Ukweli kuhusu PHD aliyopewa kikwete!

Nimesikia Mkapa atapewa yake ya kutambua mchango wake wa kupambana na ufisadi.
 
Katika tasnia hii, ni uhuni. haiwezekani watu wakae kimya wakati mambo haya yanafanyika. Hata kama hayakusaidiii wewe, kwanini madaraja ya elimu yapo, namaanisha kuanzia shul;e ya awali hadi Phd. Wajukuu zetu tutawaambia nini wakitambua hayo? Kila jambo lina muktadha wake. Mazuri gani wakati wtanzania ni mafukara wa kutupa. Labda wewe kakuwezesha.
 
Hakuna mwenye wivu na Kikwete wewe, jibu hoja, kalifanyia nini taifa mpaka kustahili kupewa hiyo PHD?
Swali; unafiki kama angepewa hayati Mwalimu Nyerere kuna mtu hangepinga hapa jamvini?

hauyaoni aliyoyafanya?.

Ngoja nikutajie baadhi:
1. Ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma.
2. Ujenzi wa shule za kata.
3. Sera ya Kilimo Kwanza na kuwawezesha wakulima.
4. Mikopo Elimu ya juu.
5. Uhuru wa Habari.
6. Uvumilivu wa kisiasa. Japo wahuni wa Chadema wanamtukana hovyo jukwaani ila amevumilia, angeamua kuwa kama Museveni pia angeweza.
N.k.
 
Nimesikitishwa sana na chuo ambacho watu wamepitia wengi sana na ambao wako kwenye ngazi muhumu sana serikalini kumpa PhD Kikwete. Mambo ya kujiuliza watanzania wenzangu ni kwa nini huyu mtu anapewa hii heshima? kwa lipi hasa alilolofanya kubwa kwenye sheria na mpaka apewe PhD? Je ni kuwanyima mahakimu wa mahakama za mwanzo mazingira mazuri ya kufanya kazi? ingekuwa vizuri na inampendeza mungu ningemtukana Mkandara kwa kusukuma hili na likawezana kwa sababu yeye ndo kawekwa pale kwa maslai yake Kikwete. I hate this and I will join who will rejoice the fall of Kikwete mzalimu na fisadi mkubwa nchini Tanzania na anayepewa PhD kwa ufisadi wake wa kubaka democrasia

GO9G3946.jpg


Huyo hapo ndo anakula ya Dr.Dr.Dr.Dr. Kikwete.
Hivi uporofesa nao hawawezi kumpa?

GO9G3993.jpg


Hapa tayari kesha lamba.
Hivi na M7 nae anapenda Dr. za kupewa?
 
Wivu utakuua wewe, ameshapewa PhD ngapi na vyuo vyenye hadhi gani ulikondee la Mlimani!!

Halafu, hivi akipewa hiyo PhD mfumuko wa bei unaongezeka? Au ndo Dowans wanalipwa? Labda utanyang'anwa uraia. Najaribu kutafuta kwa nini linakugusa hivyo hili suala, hakuna sababu ya msingi kumbe ni wivu tu...

Tatizo ni wivu. Hiyo phd aliyopewa wewe imekuadhiri vip!, asipopewa hiyo phd matatizo tuliyonayo yatakwisha?... Acheni wivu, hicho ni cheti tu, hakina maana yoyote ktk shughuli zake.
Nafikiri nyie hamjui hata maana ya PhD naona mnajisemea tu.
 
hiyo ni kawaida kwa vyuo nadhani wameona aibu kikwete kupewa phd 3 nje maana wengine wanatambua mchango wake.je wao
pia sio big deal kama mnavyogeuza hapa,mkapa ana degree ya football ya uchina unashsngaa law ya kikwete

Yes.! I think this the point.!
 
hauyaoni aliyoyafanya?.

