Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

Unataka kusema kuwa Mapinduzi ya Zanzibar aliyafanya Nyerere au Wanzanzibari? hebu toweni ujinga wenu huko. Nyerere has got nothing to do with this. Na hakuna hata Mtanganyika 1 aliyewahi kufanya Mapinduzi huko ZNZ. Hizo zote ni chuki zenu kwa Watnganyika

Soma "Kwa heri Ukoloni kwa heri Uhuru" kitabu alichokuwa anakinukuu Tundu Lissu BMK wakati anamponda Nyerere.
 
Katika pekua pekua nimekutana na hili ni bora niwashirikishe
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
Mpaka leo bado kuna wazenj wengi wenye akili za kitumwa. Hawa mapinduzi yao yana subiri mwisho wa maisha yao, ingawaje wanapandikiza ujinga kwa wengine wengi.
 
Kuna kitu sikielewi vizuri kwenye haya "Mapinduzi Matukufu".... Uhalali wa waliopanga Mapinduzi, kuwatimua waarabu lakini hao hao waliopanga Mapinduzi kuoa na kujimilikisha wanawake na mabinti wa kiarabu.🤔

PASKALI ... Maoni yako tafadhali.
 
Kuna kitu sikielewi vizuri kwenye haya "Mapinduzi Matukufu".... Uhalali wa waliopanga Mapinduzi, kuwatimua waarabu

Mkuu @GwaB , hakuna Mwarabu aliyetimuliwa Zanzibar baada ya Mapinduzi Matukufu,

lakini hao hao waliopanga Mapinduzi kuoa na kujimilikisha wanawake na mabinti wa kiarabu.🤔

PASKALI ... Maoni yako tafadhali.
Ni kweli hili lilifanyika ili kuondoa ubaguzi wa ubwana na utawala. Kabla ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kulikuwa na ubaguzi mkubwa wa Waarabu kujiona Bora hivyo kuwa ni mabwana na Waswahili kuonekana ni watwana, hawakuruhusiwa kuoa Waarabu. Hivyo Karume akahamasisha watwana, kujitwalia mabinti wa Kiarabu na Washirazi na kuwaposa na huruhusiwi kukataa.

Amri hiyo ndio iliyomponza Karume na kupelekea kifo chake. Muuaji wa Karume, Luteni Humudi, akiwa mdogo, dada yake alichumbiwa kinguvu, baba yake akagoma, naomba nisiseme kilichofuata, akajiapiza kulipiza kisasi!. Akajiunga na Jeshi, akitimiza azma hiyo.
P
 
Huo ulikuwa ni ubakaji wa halaiki
Kwa kizungu kweli ni kubaka, lakini ki Afrika, it's not!. Sisi kwetu hadi kuna ngoma ya Chagulaga, unajitwalia tuu binti kinguvu na kwenda kujilia, kisha kesho yake ndipo mnapeleka ng'ombe kwenye familia ya mwanamke.
P
 
Back
Top Bottom