Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Hakuna samaki mtu wala samaki mbuzi

Tokea ni sikie masuala ya nguva ni stori za kusadikika kama popobawa hakuna picha,video au mtu aliyewahi kumuona samaki mtu licha ya satelites kuwepo

Hiyo skeleton haina tofauti na movie za alliens

Kuvuta watu hisia tu na fikra
 
Hakuna kitu kama hicho...
Story za ki popobawa hizo.
 
Nguva kwa imani ni kama majini yanayoishi baharini. Waganga wa kienyeji wanatuelezea na hata wavuvi wanaovua usiku baharini wameshawahi kuwaona.
 
Mi nadhani utafiti unahitajikaa zaidi ya ubishi. Kuna viumbe na mimea mingi tu ambayo imetoweka. Na si kila kitu lazima wakione wazungu tu ns
dio tuamini. Kuna vingi tu vipo ila maelezo yake hayapo vitabuni. Hebu nenda hata maeneo ya baharini kwanza upate maelezo kisha anzia hapo, si kubisha tu nyuma ya keyboard
 
Hii mambo hua naamini ni uongo wa kiwango cha juu juu na chini chini
 
Waongo tu
sina uhakika na nilipoiona nilipatwa mawazo mengi sana,
ilikuwa ni video ikimwonyesha huyo nguva,samaki mtu lakini alikua kafa,ana sura ya kike japo si mzuri ,ama mikono,maziwa ,tumbo na kuanzia kiunoni ndo mkia,
alikuwa kapatikana pwani ya somalia,nikiipata link ya video nitaiweka,sidhani kama kuna mtu anaweza foji ile kitu,
sura yake inatia simanzi ,mwili umekonda sana lakini ni mwili wa mwanamke kabisa,
 
Humu duniani kuna mambo ya ajabu mno,
video nimeipata,cheki hiyo ya kwanza,lakini nadhani hata zinazofuata zitakufanya ujiulize maswali mengi sana.
 
Hao nguva mbona mi cjawahi ona mwafrika wate wazungu tu wengine wana sindiria wengine wamesuka.rasta hayo yote kawavalisha nani? Jawa watakuwa nguba wa kutengenezwa jakuna kitu hicho
 
Wanajamii changieni mnayoyajua kuhusu ukwel wa uwepo wa hawa viumbe (nguva- nusu binadam nusu samaki).. Na ifuatayo ni research ndogo nliyoifanya kuhusu hawa viumbe.


The National Oceanic and Atmospheric
Administration (NOAA) reportedly confirmed
that mermaids exist and that they are growing in
numbers.
The National Oceanic and Atmospheric
Administration reportedly published a post on
their “Ocean Facts” newsfeed titled “Conclusive
Evidence of the Existence of Aquatic
Humanoids.”
The agency went on to say that “magic females”,
who first appeared in cave paintings in the late
Paleolithic (Stone Age) period some 30,000 years
ago, when modern humans began to sail the seas,
do exist and are living in all the oceans of the
world.
Animal Planet television recently aired a special
called “Mermaids: The Body Found,” that also
proved the existence of mermaids.
National Ocean Service spokeswoman Sandy
Nixon told WWN that “at least 65 mermaid
researchers and experts gathered on the island of
Tahiti to examine all the known evidence and
have concluded, emphatically, that half human
half-fish hybrids are living peacefully among us.
Mermaid experts say that the majority of
mermaids are in the warmer waters of the
Caribbean and the Mediterranean, but that many
have been spotted in the Pacific Ocean and
Southern Atlantic. ”There is a large school of
mermaids, swimming just outside Ocean City
Maryland,” said mermaidologist, Marcus
Plumkin, of the University of Florida.
WWN has also learned that recently the U.S.
government has captured 7 mermaids and that
they are being kept at an undisclosed aquarium,
where they are being studied. President Obama
has personally met the mermaids and was quite
impressed – according to reports.
Kiasi flani naanza kushawishika na hizo researches and facts juu ya hawa mythological creatures waitwao mermaids ....

Je wa kiume wapo? .... Series moja ya kikorea iitwayo SURPLUS PRINCESS yamuelezea mermaid mmoja ambaye ni princess huko kwao (underwater kingdom) aloangukia katika penzi na normal human being .....

I'm still watching it .... anaonekana hadi merman (kiume) na niko katika episode ya pili toka mwisho .... it's real an interesting story
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom