Ukweli kuhusu tendo la ndoa

The seer

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
407
690
Katika raha ya kiwango cha juu sana kuliko zote duniani ni ile raha ya kujamiana ambayo wengi husema utamu ule sio utamu bali ni raha kwasababu utamu huonjwa kwa ulimi ili kutambua utamu lazima ulimi uhusike. Raha ya tendo la ndoa ni raha ya juu sana kuliko zote ikifuatiwa na raha ya kujisaidia na pia ni raha ambayo maskini na matajiri wanaipata bila shida.

Raha ya kujamiana ni muunguniko wa hisia za hali ya juu kati ya msuguano wa uke na uume na ufahamu (conscious mind) ambapo mtu anafikia kiwango cha juu cha raha kikimalizika kwa kupiga bao kwa mwanaume na mwanamke kufika kileleni ambapo mwili wote na mishipa mbalimbali mwilini huhusika ili kufika kileleni, raha ya kujamiana ni raha ya juu sana mpaka wengine hupiga kelele na kulia, wengine hata imetokea wanajamiana porini wanakaribia kupiga bao nyoka akatokea ghafla lakini wakaendelea na kumwambia nyoka toka toka toka ilimradi wasikatishe kufika kileleni

Maswali ya msingi; ile raha au utamu wakati wa kujamiana unatoka wapi? Je mwanaume anapojamiana utamu anaoupata unatoka kwa mwanamke au kwake mwenyewe na mwanamke je unatoka kwa mwanaume au kwake mwenyewe. Jibu ni kwamba mwanamke na mwanaume wanapojamiana utamu kila mtu anao mwenyewe.

Kinachokusaidia kupata utamu kwa mwanamke na mwanaume ile msuguano wa uke na uume mpaka kufikia kileleni, tendo la ndoa ni swala la kisaikolojia zaidi hivyo hakuna mwanamke mtamu kuliko mwingine swala ni kucontrol msuguano, wanawake wote ni sawa.

Kinachofanya uhisi mwanamke mwingine mtamu kuliko mwingine ni hisia zako na saikolojia yako juu ya huyo mwanamke umbo lake, rangi yake, size yake ndio maana wanaume wengine huhisi wanawake wanene ndio watamu wengine wanahisi weupe ndio watamu yote ni hisia tu.bucha mbalimbali nyama ni ileile.

NB: UTAMU WA KUJAMIANA UNAO MWENYEWE kazi ya mwanamke ni kuactivate au kumotivate utamu ulionao mwenyewe acha kubadili wanawake kwa kutafuta utamu utamu ni uleule.
 
Katika raha ya kiwango cha juu sana kuliko zote duniani ni ile raha ya kujamiana ambayo wengi husema utamu.ule sio utamu Bali ni raha kwa sababu utamu huonjwa kwa ulimi.ili kutambua utamu lazima ulimi uhusike.
Raha ya tendo la ndoa ni raha ya juu sana kuliko zote ikifuatiwa na raha ya kujisaidia.na pia ni raha ambayo maskini na matajiri wanaipata bila shida
Raha ya kujamiana ni Muunguniko wa hisia za hali ya juu kati ya msuguano wa uke na uume na ufahamu(conscious mind) ambapo mtu anafikia kiwango cha juu cha raha kikimalizika kwa kupiga bao kwa mwanaume na mwanamke kufika kileleni ambapo mwili wote na mishipa mbalimbali mwilini huhusika ili kufika kileleni.raha ya kujamiana ni raha ya juu sana mpaka wengine hupiga kelele na kulia.wengine hata imetokea wanajamiana porini wanakaribia kupiga bao nyoka akatokea ghafla lakini wakaendelea na kumwambia nyoka toka toka toka ilimradi wasikatishe kufika kileleni
MASWALI YA MSINGI JE ile raha au utamu wakati wa kujamiana unatoka wapi?je mwanaume anapojamiana utamu anaoupata unatoka kwa mwanamke au kwake mwenyewe na mwanamke je unatoka kwa mwanaume au kwake mwenyewe.JIBU NI KWAMBA mwanamke na mwanaume wanapojamiana utamu kila mtu anao mwenyewe.kinachokusaidia kupata utamu kwa mwanamke na mwanaume ile msuguano wa uke na uume mpaka kufikia kileleni.tendo LA ndoa ni swala LA kisaikolojia zaidi hivyo hakuna mwanamke Mtamu kuliko mwingine swala ni kucontrol msuguano. wanawake wote ni sawa.kinachofanya uhisi mwanamke mwingine mtamu kuliko mwingine ni hisia zako na saikolojia yako juu ya huyo mwanamke umbo lake, rangi yake, size yake.ndio maana wanaume wengine huhisi wanawake wanene ndio watamu wengine wanahisi weupe ndio watamu yote ni hisia tu.bucha mbalimbali nyama ni ileile.
NB.UTAMU WA KUJAMIANA UNAO MWENYEWE Kazi ya mwanamke ni kuactivate au kumotivate utamu ulionao mwenyewe.acha kubadili wanawake kwa kutafuta utamu.utamu ni uleule.
Mimi nakataa!
Utamu wa mapenzi unategemea na mtu,huwezi kufananisha utamu unaopata ukiwa na irene uwoya na mwajuma sura mbaya wa Tandare.
 
sasa wewe pia mbona umechanganya hayo maneno mawili, wakati hapo mwanzo umesema kuwa neno 'utamu' linatumika kimakosa.
 
Umeandika kitu ambacho toka zaman sana nakijua
Asante sana ila ungejazia nyama kidogo tujue mechanism gani inatokea kwenye mfumo wa fahamu
 
Mimi nakataa!
Utamu wa mapenzi unategemea na mtu,huwezi kufananisha utamu unaopata ukiwa na irene uwoya na mwajuma sura mbaya wa Tandare.
Bado hiyo ni hisia yako ukiwa na uwoya unahisi raha sana.lakini utamu unao mwenyewe ila maumbile yao yanakufanya uhisi utamu zaidi
 
Sio Kweli.. Wanawake wako tofauti sana, tena sana...
Tupe utofauti.wanaume wengine wanapenda wanene wengine wembamba.inamaana swala LA kujamiana ni swala LA hisia na saikolojia.tupe utofauti ukoje
 
Tupe utofauti.wanaume wengine wanapenda wanene wengine wembamba.inamaana swala LA kujamiana ni swala LA hisia na saikolojia.tupe utofauti ukoje
Issue sio umbo la mwanamke issue Ni umbile la papuchi yenyew.. Ziko loose, zipi tight, ziko wet zipo dry, zipo zenye kina kirefu zipo zenye kina kifupi, zipo zenye critoris ndefu, zenye zenye critoris fupi, zipo za moto, zipo za baridi.. All in All wanawake wako tofauti sana hapo Kati.. Na utamu wao Ni tofauti Kabisa achilia mbali nakshi nakshi walizonazo mf kunyumbulika na kumwaga uno.. Tatizo hili sio jukwaa Letu lile, ningefunguka zaidi.
 
Sasa kwani jamaa yeye kasemaje.......?......umemuelewa lakini......?....
Kama nimemuelewa amesema utamu wa mapenzi hautegemei na mtu unayefanyanaye ila wewe mwenyewe kitu ambacho sio kweli
Huwezi kulinganisha hisia ambazo nazipata nikiwa na wema sepetu na zile ambazo nitazipata nikiwa na mwajuma ndala ndefu wa Tandare
 
Issue sio umbo la mwanamke issue Ni umbile la papuchi yenyew.. Ziko loose, zipi tight, ziko wet zipo dry, zipo zenye kina kirefu zipo zenye kina kifupi, zipo zenye critoris ndefu, zenye zenye critoris fupi, zipo za moto, zipo za baridi.. All in All wanawake wako tofauti sana hapo Kati.. Na utamu wao Ni tofauti Kabisa achilia mbali nakshi nakshi walizonazo mf kunyumbulika na kumwaga uno.. Tatizo hili sio jukwaa Letu lile, ningefunguka zaidi.
Hapo kwenye papuchi nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani.hizo ni special case
 
Back
Top Bottom