Ukweli kuhusu Kazi na Ajira

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Wakuu kuna mkanaganyiko mkubwa sana kati ya AJIRA NA KAZI, na ukisoma baadhi ya vitabu vitakuambia hakuna tofauti ila baadhi vinakuambia kuna tofauti kubwa sana,

KWA NILIVYO KUTA TOFAUTI

1. KAZI- Kazi ni ambayo unasomea Chuoni au shule yoyote ile

1. AJIRA- Hapa ni mahali pa kufanyia hiyo kazi yako




2. KAZI- Hakuna mtu anaye weza kukufukuza/kukuchisha kazi kwa sababu kazi unayo wewe na uliisomea wewe mwenyewe, MUNGU PEKEE NDO ANAWEZA SITISHA KAZI YAKO

2. AJIRA- Ajira ndo huwa zinasitishwa au mtu anaashishwa ajira yake na si kazi,



3. KAZI- Kilichopo sio ukosefu wa kazi bali ni ukosefu wa mahali pa kufanyia hiyo kazi means AJRIA, so ajira ndo hazipatikani ila KAZI UNAZYO WEWE MWENYEWE

3. AJIRA- Ajira ndo hazipatikani ila kazi zipo

SO hakuna mtu anaye weza kukuachisha/ Kukufukuza kazi yako zaidi ya MUNGU ANAPO KUWA AMEKUITA MBELE ZA HAKI
 
Back
Top Bottom