Baiskeli
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 336
- 61
Tumeona makampuni ya simu kubadili majina kwa mfano airtel ilikuwa celtel ikaja zain kisha sasa tuko na airtel. maneno mengi mitaani yanadai ni kukwepa kodi. je ni kweli? na kama ni kweli inamaana wanachakachua hadi nchi nyingine? maana mabadiliko yanakuwa nchi zote ilipo hiyo kampani. wajuaji fafanueni. nawasilisha.