Ngoja nikutajie baadhi:
1. Ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma.
2. Ujenzi wa shule za kata.
3. Sera ya Kilimo Kwanza na kuwawezesha wakulima.
4. Mikopo Elimu ya juu.
5. Uhuru wa Habari.
6. Uvumilivu wa kisiasa. Japo wahuni wa Chadema wanamtukana hovyo jukwaani ila amevumilia, angeamua kuwa kama Museveni pia angeweza.
N.k.
Mkuu nahic upeo wako wa kufkiri ni mdogo sana,kuhusu mikopo ya elimu ya juu hujui kwmb ktk awamu ya kikwete ndo wanachuo wameanza kupata mikopo kwa kutenganishwa ?pia haufahamu kuwa mwaka huu vijana wengi wenye sifa hata wale wenye division one wamekosa mikopo?khs kilimo kwanza,kilimo hicho hakiwanufaishi watanzania,kinachofanyika na serikal ni kubadilisha majina nakumbuka tulikuwa na kilimo cha kufa na kupona... nchi yoyote inayofuata demokrasia lazima kuwe na uhuru wa habari...tatizo ni kwamba vyombo vyetu vya habar vimekuwa vinaminywa kuongea mazuri tu ya serikali....Nina wasiwasi na upeo wako wa kufikiri...........it seems that you are a slow thinker
 
Kwani ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma ni kwa manufaa ya tz wote au kwa kundi la imani yake? Shule za kata wananchi wameuza hadi vigoda vyao waweze kuzijenga. Kama kuna uhuru wa habari mbona watu hupiga simu ktk vyombo mbalimbali kuchangia mada akishaanza kuponda tu serikali simu yake hukatika? Acha zako hizo hastahili hata kidogo kupata heshima hiyo vinginevyo angeeda kutunukiwa na malhaji wenzake huko
 
hauyaoni aliyoyafanya?.

Ngoja nikutajie baadhi:
1. Ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma.
2. Ujenzi wa shule za kata.
3. Sera ya Kilimo Kwanza na kuwawezesha wakulima.
4. Mikopo Elimu ya juu.
5. Uhuru wa Habari.
6. Uvumilivu wa kisiasa. Japo wahuni wa Chadema wanamtukana hovyo jukwaani ila amevumilia, angeamua kuwa kama Museveni pia angeweza.
N.k.

ni wajibu wake kwani we unadhani anafanya kwa hisani... Acha upuuzi mzee!
 
King Bhumibol, the 80-year-old king of Thailand, is worth US$ 35 billion. He is the longest serving monarch in Thai history. He has benevolently used his royal wealth in over 3,000 rural development projects in the country. He has a world record in having the highest number of honorary university degrees (136).

Kikwete is trying to complete with the Thai King ....
 
Hivi mtu akipewa honorary degree of surgeon, kesho yake anaweza kwenda MOI na kufanya surgery?

Just thinking aloud

FYI, FF honorary degree hawapewi MARAIS tu, hata mtu wa kawaida anaweza kupewa kama walivyopewa
Mama Gertrude Rwakatare, Mary Mwanjelwa etc (CCM MPs)
 
Mm nashauri UDSM wampatie honorary degree Professor Maji marefu MP, huyu hana hata STD 7 certificate ila kawa mbunge na ni mchawi, so ningeomba wamfikirie degree ya bureeee, thanx
 
Hakuna cha wivu hapo,ukweli unabaki pale pale,hakuistahili heshima hiyo hata kidogo.Hivi ni lipi kubwa la maana kaifanyia nchi hii zaidi ya kusafiri nje na kusahau vijiji vyetu na watu wake wakiwa wamegubikwa na umaskini wa kutisha? Ni katika kipindi chake hiki tumeona serikali inashindwa kuwalipa watumishi kwa wakati, na hata kufikia kukopa benki fedha za kulipa watumishi.

Ni serikali yake hii kwa sasa inashindwa kukusanya kodi kama ambavyo serikali ilopita iliweza, ni katika kipindi chake hiki urafiki umegeuka kuwa kigezo kikuu cha kupata nafasi nyeti serikalini, na ni katika kipindi hikihiki serikali inashindwa kuwakoromea mafisadi na kuwachukulia hatua thabiti,hatujawahi kukumbwa na kiza kwa kipindi kirefu kama kipindi hiki kutokana na mgao wa umeme na mengine mengi,sasa ebu niambie hyo heshima kedekede anazopewa zinastahilije?
 
Salim A. Salim; JK Nyerere wao walipata honorary Ph.D kutoka University za Nje ya Nchi

Huyu kaka yetu yeye anagombea zote za bongo??? na anavyosafiri nje ya nchi?

Hana lolote huyo nje nani anayemjua?na kwa lipi la maana alilofanya?labda asubili za kutoka G UNIT.
 
Back
Top Bottom