Ukweli na Uongo wa HLSSF utajulikana hiku hii

Ulamaa Hemed

Senior Member
Sep 21, 2012
159
16
Nimewasiliana na wahusika wa HLSSF kuhusu utoaji wa majina ya watu waliopata mkopo kwenye taasisi yao wakasema watatoa majina ya waliopata mkopo baada ya October 30 watakapo funga dirisha la maombi,kwahiyo ukweli na uongo wao utajulikana baada ya October 30
 
Hao jamaa basi ni waongo,mim wameniambia kuna majina watayatoa muda wowote kuanzia sasa,wewe nae wamekuambia vingne tena!
 
Niliwauliza kuhusu hilo la kutoa majina hivi karibuni wakaniambia taarifa hizo sio sahihi ila majina yatatoka baada ya mwisho wa maombi October 30
 
hawa jamaa si kuwaamini kwa mia asilimia kwani hawako wazi hata fwfha zao wanatoa wapi...nawafananisha na Deci,Pafdia,na vikundi vya upatu.
 
hawa jamaa bana,me siwaamini that much,sasa iweje watoe majina mwez october wkt vyuo vinafunguliwa wiki ijayo,sidhani kama wana lengo la kusaidia watu,sababu mtu hawezi kwenda chuon kama hajajua kama anapata mkopo au vipi!ni wababaishaji 2 kwa kifupi.
 
Jaman iyo Ngo,iko wap nami niombe,potelea mbali ni kikosa,coz sina loan,na naenda 2nd yr.! Jaman niambie mkuu
 
hawa jamaa si kuwaamini kwa mia asilimia kwani hawako wazi hata fwfha zao wanatoa wapi...nawafananisha na Deci,Pafdia,na vikundi vya upatu.
 
Jaman iyo Ngo,iko wap nami niombe,potelea mbali ni kikosa,coz sina loan,na naenda 2nd yr.! Jaman niambie mkuu
Wapo makutano ya uhuru na lumumba ila fom za maombi zinapatikana kwenye website yao zipo kopi 7 km za HESLB za Mwaka Jana wamezicopy na kupest
 
duh mbna hawa wa2 bac waongo mana mm nlivyofka kumuulza secretary akasema et wale waliowahi yaan tangu mwz 2 walio apply huku ndo wanapata mwz wa10 lkn wale amabo wamechelewa hadi wale wa 30 oct watapata 11 nov duh hawa wa2 hatari
 
hata mimi ndio nilichoambiwa hcho mkuu.
 
tuombe iwe ni wakwel...maana wakiwa na wale akina nanii itakua noma!!
 
Naomba unipatie iyo web..yao,niwacheki..plz fanya ivo,coz Heslb siwaamin tena maishan mwangu..
 
HLSSF ni NGO iliyoanzishwa kwa kujitolea.Sisi tuliguswa na matatizo mbalimbali yanayowapata wanafunzi kutokana na uhaba wa pesa ya kulipia gharama za kusoma pamoja na mahitaji mengine.Mbali na swala la kuwataafutia ufadhili wanafunzi wa elimu ya juu;tunazo objectives nyingine ambazo tumeruhusiwa kwenye usajiri wetu kuzifanya.Kikubwa ni kwamba wanafunzi tunaomba muelewe ni kwa jinsi gani NGOs zote huwa zinafanya kazi zake.Si hajabu wengi wenu hamjui hata maana ya NGO kwa undani wake ni nini?

Kuhusu programu ya kutoa mikopo kwa wanafunzi kwa mwaka huu ni kwamba:Sisi tunapokea maombi yako wewe mwanafunzi;ambaye unataka mkopo wa kusoma elimu ya juu;then tunapitia applications zako kwa undani.Tukijiridhisha tunakuingiza kwenye list ya wale applicants ambao tunawaombea pesa kutoka kwa wafadhili wetu.Hatuwezi kumuhakikishai mwanfunzi kumpa ufadhili/mkopo bila ya kuwa ameleta application yake kwetu.

Chanzo ya kwanza cha pesa za kuwapa wanafunzi ni pesa za wafadhili na wahisani wetu;kama ilivyo NGO yeyote popote duniani.Lakini ili mfadhili wetu haweze kutoa pesa kwa kujiridhisha kuwa kweli kuna watu wanauhitaji wa kupewa support ya mkopo;ni lazima uwe umeleta maombi yako rasmi kwa kujaza fomu husika;hizi fomu ndicho kielelezo cha kwanza au first evidence kuwa kweli wewe unahitaji hizo pesa na unashida kweli.

Basi nawaomba vijana wenzangu muelewe hili na muwe na subira ili pindi tu majibu ya maombi yenu kupitia proposals zetu tulizowaandikiwa wafadhili yatakapotolewa tutawajulisha wale waliofanikiwa kupata ufadhili huu.

Kama tulivyoeleza kwenye mtandao wetu www.hlssf.org; wazazi wa watoto wanafunzi wanaotarajiwa kuingia vyuo vikuu next years wanatakiwa kuielewa HLSSF kwa upana wake na kujiunga na programu yake ya HLSSF EDUCATION INSURANCE SYSTEM ambayo itawasaidia watoto wengi zaidi kupata ufadhili wa elimu ya juu kwa miaka ijayo.

LAST BUT NOT LEAST; I URGE YOU PEOPLE TO STOP TALKING AND WRITTING TOO MUCH ON ISSUES OF WHICH YOU ARE NOT CERTAIN".WISH YOU ALL THE BEST.

IT'S ME
RESPICIUS KAMUHABWA,
DIRECTOR GENERAL - HLSSF
+255 765 420 512/717 488 745.
 
kwa hiyo mtu yeyote mliepokea maombi yake,tayari mmekwisha yawakilisha kwa wafadhili ili ashughulikiwe kupata ufadhili au kuna process nyingne tena?
 
Back
Top Bottom