uwezo mkubwa kufikiri, akaishia kuzungukwa na kina Mkapa, sasa haya yanayotukuta taifa letu si ndio matokeo yake, umeabiwa Mao, alizungukwa na wananchi wenye akili kama yeye matokeo yake yanaonekana kule China sasa.

9.
Njia kuu za uchumi kumilikiwa na serikali - Huu ndio ulikuwa msingi wakati ule na nakumbuka mabasi ya Kamata, Shirika la reli mabasi yake tuliyabatiza rab na mikoani kulikuwa na mabasi kama vile KAUDO kule Dodoma, UDA Dar es Salaam n.k.

Kwenye hili sijakuelewa mkuu, una maana hiyo ilikuwa ni sera nzuri, kama ni kweli sasa kwa nini tumekwama na uchumi?

10.
MAFUTA HAYAKUUZWA JUMAPILI - Wakati wa vita ya nduli utumiaji wa mafuta ulikuwa ni mkubwa na jambo lililokubaliwa ni kubana matumizi ya mafuta na kupunguza gharama, hivyo iliamuliwa magari yasitembee siku za jumapili kuanzia saa saba mchana isipokuwa teksi na kwa shughuli muhimu kama dharura imetokea, sasa nalo hili unapoamua kubana matumizi ni lazima ufikirie ufanye nini, Je lilifanikiwa? wenye takwimu watupatie. Mwalimu alikuwa kiongozi kwa miaka takriban 23 katika hiyo alipata mafanikio makubwa katika nyanja za nyumbani na ugenini. Jukumu lake lilikuwa kuongoza.

Mkuu wangu tunajaribu kuangalia hizo sera na tulipo sasa hivi kitaifa, kwa sababu kulikuwa na vubali vya kuendesha gari jumapili, ambavyo wanaohusika walipewa tu njia ya kula, aliyeamua alikuwa ni Mwalimu sio wananchi wote wa bongo, maana faida yake kwa uchumi wetu sasa hivi ilikuwa ni nini? Ni wapi leo katika uchumi wetu unaweza kusema kuwa tumefanikiwa kutokana na the fact kwamba one time tulikuwa haturuhusiwi kuendesha magari jumapili?


11.
Kambona sikuona mafanikio aliyoleta Tanzania, kama kuna vitabu ameandika wanaofahamu watujulishe huenda tukavisoma.

Mkuu hapa tunatoa heshima kwa Kambona, kwa sababu miaka 22 iliyopita alisema maneno yanayorudiwa leo na Chadema na kina Mwanakijiji kila siku hapa against serikali yetu, the man had a vision, lugha yako ndio hasa Mwalimu alitaka iongewe atakapookuwa hayupo, kwamba ni yeye tu peke yake ndiye aliyeleta mazuri kwa nchi.
__________________
 
Kwa nini watafutwe wa upande mmoja tu? Watafutwe na wa upande wa Kambona pia, wahojiwe na wao tusikie wanachosema halafu tutaamua wenyewe nani tumwamini na kwa kiwango gani na nani tumpuuzie na kwa kiwango gani. Hakuna mtu aliye closed minded hapa. Sote tunachokitaka ni pande zote za hadithi na kwa haki na uwiano sawa. Nadhani hapa tupo ktk ukurasa mmoja. Mimi sina resources tu la sivyo ningejitolea kufanya utafiti wa hili jambo. Kama kuna wafadhili ambao wangependa kunifadhili na wanasoma hapa nitaarifuni.

Hashim Mbita alikuwa rafiki wa Kambona along na kina Sarakikya
 
Kwa nini watafutwe wa upande mmoja tu? Watafutwe na wa upande wa Kambona pia, wahojiwe na wao tusikie wanachosema halafu tutaamua wenyewe nani tumwamini na kwa kiwango gani na nani tumpuuzie na kwa kiwango gani. Hakuna mtu aliye closed minded hapa. Sote tunachokitaka ni pande zote za hadithi na kwa haki na uwiano sawa. Nadhani hapa tupo ktk ukurasa mmoja. Mimi sina resources tu la sivyo ningejitolea kufanya utafiti wa hili jambo. Kama kuna wafadhili ambao wangependa kunifadhili na wanasoma hapa nitaarifuni.

Nyani angalia posti zako za mwanzo na za wengine na unioneshe ipi ilikuwa open minded. Na kwanini nitakiwe mimi kuwatafuta watu hawa, I'm considered to be biased, so I recuse myself.
 
Hivi hawa wanaotetea Julius kwa madai kwamba lazima kuwe na balance, hivi walikuwa wapi wakati yeye anakandaniza wenzake bila kuwapa nafasi sawa za kujitetea au kutoa maelezo kwa upande wao!!!?. Huu ni unafiki wa kiwango cha chini kabisa

good question.. wewe ulikuwa wapi ukaacha Julius akandamize wengine?
 
1.
Mkuu hapa tunatoa heshima kwa Kambona, kwa sababu miaka 22 iliyopita alisema maneno yanayorudiwa leo na Chadema na kina Mwanakijiji kila siku hapa against serikali yetu, the man had a vision, lugha yako ndio hasa Mwalimu alitaka iongewe atakapookuwa hayupo, kwamba ni yeye tu peke yake ndiye aliyeleta mazuri kwa nchi.
__________________


mzee unaniwekea maneno kinywani mwangu. Sijui ni maneno gani ya kwangu yanalingana na ya Kambona. Sistahili kuwekwa kwenye kundi lake; mimi siwezi hata kuinuka mbele yake.
 
heshima mkuu.
nadhani wapo wanamapinduzi wa kweli waliokimbia nchi zao bila kuingia mstuni. mzee utakuwa huwatendei haki kwa kusema kwamba kwa vile hawakuingia msituni basi hawana uchungu na wala si wazalendo. wanamapinduzi wa aina hii huamini katika njia nyingine za mapambano kuliko ile ya msituni. wamefanikiwa au la hilo ni kitu kingine, lakini uchungu wanao.

Nafuatilia kwa karibu mjadala huu. Ni mjadala muhimu sana katika kuweka sawa historia ya Taifa letu. Nadhani Kambona kukimbia nchi sio sababu ya kushuku uzalendo wake hata kidogo. Kutokwenda kwake msituni (sijui msitu gani hapa Tanzania) ilikua ahueni kwa nchi yetu na ina amani mpaka sasa. Tuendelee
 
wacha kuogopa kivuli chako ww, mwanammme hawi moga wa alioyanena

mtu wa pwani, napima kila neno ninaloliandika na na namaanisha kila ninachoandika; siandiki kwa hisia. So, maneno yangu nayapima sana. Nikikosea nitakuwa nimekosea tu. So,siogopi kivuli changu.
 
Zitto said:
Nafuatilia kwa karibu mjadala huu. Ni mjadala muhimu sana katika kuweka sawa historia ya Taifa letu. Nadhani Kambona kukimbia nchi sio sababu ya kushuku uzalendo wake hata kidogo. Kutokwenda kwake msituni (sijui msitu gani hapa Tanzania) ilikua ahueni kwa nchi yetu na ina amani mpaka sasa. Tuendelee

Mkuu Mheshmiwa Zitto,

Heshima mbele, hiii yako ni amina tu!
 
Kwa nini watafutwe wa upande mmoja tu? Watafutwe na wa upande wa Kambona pia, wahojiwe na wao tusikie wanachosema halafu tutaamua wenyewe nani tumwamini na kwa kiwango gani na nani tumpuuzie na kwa kiwango gani. Hakuna mtu aliye closed minded hapa. Sote tunachokitaka ni pande zote za hadithi na kwa haki na uwiano sawa. Nadhani hapa tupo ktk ukurasa mmoja. Mimi sina resources tu la sivyo ningejitolea kufanya utafiti wa hili jambo. Kama kuna wafadhili ambao wangependa kunifadhili na wanasoma hapa nitaarifuni.

