kwanza naanza kwa kuwapongeza woote waliobahatika kuchaguliwa kujiunga vyuo vikuu nchini. Nawapongeza sana, lkn wengi bado wananung'unika kwa kuchaguliwa ama chuo asichokipenda ama kozi ambayo sio nzuri katika mstakabali wa soko la ajira.... Lkn mimi naamini matokeo mazuri ndio kila kitu bila kujali aina ya kozi unayosoma. Kazana tu....
Chuki dhidi ya udsm
mimi kama mdau wa masuala ya vyuo vikuu nikiwa nimelelewa na kukulia udsm nimekutana na mambo mengi ambayo ni njama za vyuo vingine kuiua udsm. Kwa vile saikolojia ya wanafunzi wengi wa tz wanataka wasome udsm, "najua unaweza kuguna lkn huo ndio ukweli"
.... Inapotokea kakosa nafasi udsm chuki dhidi ya udsm inaanzia hapo. Na kwa jinsi hiyo huyu mwanafunzi anakuwa ameathirika na hali ile. Kwa jinsi hiyo vyuo vingi nilivyopita inakubidi kwanza hata kabla hujaanza kufundisha uiponde udsm ovyoovyo ili wanafunzi wajiskie..... Jamani.... Haya maneno huwa hayatoki moyoni mwetu...... Wakati mwingine inafikia hatua wamiliki wa vyuo wanawaandalia maneno ya kuwapa moyo wanafunzi wao yakiwa yamejaa kejeli dhidi ya udsm. Kiukweli kitu hiki kimekuwa kikiniumiza kichwa sana lakini leo nimeona niweke wazi kuwa, hata tunaposimama na kuiponda udsm mbele zenu hua si kwa mapenzi ya moyo bali ni kwa matakwa ya wamiliki wa vyuo!
....hata ninavyomaliza kuandika udsm inapondwa live darasani ili kuwafurahisha wanafunzi wa chuo fulani.......dah