msem
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,832
- 1,627
duh!mkuu hizo sasa ndumba.Kwa mfano mtu anaposema anavunja chungu (analaani)familia nzima iteketee na inakuwa kweli.
Naomba kuelewesha mahusiano ya laana na watu kufa.
duh!mkuu hizo sasa ndumba.Kwa mfano mtu anaposema anavunja chungu (analaani)familia nzima iteketee na inakuwa kweli.
Naomba kuelewesha mahusiano ya laana na watu kufa.
Ndiyo hivyo. Hiyo ni dini kama zilivyo imani za dini. Ni METAPHYSICAL. Na halina logic yoyote. Ingekuwa ipo kweli ni kwa nini itoke kwa wazazi ama watu wa karibu tu wakati maovu umewatendea watu mbali mbali?! Kwa nini ukikosa adabu kwa wengine usilaaniwe?! Hata hilo neno "baraka" ni upuuzi mtupu! Hakuna kitu kama hicho.! Na ndiyo maana hata ukisali kabla ya kula, yaani kukibaliki chakula, kama kina sumu itakuathiri tu na kama kina kipindupindu utaugua tu.
Hakuna kitu kama hicho.Ni suala la kisaikolojia tu. Linamuathiri yule anayeliamini.
Sayansi ni hatari mwanasayansi laana yake akikuambia atakuangamiza wewe na mji wako ujue ndio hivyo unapigwa kombora moja la nuclear mchezo unakwisha... Sasa wewe majibu yako huna Wa kumtegemea zaidi ya wana sayansiHapo ndipo utakapojua sayansi haina jibu la kila kitu. Sayansi sio ukweli wote. ukweli mwingine tunahitaji njia zingine (REVELATION).
Kwa maana hiyo wewe unafikiri sayansi ina majibu ya kila kitu sio? Jiongeze mkuuSayansi ni hatari mwanasayansi laana yake akikuambia atakuangamiza wewe na mji wako ujue ndio hivyo unapigwa kombora moja la nuclear mchezo unakwisha... Sasa wewe majibu yako huna Wa kumtegemea zaidi ya wana sayansi
Zaidi ya Mwanasayansi wewe unamuamini nani au Waganga?Kwa maana hiyo wewe unafikiri sayansi ina majibu ya kila kitu sio? Jiongeze mkuu
Mbona unahama mada? Swali ni hili sayansi ina majibu yote? Sija uliza vyanzo vingine vya majibu.Zaidi ya Mwanasayansi wewe unamuamini nani au Waganga?
Sayansi haijashindwa Bado..Mbona unahama mada? Swali ni hili sayansi ina majibu yote? Sija uliza vyanzo vingine vya majibu.
laana hata kwenye vitabu vya dini imezungumziwa mkuu.mambo mengine sio ya kujifanya mjuaji kisa umesoma sana.endelea na ujuaji wakoMkuu achana na hiyo imani, itakutesa sana. Ndiyo hii "fear of the unknown". Utatambika sana kwenye makabuli ya mababu zako kwa lengo hili la kuondoa "laana". Na kila utakapofeli kimkakati akili yako itakuelekeza kwenye "laana". Umeshindwa kulipa deni wanataka kuuza nyumba akili itakutuma kutambika kwenye kaburi la baba, mjomba, shangazi, mama, bibi, nk. Ili laana itoke wasiuze nyumba yako! Achana na hiyo dhana.!
hapo umetoa majibu.asie elewa hapo ujue tayar ana laanaLaana na Baraka zipo na sio suala la kufikirika kama wengine wanavyosema humu. Hebu tuanzie na vitabu vitakatifu tuone namna Baraka na laana zilivyo.
Ni Mengi ya kusoma ila LAANA na BARAKA zipo, mfano hai zaidi ni Amri ya 4 Ya Mungu ;waheshimu baba na mama upate heri na miaka mingi duniani. hebu angalieni wale ambao waliheshimu wazazi DHIDI ya wale waliowadharau upate mifano.
- Someni ktk biblia kitabu cha mwanzo laana aliyotoa Mungu kwa 'nyoka', Hawa na Adamu baada ya uovu wa kwanza.
- Someni pia kitabu hicho hicho laana ya Mungu kwa Kaini baada ya kumuua nduguye Abeli
- Someni Baraka kwa watoto wa Ibrahim Isihaka na Ishmael.
- Someni Baraka na laana za Nuhu (kama sikosei) kwa wanae kwa aliyemcheka na wale waliomfunika akiwa amelewa.
- Someni Baraka za Israel (Yakobo) kwa wanawe
naww unawezaje kumjua mwanamke mjane kwa kumuangalia???tumieni akil kufikir sio makalioHakuna kitu kama hicho ni Upuuzi uliopitiliza.Laana ndio nini huyo aliokulaani yeye hajakosea watu
una elimu gani kwanza??Maana yangu ni kwamba ili umuone mtu kuwa kalaaniwa, ni lazima watu waseme ndipo nawewe akili yako ielekee huko. Kwani nikilaaniwa napatwa na nini specifically?!
Kuna wengine awapigi wazazi ila hawawaheshimu wazazi wao!!!Nimeisoma post yako kuhusu aliyempiga mama yake na mwishowe akawa kichaa. Ni hivi hapo siyo laana.! Pengine hata huko kumpiga mama yake ndiyo ilikuwa dalili ya kuugua akili. Pengine alishaanza kuugua akili kabla hata mama hajapigwa. Kumbe alikuwa tayari ana kichaa ambacho kilipanda siku hiyo na kumpiga mama yake. Si jambo dogo kumpiga mama, lazima akili iwe na matatizo kwanza ndipo umpige. Jingine ni hiyo imani ya kwamba umelaaniwa: hii inaweza kukuletea stress kali sana au depression na hasa pale mtoa laana anapokuwa ni marehemu. Matokeo ni kukufikisha kwenye ukichaa(mental illness). Kwa hiyo ni suala la kisaikolojia tu. Wapo wengi wamewapiga mama zao na wamepewa hiyo laana lakini wapo tu na wengine wana maisha mazuri kutuzidi hata sisi "wabarikiwa". Sisemi muwapige mama zenu.Kumpiga mzazi ni kitendo cha fedheha na kujidharirisha. Na hakisafishiki. Mimi nilishakataa kabisa kusikia mtu anasema ananibariki.
Laana isiyo na sababu haimpati mtuHivi mtu aweza ipata hyo laana toka kwa mtu ambaye hawajakosana!?
Km ww unamuamini Mungu suala hili halitakupa shida maana kupinga jambo ambalo hujalifanyia utafiti wa vitabu vitakatifu hasa biblia inakuwa ngumu kukuelewesha labda usiwe muaminiKuna wengine awapigi wazazi ila hawawaheshimu wazazi wao!!!
Haijashindwa bado? Mpaka sasa wamezuia kifo sio?Sayansi haijashindwa Bado..
Mungu wetu ni wa huruma na rehema,Mungu halaani bali matokeo ya dhambi ndo huleta laana,tunapofanya dhambi hututenga na Mungu tunafungua mlango wa mabaya juu yetu maana tunakuwa hatuna Ulinzi tena wa Mungu juu yetu,na ndiyo maana pale ambapo utagundua kwamba umekosea ukatubu ukarudi kwa muumba wako Unapata rehema.safi sana mkuu Mungu akubariki, ni sahihi kuwa laana inaweza kuletwa na Mungu lakini hapo kwa binadam bado nna dukuduku kwa maana siamini kama mwadam anaweza kuachia laana kwa nguvu zake tu( physical power) bila nguvu ya kiroho ( spiritual power) kuhusika, hiyo imekaaje mkuu