Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

Hamna madai yao yalio tekelezwa. yaani wametekeleza wasicho omba na walicho omba hawajatekelezewa. Mia
 
1.Serikali inatumia gharama kiasi gani ktk Posho kwa wanaokoroma Bungeni?
2.Watanzania hawa Watiifu kwa nini wanakomaliwa, Wezi waliochota Matrioni mbona jamaa hawako Serious?
3.Je ni kweli mazingira ya Hospitali zetu yanakidhi, madaktari wetu wako salama kiasi gani kwa mazingira haya?
 
Nia ya serikali ni kujenga chuki kati ya wananchi na Madaktari. yenyewe inatumia vyombo vya habari kuonesha inawajibika tatizo liko kwa Madaktari, Mimi nilishauri wananchi iko haja ya kuiambia serikali TUMECHOKA NA USANII WAO.
Hamna madai yao yalio tekelezwa. yaani wametekeleza wasicho omba na walicho omba hawajatekelezewa. Mia
 
Natamani wale wote wanaowalaumu Madaktari bila kuelewa undani hasa na sababu za huu mgomo wangekitazama hiki kipindi!!!! Haya yote ni kwasababu ya udhaifu wa serikali yetu!!!!
 
In brief serikali haioneshi kama ilishughulikia madai ya Madaktari, na upo upotoshaji mkubwa kwamba madaktari waliomba pesa ya kufanya uchunguzi wa Maiti kwa shs 100,000/ madaktari hawakuwa na dai hili, na Tanzania ina Madaktari wasiozidi 10 tu wanaochunguza maiti
Ukweli ni kuwa serikali ya CCM bado inatumia usanii na propaganda kama vile bado tupo miaka ile ya CCM yajenga Nchi,awataki kuamini kuwa wamevaa koti tu na bukta na sio suti kamili,awataki amini kuwa awana jipya la kuwaambia wadanganyika tena
 
Ukweli unawekwa wazi, wale walio wa hiyo kweli wataisikia sauti ya madaktari na kuwaunga mkono, japo serikali itakaa ikiuliza, "ukweli ni kitu gani?", kwani hawaujui ukweli.
Mshikamano daima madaktari, msilegeze, bado kidogo tu kitaeleweka!
 
Haya
asante kwa taarifa,,,,,,watawala hawatatibiwa mhimbili,while madaktar hawatakufa njaaa,kaz kwa walala hoi
 
Back
Top Bottom