Ukweli ndio huu wadada... Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake!

kweli mimi kwa kilaza sirushi mguu
mtu kareseat form form mara mia
hana maisha ya kueleweka
hapana hapana
hajui ata kuuza nyanya
no big no

Kama umempenda tatizo ni mshiko, Si utakuwa ukimsaidia.Mapenzi si ni zaidi ya mali?
Itakuwaje pale umempata mtu ambaye anazo, baada ya kuwa nae ghafla zikakata kabisa, utaji withdraw?
 
Wewe kama ni mzazi......basi dekeza sana binti zako ukitegea waje kuolewa na wanaume wenye hali nzuri!
Na siku mwanaume akiukata ndo utakapo uona utamu wa kubakiwa na historia!

BTW,mmesahau ndoa inacomprise vitu gani!
Mwaume anaweza akawa well off lakini ndoa isijengeke hata robo!

sijamaanisha kudeka binti ili aolewe na mwanaume mwenye uwezo,mzaz lazima alee binti yake na amsomeshe pia amfundishe kujitegemea,lakin linapokuja swala la kuoa ni lazima binti awe makin lazima achague mtu mwenye kujishugulisha ili waweze kusaidiana kujenga familia na kuwa na maisha bora,wanaume wengine ni kuvaa tu suruali,kutwa nzima ni kubishana na wenzake kwenye kijiwe,sasa mme kama uyo si laana!!
 
Kama umempenda tatizo ni mshiko, Si utakuwa ukimsaidia.Mapenzi si ni zaidi ya mali?
Itakuwaje pale umempata mtu ambaye anazo, baada ya kuwa nae ghafla zikakata kabisa, utaji withdraw?

Mi nadhani unavompenda mtu ni tofauti na unavyoamua kuwa nae!
i.e unaweza ukampenda mtu lakini ukahitaji sababu za wewe kuwa nae pamoja........other than "just love"
 
Hakuna atakaye jisikia fahari kamwe!
Lakini ninacho sema sote tumepewa mikono hivyo usitegemee mtu akuletee ni bora wote tuka chakalika si mmoja kusubiri aletewe ili aende salon!

Kwani ukiwa mchakalikaji hizo pesa ndogo kama za kwenda saloon haziwezi kumshinda mtu!

kuna mtu apa atajisikia fahari kuona dada yake anaolewa na mwanaume asiye na mbele wala nyuma?
 
Mnajidanganya tu. Usiwaone wanandoa wanatoka ndani na gari yao wanachekelea ukaona kwao kila siku ni krismasi. Saa zingine mnashare gari manake helaa ya mafuta ni chache. Kwenye maisha kuna kupanda na kushuka. Muhimu ni wote kuwa na bidii ya kutafuta, positive attitude na kumuogopa kama sio kumuamini Mungu. Hata kama baba ataprovide mama ana nafasi kubwa sana ya kufukia mabonde. Na kuna vitu a real woman will take the lead!
 
Hahaha, kuna mwenza ambae ukijivuta mbele hatua tatu anakuvuta nyuma hatua nne. Akili mwanzo mwisho
Kama umempenda tatizo ni mshiko, Si utakuwa ukimsaidia.Mapenzi si ni zaidi ya mali?
Itakuwaje pale umempata mtu ambaye anazo, baada ya kuwa nae ghafla zikakata kabisa, utaji withdraw?
 
kweli mimi kwa kilaza sirushi mguu
mtu kareseat form form mara mia
hana maisha ya kueleweka
hapana hapana
hajui ata kuuza nyanya
no big no

Huu ndio ukweli wenyewe, mbona kujitafutia presha bure
 
na labda tuko tofauti, napenda sana pesa.
Ila pesa hainipi satisfaction ya maisha.

To me, i see money as a tool, not the purpose for living.

Kuna saa huwa najichanganya au nashindwa elewa unamwacha mme au familia for money.

Sijavuta bangi ndo maana sielewi.

Mnajidanganya tu. Usiwaone wanandoa wanatoka ndani na gari yao wanachekelea ukaona kwao kila siku ni krismasi. Saa zingine mnashare gari manake helaa ya mafuta ni chache. Kwenye maisha kuna kupanda na kushuka. Muhimu ni wote kuwa na bidii ya kutafuta, positive attitude na kumuogopa kama sio kumuamini Mungu. Hata kama baba ataprovide mama ana nafasi kubwa sana ya kufukia mabonde. Na kuna vitu a real woman will take the lead!
 
true...wanawake wanataka wanaume wenye hela na ndio maana tutaendelea kuwamega tuu...ndio faida ya mfumo dume.

wanawake pia tunaomba muwe realistic wit ur options...kuna mademu wakuongwa bmw na wengine chips kuku.
 
aisee usije jipeleka kwa mwanaume kwa kumuonea huruma kwamba ipo siku ataamka...mwanamme mvivu ni mvivu tu..kama maisha yamemshinda mwenyewe wewe ndo ujipeleke? mtu aoneshe juhudi hata kama anapata kidogo
ndo yale yale nilianza na mume wangu hana kitu nimemsaidia kapata hanithamini...si hajatoa jasho?
mimi kwa kweli mwanaume lazzy nooooooo
akauze hata nyanya soko kuu tule dagaa huko simlishi kiti moto au kuku kwa hela yangu atakula hivo vitu siku akipata hela ya kuvinunua

Mwanaume mvivu ni wa kumuogopa kama ukimwi... mtagombana kila siku
 
true...wanawake wanataka wanaume wenye hela na ndio maana tutaendelea kuwamega tuu...ndio faida ya mfumo dume.

wanawake pia tunaomba muwe realistic wit ur options...kuna mademu wakuongwa bmw na wengine chips kuku.

Na wewe!!!!!???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom