Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

pole sana zito mungu atakulinda na surgery itafanyika vizuri bado tunakuhitaji
 
Kwanza nakupapole kwa yote, hii ni mitihani ya Allah!

Pili, tunashukuru kwa mwenyezi mungu kukujalia na kukupa uwezo wakuwasiliana nasi.

tatu, tunashukuru kwa kutujulisha juu ya afya yako.

Mungu ajalie operation iwe successfully. We are together on this brother
 
Pole sana ila huduma ya haraka ya matibabu uliyopewa wewe si watanzania wote tunapewa priority kama wewe mheshimiwa,watanzania wengi tunakufa kutokana na kukosa huduma haraka ya matibabu!!mara ngapi tunaona mtoto mdogo anapelekwa kwenye TV kuomba msaada wa matibabu kisa eti mganga mkuu wa wilaya au mkoa anataka shilingi 2milioni za opearation?HIVYO KUNA UBAGUZI MKUBWA KATI YA ALIYENACHO NA ASIYENACHO katika kupata huduma ya afya
Haya tunaweza kuyaita MAZUNGUMZO BAADA YA HABARI.
Ulilolisema mkuu linastahili mjadala wa kina.
 
hutakafa bali utaishi..tunakuombea mungu mh ili upona haraka kwa maana tunakutegemea katika ukombozi wa taifa
 
Pole sana Zitto Inshallah mwenzi mungu atakujalie utapona atakuondolea kila misukosuko na uadui.......
 
mr Kabwe; May God be with you and give you quick recovery. Be Positive as you have always been. You will be OK. We need you more than you know.
 
MAELEZO YAKO YAMETUFARIJI SANA TUNAKUOMBEA KWA MUNGU UPONE HARAKA NA URUDI NYUMBANI KUENDELEA NA HARAKATI ZA UKOMBOZI wa TAIFA LETU. INSHALAH MUNGU YK NAWE.
 
Ndugu Zitto, ugua pole na asante sana kwa taarifa ya kina. Ni matumaini yangu kuwa madaktari wa India wataweza kutibu tatizo la muda mrefu kama ulivyotueleza.

Kitu kimoja ambacho utakuwa umetusaidia sana sisi watanzania wenzako ni jinsi Aga Khan Hospital walivyo bomu. Kuna mama amefia hospitalini hapo kutokana na malaria. Narudia, yuko mama kafia hapo Aga Khan kutokana na malaria. Hawa watu pamoja na ku-charge hela nyingi ni bomu kabisa na ndio maana watu wanasema Aga Khan ni kitanda kizuri cha kufia. Na kiburi chao kinatokana na kwamba mashirika/makumpuni mengi wamejiunga nao hivyo wana uhakika wa kupata wateja. Upone usipone hilo sio juu yao, wao wanataka pesa!

Pengine muda umefika sasa kwa wagonjwa kuwa na haki ya kuwashitaki madaktari/hospitali pale wanavurunda. Huu mtindo wa madaktari kuendelea kufanya biashara na maisha ya watu ukomeshwe. Ningefurahi kama waandishi wa habari wangewaanika hawa Aga Khan. Wanashindwaje kugundua malaria wakati hata vi-dispensary vidogo huku mtaani wanaona? Hawafai hawa.
Mke wangu amepima malaria pale zaidi ya mara 3 wanasema hana malaria while kila siku anajisikia hovyo! Kwa funzo hili kesho nampeleka hospitali nyingine! Tena wife aliniambia kuna rafiki yake amepima malaria mara 3 wanamwambia negative alipoenda regence wadudu 4! Kuna tatizo agakhan wakuu!
 
Mke wangu amepima malaria pale zaidi ya mara 3 wanasema hana malaria while kila siku anajisikia hovyo! Kwa funzo hili kesho nampeleka hospitali nyingine! Tena wife aliniambia kuna rafiki yake amepima malaria mara 3 wanamwambia negative alipoenda regence wadudu 4! Kuna tatizo agakhan wakuu!

Kuna hospitali nyingine hata kama huna Malaria lazima watakuambia una vijidudu ili wakutibu wapate chao.
 
@jmushi1, niliwahi kuhoji huko nyuma kuhusu matumizi ya maneno 'bingwa' na 'bobea' Utasikia daktari bingwa, au mwandishi aliyebobea! n.k
Kama kweli ni daktari bingwa kwa nini huko nyuma hawakugundua tatizo la Zitto? Na kama ulivyosema inakuwaje wamerukia 'gia' ya mwisho - operation?

Kitu ambacho nimekuwa nashughudia hapa Tanzania, madaktari wanatoa dawa 'very strong dose' kwa magonjwa ya kawaida kabisa
So ina maana kama wange mdiagnose mapema,then angetakiwa kuzingatia haya.....

Kutokana na maelezo ya Zitto,tatizo hilo limekuwa likimsumbua na hakujuwa kuwa hiyo ni sinusitis hadi ilipogundulika juzi kabla ya kupelekwa India.

Na kwahivyo daktari huyo hakuona umuhimu wa kufuata ushauri huo hapo juu,ametoa ushauri wa surgery kabla hata hawaja jaribu kumtibu through those ways kama inavyoshauriwa.

Surgery ni last option kama walizingatia matibabu ya sinusitis na hayakufanya kazi.

Ama kumtibu malaria ndiyo wana maanisha kuwa walikuwa wakiitibu hiyo sinusitis?

Bado naona kuna ukurupukaji wa kiana,sijui wa kulaumiwa ni nani?

Tatizo alilonalo Zitto halikuwa tatizo la kusumbua watu vichwa na hata kutumia gharama zote hadi India.Inaonyesha kabisa tuko hovyo hovyo.

Hakuna taratibu za kufuatwa kama a civilised society!

Mtu anaumwa one thing lakini anatibiwa something else,halafu wanapogunduwa hilo,bado hawajaribu kushughulikia tatizo jinsi lilivyo,yani this time try to contain the sinusitis proplem before opting for a surgery which should be the last resort!Imenikumbushia sana ile issue ya mgonjwa aliyehitaji upasuaji wa mguu alipopasuliwa kichwa instead!Na ilikuwa hapo hapo Muhimbili!
 
tukio hili la zitto pale Agakhan linaweza kuokoa maisha ya watu pale,pengine ni mpango wa Mungu ili swala hili lipewe attention maana limemgusa mkubwa!
 
Pole sana ndugu!! Twakuombea upone maradhi yanayokukabili!! Kumbuka hii ni mitihani ya hapa duniani na mungu kaiweka kwa ajili yetu sisi wanadamu...
 
Back
Top Bottom