Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkaa Mweupe, Feb 9, 2010.

 1. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 659
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 18
  Katika pekua pekua nimekutana na hili ni bora niwashirikishe

  Gonga hiyo link hapo chini:


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 659
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 18
  Mambo yanasikitisha sana.
   
 3. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 406
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Sidhani kama amani itakuja patikana huko.
   
 4. H

  Hamad Yussuf Senior Member

  #4
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yametupa mafundisho, sisi ndio tunajua kiatu kinapobana na jinsi ya kuitatua matatizo tuliyonayo, na juhudi hizi ndio zimeanza
   
 5. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 659
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 18
  Hawa wanaoshabikia muungano wanahitaji kuona hii.
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,077
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Nadhani akina kubwajinga, fundi mchundo na mwanakijiji waangalie ukweli unakuja tu hakuna jengine uongo hufika mahali ukapotea baada ya ukweli kujulikana huyu muitaliano ni kweli alikuwapo wakati wa mapinduzi na katika vitabu vingi walikuwa wanasema haya SMZ ikikanusha haya tizameni muone faida za muungano hizo!!!
   
 7. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mambo kama haya kuna watakatifu makaburi yao tutayafufua kuwauliza waliungana kwasababu gani? I mean karume na Nyerere
   
 8. J

  JokaKuu JF Platinum Member

  #8
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 10,663
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 63
  ..tatizo la Zenj linatokana na Sultani wa Kiarabu aliyetawala hapo kujihusisha na biashara ya utumwa.

  ..upumbavu mwingine waliofanya kuacha makazi yao Uarabuni na kuhamia moja kwa moja hapo Zanzibar.

  ..Waingereza na Wafaransa hawakuhamia moja kwa moja kwenye makoloni na kuzikana nchi zao za asili. hiyo iliwawezesha kujiondoa na kurudi makwao, na kuepusha shari na mauaji pale wenye nchi yao walipoanza kudai uhuru.

  ..Waarabu na mzao wao wamewakandamiza Waafrika hapo Zenj miaka na miaka na sijui walikuwa wanategemea mwisho wake utakuwa kitu gani.

  ..binafsi nasikitishwa na kilichotokea wakati wa Mapinduzi, lakini kwa upande mwingine sishangazwi.
   
 9. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni kwamba wauaji si wazanzibar bali watanganyika wakiongozwa na okello?? that is the point
   
 10. J

  JokaKuu JF Platinum Member

  #10
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 10,663
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 63
  Tumaini,

  ..acha kujidanganya.

  ..wa-Tanganyika wasingeweza kuingia Zenj na kumfanyia kitu mbaya Sultani bila kushirikishwa na wa-Zenj wenyewe.

  ..tatizo lenu mnadinganya kufikiria kwamba utawala wa Sultani ulikuwa mzuri sana na kila m-Zenj alipendezwa nao.

  ..huko Zenj kila uchaguzi uliofanyika ulikuwa na matatizo na malalamiko yasiyokwisha. Mapinduzi ya 1964 siyo vurugu za kwanza za uchaguzi Zenj.

  ..Waafrika wa Zenj hawakupendezwa na katiba na sheria za uchaguzi zilizolazimishwa na Waingereza ambazo dhahiri zilikuwa zinawapendelea Waarabu.

  ..ZNP na ZPPP walifanya makosa, kwa kuongozwa na ubaguzi, kwa kuungana kuunda serikali huku wakiwaacha kwenye mataa ASP[Waafrika] ambao walikuwa wamepata kura nyingi na viti vingi.

  ..naamini ZNP wangekubali kuungana na ASP na Waziri Mkuu atoke ASP shari yote hii isingetokea. badala yake hila na ubaguzi vikawashawishi ZNP kwenda kuungana na ZPPP ilimradi Muafrika asipate kuongoza nchi yake mwenyewe.

  NB:

  ..kama wa-Tanganyika walishiriki Mapinduzi hayo ni kutokana na kukerwa na jinsi ndugu zao walivyokuwa wakidhulumiwa haki zao ndani ya nchi yao.
   
 11. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kujidanganya, kama ni kujidanganya unajidanganya wewe kufikiri kwamba watu wengi wa zenj walifanya haya mapinduzi ya kuua wazanzibar wenzao NO!