nyani ..habari za upande wa pili zitapatikana tu ..MJANE WA MAREHEMU FLORAH KAMBONA ..na binti yake NEEMA [msemaji wa UMOJA house or european union dar]..wapo ...mama yake naye ahojiwe ana mengi ya kusema juu marehemu shemeji yake[mwalimu] na bestman wao...msichelewe yule mama nafikiri naye anaelekea uzeeni simsikii sana siku hizi...hapo nyuma alishawahi kuhojiwa na marehemu STAN KATABALLO wa mfanyakazi..aliongea kwauchungu sana juu ya kutoroka,maisha yao ya london [tabu na raha kiasi]..machungu ya kuuliwa kijana wao wa kiume kiutatanishi[wao wanahisi aliuliwa na ma agent wa tanzania ili kumuumiza zaidi kambona kwa kuwa yule kijana wa kiume alikuwa first bon..na alitegemewa na baba yake kurudi tz baadaye kuendeleza alipoachia..psychology attack..hiyo moment [ya kuuliwa kijana wao]hadi leo florah akiongea atadondosha chozi tu...waandishi hapo msichelewe basi time is running wazee wanaondoka hawa !!!!

kijana wa kiume wa kambona inasadikiwa kabaki mmoja[alizaa kwenye mechi za ugenini..you know what i mean wanaume]....inasadikiwa huyo kijana anaitwa OSCAR jr KAMBONA...kazaliwa na mama mzungu if i am right...yupo london na mambo yake ni njema [mfanyabiashara]...ila nasikia kwa hasira alizojazwa na baba yake hataki kukanyaga tanzania.hata kuzika hakuja ..zaidi ya kuuguza na kuaga london.inadaiwa hajulikani sana kwa kuwa baada ya yule kijana wake kuuliwa...kambona aliamua kumkinga huyu mtoto kwa kuficha identity ili asikomolewe tena...[fuatilieni na hilo]

neema na mama yake bado hadi leo kwa uchungu wanafuatilia mali za baba yao ..ambazo wanarudishiwa kidogo kidogo...mara ya mwisho nakumbuka florah alienda kumlilia mwinyi kwani baada ya kufika hata nyumba walipanga huku mume wake akiugua...mzee mwinyi aliwarudishia moja waishi..sijui mkapa...moja ya nyumba za kambona masaki ..kawawa aliwahi kuishi kwa muda zamani...
 
..kabla mwalimu hajafa alikuwa na project ya kuandika the one and the only auto ..yake akishirikiana..na prof haroub othman..na marafiki zake wengine wa pale ..mlimani na wengine vijana wake kama BEN na SALIM..ingekuwa nzuri the like of LONG WALK TO FREEDOM ya mandela mwenyewe or like that..nafikiri hawa wasomi wangetiwa moyo wamalizie hii kazi...na tuwaombe viongozi wetu wengine waandike vitabu...hatuandiki....
 
Unajua legacy moja ya Nyerere ambayo inaendelea kutugharimu na ambayo inajionyesha hata katika mada hii ni ukweli kwamba Nyerere alifanya watu wasifikiri kwa kuamini kwamba Mwalimu anafikiri kwa niaba yetu sote.

So, it was not expected during Nyerere era and in CCM in general (even today) to think independently. Why you, wakati Nyerere and CCM were there to think for you. Wewe ni kusubiri tu watakachosema Nyerere na chama halafu wewe unafuata kama askari. Hii inaendelelea hadi leo japokuwa imeanza kubadilika. Ndio maana watu karibu 2000 wanaenda kwenye uchaguzi kwenda kuidhinisha chaguo la mwenyekiti. Ndio maana hadi leo tunaendelea kuwa na nchi ya chama kimoja inayofanya uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi. Kwa sababu katika kupiga kura inabidi tumsikilize kwanza kiongozi anasema nini, akisema nataka mafiga matatu, tunaitikia hewala, yeye ndiye mwenye monopoly ya fikra, ndiye anayejua nani anafaa kuwa kiongozi, sisi wananchi ni kufuata tu yale anayosema, hatuwezi kufikiri.

Ndio maana basi inakuwa vigumu kuona mazuri ya Kambona simply because tulikwishaambiwa siku nyingi sana kwamba Kambona alikuwa mbaya na msaliti kwa nchi yake, sio mzalendo. Wewe ni nani leo hata ubadilishe hiyo, wewe unaweza kufikiri kuliko Nyerere na CCM? Thubutu! This is the dirtiest legacy that Nyerere left with us and it gonna cost us dearly for a very long time!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom