Binti Sayuni
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 367
- 52
Ni kama DECI vile!!! Lakini serikali imehalalishaHawa jamaa karibu watageuka kuwa kama matapeli wa Nigeria. Naombeni muache kunitumia ujumbe kuwa jina langu limeshinda kushiriki katika bahati nasibu. mimi sijawahi na sitokaa nishiriki huo ujinga. wajinga ndio waliwao.
Nashangaa siku mnazindua ile promosheni ya hyundai i10 mlisema kusudio ni kurudishe faida kwa watumiaji, halafu hapo hapo mnamkata m2 550/= Hapo mmerudishia faida au ndio mnazidi kumkamua?