  Ukiangalia hii vidoe vizuri utaona watanganyika wakishirikiana na Okello na kikundi chake waliuua watu wa kabila moja (waarabu)..motives zao hazijawekwa sawa mpaka leo?

  Ndio maana reading books of history, naamini haya mapinduzi yalifanywa na karume na nyerere bila matakwa ya wananchi...na ndio maana mpaka leo hawataki kufanya referendum kuhusu muungano..kama mtanganyika nisiyependa kutawala watu wengine au nchi yangu kuwa sehemu ya huo ubabe wafanye referendum tukubaliane mambo ya muungano kwa haki..si ubabe
   
 12. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #12
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,985
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena Mkuu!
   
 13. J

  JokaKuu JF Platinum Member

  #13
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 10,663
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 63
  Tumaini,

  ..hao Waarabu hawana tofauti yoyote ile na Okello. they all could trace their way back to their countries of origin.

  ..kama Mapinduzi hayo yangekuwa hayaungwi mkono na wa-Zenj, haswa wale wanajinasaba na Waafrika, basi yasingedumu hata kidogo.
   
 14. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha! waarabu waliouwa kwenye hii video hawakuwa wanajeshi, hakuna sehemu inayoonyesha mapambano ni raia tena prisoners wangeshikwa wakapelekwa kambini au kurudishwa kwao hakuna tatizo lakini kuwaua kwasababu ni waarabu ni " totally against humanity and intermational laws of wars"

  Malengo yake ni kumaliza kabila la waarabu huko zanzibar what a shame?

  Mapinduzi yamedumu au yamedumishwa? kwa nguvu za mtanganyika acha rongorongo

  Tupige referendum tuone kama muungano utapata fursa hata huku bara kama hatujafanya ovehaul of its structure..

  siwezi kuwa sehemu ya jamii inayodhuluma watu haki kwa misingi ya race shame.
   
 15. J

  JokaKuu JF Platinum Member

  #15
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 10,663
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 63
  Tumaini,

  ..wanajeshi wa Kiarabu walikwenda wapi wakati wa Mapinduzi?

  ..inawezekana vipi kikundi kidogo cha wahuni kikamuondosha Sultani aliyekuwa akipendwa na wananchi wake kwa urahisi kiasi kile?

  NB:

  ..how popular was the Sultan and his regime among the Zanzibari of African origin?
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama kulikuwa na mapigano kati ya majeshi ya sultani na ya mapinduzi, lakini ajabu ni kwamba watu wa kabila moja (waarabu) wanalundikwa na kuua kwa pamoja.

  Kulikuwa na haja gani ya kuua watu waliokwisha surrender kama siyo kutaka kufuta jamii hiyo (ethinic cleansing)

  Kuna maandishi mengine yanasema waliuuwa wengi wao ni masheik wenye elimu kubwa ya dini ya kiislamu ili kisiwa hicho chenye sifa kemkem kuhus uislamu kibaki tupu..kisiwe na wanazuuoni ..hapo ndipo tunapo connect dots vipi mtakatifu nyerere alivyo husika kwasababu za kidini (chuki zake kwa uislamu)
   
 17. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,077
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Anayetaka kuyajua haya akasome historia ya Sheikh Hassan Bin Ameir atayaona kwanini walionekana hawa masheikh walikuwa na nguvu ya ushawishi zanzibar kwasababu jamii iliwakubali kama viongozi (nikifika hapa hutamani hata kulia kwani it is a disgrace kwakweli!!!)

  Pateni reference hiyo msome zaidi;

  http://victorian.fortunecity.com/portfolio/543/nyerere_and_islam.htm
   
 18. J

  JokaKuu JF Platinum Member

  #18
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 10,663
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 63
  Tumaini,

  ..je walikuwa wanauawa Masheikh indiscriminately, au walikuwa wanachaguliwa Masheikh wa Kiarabu tu?

  ..je, Zenj kulikuwa na Masheikh wowote wale wa Kiafrika?

  NB:

  ..kama Mapinduzi yaliongozwa na Nyerere na wa-Tanganyika, kwanini Sultani alikimbilia Dar baada ya kukataliwa kuingia Kenya?

  ..kwanini huyu Sultani hajirudii tu kwao Oman. vitabu vyote vya historia vinasema huko ndiko ukoo wao ulikotokea.
   
 19. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..je walikuwa wanauawa Masheikh indiscriminately, au walikuwa wanachaguliwa Masheikh wa Kiarabu tu?
  JIBU Waliua wengi waarabu lakini pia waafrika kwakuwa vita hii ilikuwa na mkono wa kidini nia ilikuwa ni kuondoa wanazuoni wengi as possible!

  ..je, Zenj kulikuwa na Masheikh wowote wale wa Kiafrika?

  JUBU: Walikuwepo wengi na waliuawa wengi pia

  ..kama Mapinduzi yaliongozwa na Nyerere na wa-Tanganyika, kwanini Sultani alikimbilia Dar baada ya kukataliwa kuingia Kenya?

  JIBU: Maandishi mengi yaliyoonyeshwa alitekwa na jeshi la Tanganyika" kwa hiyo kurudishwa Tanganyika ni maombi ya nyerere kwa serikali ya kenya
   
 20. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 2,577
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 48
  Mzee
  Hii link yako inasema CCM siyo Chama Cha Mapinduzi bali ni ''Christian Church Movement'':

  Quote :''This is a clear testimony that the union of Zanzibar and Tanganyika was the creation of Karume, a racist dictator nominal Muslim from Nyasaland (Malawi) and Nyerere, an autocratic devout Christian from Tanganyika. And consequently, Zanzibar has lost her strong Islamicity and sovereignty to Tanganyika since April 26, 1964 when the dictator Karume, signed the Articles of the Union, drafted by British expatriates, Attorney General Roland Brown and Chief Parliamentary Draftsman, P.R.N. Fifoot, to form Tanzania under the clique of the Christian Church Movement (CCM) of Tanganyika''.

  Hivi wakereketwa wa CCM mnaikubali hii ? au ni Freemasons na Da Vinci Code?
   
 21. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #21
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,077
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Good observation na pia kuna mahali hapa amesema hivi:
  Nyerere's vicious Crusade against Zanzibar to join the Organization of Islamic Conference (OIC), was unprecedented. His government suggested in 1988 to change the name of Dar es Salaam (The House of Islam), the capital of Tanzania where the Popal Office is represented for the African continent. But hostility to Islam was manifested on May 7, 1988 during the Conference of the ruling Chama Cha Mapinduzi (The Party of Revolution) at Dodoma. Under his Chairmanship in the Conference, the Chama Cha Mapinduzi suggested the abrogation of Islamic Law in Tanzania, though 65% of its population is Muslim. This political crusade under the auspices of the rulimg party, triggered a mammoth demonstration in Zanzibar on May 9, 1988 by Muslim youth after the Juma’a (Friday) prayers during the month of Ramadhãn.

  While the Muslims protested and demanded restoration of the Islamic State in Zanzibar, a massive police contingent, armed with clubs, tear gas and guns attacked the protesters. In the shooting, Ali Mansour Ali, active member of the Dãwat al-Islamiyyãh, was martyred. One of the protesters died the following day in the General Hospital among other hundred who were hospitalized but scores, including female Islamists were accused of "inciting" instability against secularism. It was imposed by Nyerere in 1979 when he addressed some Muslims at the Beit al-Ajaib (The House of Wonders) in Zanzibar.

  Adding the fuel to the fire, the police arrested four ulama, including Sheikh Nassor bin Ali, imam of the Kikwajuni Mosque. They were accused of being the instigators of the demonstration because shortly after of theirKhutba (sermon) in the Muslim youths mass demonstration protesting the blantant suggestion for the abbrogation of Islamic Law in Tanzania. After the mass demonstration, Seif Shariff Hamad, the then charismatic Chief Minister of Zanzibar (1984-1988), famous for being outspoken and his sentiments were linked with Islam, was sacked with his six colleagues; namely Soud Yusuf Mgeni, Minister for Agriculture and Livestock Development as well as member of the National Executive Committee (NEC) of the ruling party of CCM. Others were Hamad Rashid Muhammad, union Deputy Minister of Finance, Planning and Economic Affairs, Suleiman Seif Hamad, Deputy Speaker of Zanzibar House of Representative, Khatib Hassan Khatib, Member of Parliament, Shaaban Khamis Mloo, Member of House of Representative, Ali Haji Pandu, Member of House of Representative and Minister of Natural Resources and Tourism also former Chief Justice and Masoud Omar Said, Minister of Education. Ali Saleh, a freelance journalist who informed the BBC about the Muslim protest in Zanzibar against abrogation of Islamic Law in Tanzania, was thrown into jail and more Christian soldiers were sent to contain the Muslim "fundamentalists" in Zanzibar. This was accordance with recommendation of the American CIA for the creation of Tanzania. It was recommended by William Attwood, the then US ambassador in Kenya that "the Western powers prepared a contingency plan in case the Union would fail...and (after the union), the laws of Tanganyika would become supreme to round up (Muslim) radicals in Zanzibar."

  Therefore that is the author preferences for more ask him his name written underneath as Khatib M. Rajab
   
 22. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji JF Platinum Member

  #22
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 32,244
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 83

  ukitatufa humu kwenye JF utaona wengine tumeyapost haya na kuyaandika karibu miaka mitatu iliyopita. Hviyo tunapozungumzia mambo ya Zanzibar hatuzungumziii kutoka hewani. Tunajua gharama kubwa ambayo watu wa Zanzibar wameilipa.

  Mauaji ya kisiasa Zanzibar hayakuanza baada ya Muungano au baada ya mapinduzi. Ndiyo haya tunayoyasema historia ambayo Wazanzibar hawataki kuangalia. Mwaka 1961 waliuawa watu karibu 60 kufuatia vurugu za kisiasa Zanzibar lakini hakuna mtu anayejaribu kukumbuka; mwaka 1957 vile vile kulikuwa na machafuko na watu wakauawa, lakini hakuna mtu anataka kukumbuka.

  Wanataka kubebesha lawama watu wengine. Mapinduzi ndiyo maana yanaitwa mapinduzi!!!
   
 23. Kichuguu

  Kichuguu JF Platinum Member

  #23
  Feb 9, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 8,049
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 48
  Hii DVD niliwahi kuiazima kwenye local library; inazungumzia matukio mbali mbali yaliyotokea Afrika miaka hiyo ya 60, na niliwahi kuitoa hapa nadhani miaka mitatu au minne iliyopita. Video yenyewe ilikuwa katika lugha ya kitaliano pamoja na subtitles za kiingereza. Nimesoma kuwa kuna version ya kiingereza inaitwa Farewell Africa
  [​IMG]

  Kinachoshangaza hapa, huyu mtu aliyeitafsiri kwa kiarabu ameongeza masimulizi yake mengi ambayo hayako kwenye version ya awali.

  Pamoja na kuwa sikubaliani na mapinduzi yale kwa namna yoyote hasa baada ya kuona video hii na kusoma majarida na vijitabu mbalimbali kuhusu yaliyojiri wakati wa mapinduzi yale, vile vile sikubaliani na watu wanopotosha ukweli kwa faida zao za kisiasa hasa kwa nia ya kuchochochea mfarakano mpya. Mtu aliyetafsiri video hii kwa kiarabu amestretch ukweli sana kisiasa huku akitumia background ya image hizo.
   
 24. a

  alibaba JF-Expert Member

  #24
  Feb 10, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kichuguu mkuu wetu,
  Asante kwa maelezo na msimamo uliotoa juu ya uongezwaji chumvi na msimulizi wa video hiyo katika lugha ya kiarabu. kujaribu kupoteza ukweli wa jambo lolote ni jambo lisilokubalika kwani mara nyingi husababisha madhara. tuungane kuwatuhumu na kulaani vitendo yva watu kama hao.
  Mkuu kuuliza si ujinga Je hiyo picha ya mapoz, ndio picha yako halisi?
   
 25. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #25
  Feb 10, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 18
  Sioni ubaya wowote wa mapinduzi, kama kuna mwananchi wa zenji anaona bara ndio tulifanya mapinduzi basi ajue ni kwasababu hao waarabu mliowaweka huko kwenu walikuwa wanatumika kuwauza ndugu zetu kwenye biashara ya utumwa. Kama nyie mlikuwa hamtaki mapinduzi lakini watu wakaja wakafanya mapinduzi pole yenu, na badala ya kupiga kelele humu JF anzisheni motion huko zenji kuanzia mtaani hadi baraza la wawakilishi. Sisi wengine tumechoka kusikia kila siku kwamba nyie mnaonewa tu. Kama mnaona mnaonewa fanyeni kitu, kama ambavyo watanzania tunatakiwa kufanya kitu kama ufisadi unagandamiza.....
   
 26. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #26
  Feb 10, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 559
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna watu waliofanya ushenzi kama hao waarabu. Huyo muitaliano anataka kuyafanya mambo yaonekane makubwa. Waafrika walichukuliwa na kuopelekwa kufanya kazi Uarabuni kama watumwa mbaya zaidi wanaume walihasiwa. Huko ndiko unakosikia siku hizi mambo ya pwani wanaume kukata nyonga utadhani crank shaft. Midume ikawa inafanya kazi za ndani pamoja na kugeuzwa. Ni historia mbaya kuisikiliza lakini pia Waarabu nao walistahili. Nampongeza sana Karume.
   
 27. K

  Konaball JF-Expert Member

  #27
  Feb 10, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,254
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Tujiulizeni wana JF hivi haya MAPINDUZI hadi sasa yamemsaidia vipi MVUVI na MKWEZI?
   
 28. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #28
  Feb 10, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 1,452
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  Time is the best healer and where there is a will there is a way.
  Kinachotakiwa ni kuweka mazingira ili proper healing ichukue nafasi yake
   
 29. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #29
  Feb 10, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 1,452
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  The Zanzibar Revolution
  On the night of January 12, 1964 a band of some 300 people violently seized the Island of Unguja. They were led by a little known man named John Okello, who had lived on Pemba, having come to the Islands some years earlier from Uganda. In Zanzibar he developed a popular following among a core of young, tough men, many of whom were the Stevedores and Porters who worked the ships coming in and out of Zanzibar Harbor. His group met in secret. He promised changes to these men, fellows long used to working together, in[​IMG] sometimes dangerous settings, and ready to follow orders of any "captain" who could pay their fee. Theirs became a rebellion looking for a home.

  Political unrest had been increasing on Zanzibar and Pemba since the death of Sultan Khalifa in 1960. He had reigned in Zanzibar for almost 50 years, since 1911. After much jockeying for constituencies and coalitions the main political parties had narrowly split the two general elections of 1961 to the satisfaction of none. The British were leaving, their troops, including a contingent of Irish Guards, stationed near the golf course at the edge of Stone Town, pulled out in early 1963. When the new Sultan, Jamshid, hoisted the flag of the independent nation of Zanzibar, on December 12, 1963, he marked the departure of the last British Resident, (Governor) of Zanzibar and the end of the Colonial period.
  Another election in late 1963 had given a slim majority to a coalition of two political parties, the ZNP (the Zanzibar Nationalist Party) and the ZPPP ( the Zanzibar and Pemba Peoples Party). The ASP (the Afro-Shirazi Party) was to be in the minority in a British style parliamentary system with the Sultan serving as the reigning but not ruling "monarch".
  [​IMG]
  This Nation, a full member of the British Commonwealth and a newly enrolled sovereign member of the United Nations was destined to last only 33 days.
  Political debates raged and street demonstrations were not uncommon in those days. I remember bicycling to school through crowds chanting the names of political leaders and traveling in the country past road-blocks manned by British soldiers. The various factions debated everything; rights versus privileges, new-comers versus old established families, Capitalism vs Socialism, merchants vs landowners, Zanzibari's vs Pemban's, Asians vs Arabs, Swahili's vs Mainlanders, and all this against the backdrop of the Cold War and the other nationalistic and de-colonial movements abounding in Africa at that time.
  [​IMG]John Okello didn't have answers to these thorny issues, but he did have the insight to realize that all of these competing interests presented an opportunity for a man of action like himself. After all, a few hundred determined men might be able to seize the few local centers of communication and the three police barracks. Once he had those under his control and possessed the weapons stored there, who on the islands could throw him out? Would the politicians join together to denounce and oppose his illegal actions? Or as he hoped, would they continue to distrust each other, to suspect that one or another of themselves must have put him up to it? Would not they want to make a deal with him, quick, before someone else did? On that January night he rolled the dice.[​IMG]
  The ASP Party leaders, though surprised by Okellos' actions, (many were not even on the Island at the time) moved quickly to embrace the rebels. Hundreds of party followers were wiped into a frenzy by those eager to seize this opportunity to cut the Gordian knot of democratic debate and go straight to the prize of Ruling. They sought to gain the chance to remake society in accordance with their own ideals. Ideals were a dime a dozen in those days. Humanity was to become a much more costly item.
  [​IMG]
  Having seen just how vulnerable a government could be, and not trusting their own mixed record in open elections, it was clear to some ASP leaders that drastic measures were warranted to secure the survival of what was now being called "The Revolution". The mobs were unleashed. Law and order disappeared from the streets of Zanzibar. Landowners and merchants were dragged from their houses and shops, looting and killing spread throughout Stone Town. The City literally Sacked itself.
  Arabs and Asians, who had supported the other Parties in large numbers, were killed indiscriminately. In a single night uncounted lives were lost and over the next few days thousands more fled the Islands with only what they could carry.[​IMG]

  John Okello established for himself the rank of "Field Marshall" and, with his mob-battalions, established a reign of terror on the Islands. He broadcast bizarre threats and promises of death to all who might oppose him.
  He believed he was touched by God and demonstrated an eccentric attachment to symbolic numbers. For example on January 13, 1964, he broadcast the following messages: "The government is now run by us....should you be stubborn and disobey orders I will take measures 88 times stronger than at present." and, "If anyone fails to comply... and locks himself in a house, as others have done...I have no alternative but to use heavy weapons. We, the army have the strength of 99,099,000."
  His threats and his ability to act on them, panicked citizens, especially minority groups of all types. On January 14, 1964 he broadcast these chilling words. "Here is the Field Marshall of Zanzibar and Pemba....I am thinking of going to Mtendeni (village) to destroy it if the people there do not obey orders. After 40 minutes I am coming to finish you off, especially the Comorians". And "To all Arab youths living in Malindi; I will pass through Malindi armed with weapons of which I alone know. I want to see everyone stripped to his underpants and laying down. I want to hear them singing...father of Africans. God bless him in his task and that of the Field Marshall."

  [​IMG]When the dust settled the multi-cultural diversity of the Islands was radically altered. A One Party State was decreed. Still nervous regarding the possibility of resurgent opposition from their now exiled opponents, the "revolutionaries" further secured their positions by signing an agreement of confederation with mainland Tanganyika. This would allow thousands of mainland political allies to intervene in any future struggle. The police forces on the Isles were virtually replaced by mainland police loyal to the Party and an isolationist curtain fell over the Isles which was destined to persist for more than 20 years.

  Today that curtain is being lifted. The end of the Cold War and the drive for economic modernization has again opened Zanzibar to the outside world. Multi-party elections were held in 1995 and 2000, more are promised in 2005. A government of more pragmatic and honest leaders has developed in Tanzania and some of the exiles from the revolutionary times are returning to the Islands. The peaceful tolerance of diverse peoples, which was always a feature of Zanzibari life, is now struggling to return to the streets of Stone Town.
  The Nine Hour Revolution

  [​IMG]

  Zanzibar is well known for it's "Shortest War in History". A 19th Century battle that lasted only about 45 minutes but served to demonstrate for all time the Iron fist beneath the pre-colonial European domination of East Africa.
  What is less well known is the 20th Century record Zanzibar set for similar brevity in the Zanzibar Revolution of 1964. In this Revolution a government with over a century of continuity was toppled in less than a day. Essentially a Settler Society, with well defined Arabic, Indian, Swahili, Comoran and indigenous elements, and ruled by an Hereditary Sultan, the newly independent Nation of Zanzibar vanished in astounding suddenness.
  That night was full of suspense and surprise, courage and despair. It began at 3 am on the day just before a large religious Holiday. The holiday prompted large numbers of people to congregate in and around Stone Town. They set up tents or just sleep under the palms while awaiting the opening of the festivities in the morning. Among the crowds were large numbers of young men, some of these men were followers of a minor politician named John Okello. Just how many men actually followed Okello into revolutionary battle is of some dispute.[​IMG]
  It is clear that by the end of that fateful day thousands had joined the revolutionaries but this was after the results were known. It's also true that Field Marshal Okello talked of having had 4 "battalions" in the field against the government forces that night, but how men many were really there when it counted?
  Okello reported that the revolution began when he marched in the dead of night on the Ziwani Police Barracks (and Armory) at the head of the 250 men of his "4th Battalion". At 3:00 am he ordered his men to cut the wire surrounding this fortified compound. That was the first real revolutionary act and it served to "separate the men from the boys". Okello said of his men at the time, "The enormity of our predicament was suddenly obvious to them: we, armed with pangas, spears and a few motor car springs were going to face the risk of close combat with men armed with automatic rifles... ". All but 40 men deserted or refused to crawl through the wire.
  These 40 men seized the Island of Zanzibar and toppled a dynasty that had ruled the islands through 12 Sultans for over 133 years.

  The revolutionaries crawled to within 25 meters of the Barracks building. Inside, asleep were scores of paramilitary police. However like most sensible people on Zanzibar they slept on the upper floors of the building, where cooling ocean breeze could ventilate the hot tropical nights. Only two men were awake and on guard duty below.
  [​IMG]
  John Okello and his men rushed at these guards. Automatic fire rang out and three of the 4th battalion men went down. However one of sentries also fell, downed by an arrow shot by a revolutionary named Albert. By then Okello had closed on the remaining sentry. It was here that the deciding moment of the revolution occurred. The two crashed together, the Field Marshall tells us that "I got hold of the gun, we fought and I managed to hit him in the cheek with the gun butt". The firing stopped.
  His men were now at the gates of the armory where hundreds of modern weapons and thousands of rounds of ammunition were locked up. The police above, who were unarmed, (in keeping with standard peacetime practice, all weapons were locked away "for safekeeping" when the officers were off duty), attempted to storm down the single exterior staircase and enter the fray. However the 4th Battalion men unleashed a rain of spears, arrows and stones on the stunned troops and they piled up upon themselves on the narrow staircase. Okello's liberated rifle, which had only three bullets left, decided the issue with a short burst of fire. The police retreated back upstairs to look for ropes to lower men out of the windows.
  It was too late. The doors of the armory gave way and the 4th Battalion rushed in. Soon every man was armed with a modern automatic rifle. The "Freedom Fighters" who had started the night armed with sharpened automobile springs now were the best equipped force on the Island. They poured a fuselage of fire into the upstairs rooms and very shortly the surviving police surrendered.

  The Sultan's forces made one serious attempt to counter attack the rebels. The "flying squad" arrived on the scene about an hour after the defeat of the Ziwani garrison. These 75 or so men had only light duty firearms and were no match for the now heavily armed Battalion ensconced in the fortified Armory. The rebels allowed the Sultans' paramilitary police to approach and then poured an overwhelming storm of fire into them. The firing was so intense that the surrounding bush caught fire and the police retreated in despair.[​IMG]

  With their new base secure, guns were distributed to the other three Battalions (who had encircled but not yet attacked other key sites). In short order the few other police posts and the communications centers were overrun and captured. The most serious resistance was offered by the Malindi Police Station, where firing could still be heard in the late hours of the morning. However by noon the Sultan had fled, the rest is history.
   
 30. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #30
  Feb 10, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 7,317
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 48
  sielewi mtu ana maaana gani kuyaita mapunduzi ya zanzibar kuwa ni matukufu....that was just a reign of terror.....ambayo itaendelea kuwatafuna waliotekeleza maauwaji yale na vizazi vyao...na lazima waliofanyiwa hivyo watalipiza..NIMEANGALIA VIDEO NIMEOGOPA SANA..NIMEDHANI NAANGALIA HOTEL RWANDA.......kama zanzibar hawatachukua hatua kama za rwanda za kufanya maridhiano na kutubu ..mauwaji haya yatajirudia tu tusidanganyane kabisa.......

  rwanda walipata mauwaji miaka ya 60 wakati wanampindua mfalme ....wakaona ni sawa wakaendelea na maisha...watu wakawa wanaishi na visasi..moyoni,,,,,na ndipo mwaka 1994 ..mauwaji yakalipuka tena wakafa watu milioni.......sasa rwanda wamejifunza..wamechukua hatua madhubuti...
   

Share This Page