Ukweli kuhusu 50 cent kupiga picha na Jakaya Kikwete



hivi weye !!! mtu akija kwako akasema samahani naomba nipige picha na wewe ungekataa! tatizo ni kwamba mnajiweka leval moja na muheshimiwa RAIS...

Weka hii kichwani mwako " NI rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania" !! mtu yoyote atakapo pata oportunity ya kupiga picha naye ... atapiga!! ....

wengi wenu mwadhani mh. raisi anawaita yeye na kuwaambia " naomba nipige picha na wewe" kama mawazo yenu ni hayo poleni ...

wamaanisha rais wetu ni easy go.Hana mda wa kuacess impact kwa watu wake kama kiongozi wa nchi kwenye nyendo zake.Akiombwa kupiga picha na mtu hana noma, 'STATUS QUO ?' PRESIDA ?????!!!!!!!
 
Kudhani na ukweli ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa huwezi kuwa unadhani na muda huo huo uka-claim kuwa unachodhani ndio ukweli! karibu thupu

tatizo la watanzania tumekuwa tukiongea na kuandika kiswahili cha mazoea zaidi kuliko uhalisia. Mathalan, unaweza ukawa unaongea na mtu ambaye anaumwa, utakapoanza kumsalimia kwa maneno "habari yako/gani" utakuta anakujibu, nzuri halafu baadaye ndo aanze kusema anaumwa.
 
"Surrounded By Hoes"

[Chorus: repeat 2X]
Everywhere I'm at everywhere I go, I stay surrounded by hoes
Even when I'm tryin to be on the low, I'm recognized by hoes
Man, its gotta be cause of the dough, its got to be cause of the dough
Cause the game sure wasn't like this before, it wasn't like this before

[Verse One]
50 Cent I'm makin hits now
Don't try an act like you ain't heard I'm the shit now
Some bitches changed, cause they know I'm fittin to blow
You should see how they react when I come through the door
In the club my niggaz, we fittin to ball out
Drink till we fall out
Some shit jump off, nigga we goin all out
Shots big enough to tear the ****in wall out
I'll have your punk ass on the dance floor tryin to crawl out
I had bad luck, then my luck changed up
You see the Range, you see the rims all blinged up
You ain't hear what I charge for 16, I'm makin a killin
These other rap niggaz just catching feelings

[Chorus]

Haha, yeah
Yeah that's it nigga, what the **** you thought
I ain't giving niggaz more than 16 for a mother****in freestyle
The **** you want for free man
Ya'll niggaz be wanting a lot for free man
**** them other niggaz, other niggaz can't rap
That's why they give you 100 mother****in bars for nothing man
You know what I mean
**** that shit man, I ain't gonna sit there rappin to you all night
Haha, the **** man
Hey yo, Sha Money XL, nigga teamwork
We work hard nigga
50 Cent


hebu tupate lyrics za wimbo mmoja wa 50 cent !!!!!!!!!!!!!!!!!!
hayo maneno yaliyo kwenye bold yanaonyesha fifty ni mtu wa namna gani,kwa ufupi ni muhuni hatakiwi kusimama na mkuu wa nchi yoyote hata jamaica kwa wala msuba!!!
 
hata akipiga picha na wale wanao act zile picha kubwa atajua mwenyewe

Mkuu hazijaanza kutoka tu! Maproducer wamebania mpaka walipwe. Hata wale waloshiriki wengine wanadai vyeo vyao! Mratibu naye si katoka walikuwa wakiwasiliana alipokuwa kule segerea maana alimpigia simu kwa akitoka safari hii wagawe black cars na sio red cars! Upo?
 
Mkuu hazijaanza kutoka tu! Maproducer wamebania mpaka walipwe. Hata wale waloshiriki wengine wanadai vyeo vyao! Mratibu naye si katoka walikuwa wakiwasiliana alipokuwa kule segerea maana alimpigia simu kwa akitoka safari hii wagawe black cars na sio red cars! Upo?
Jamani jamani.........
 
kupiga picha ya wao peke yao ndo penye tatizo.....
Unafikiri angepiga na attendants wote ingekua tatizo...mana walioshiriki ni watu wenye uwezo mkubwa kifedha,tena kuna ma supa watatu wa kiarabu wali attend very wealthy than our national budget...akuwaonaaaaa...shalobalo akamkimbilia shalobalo mwenzie..
Ananuka masaburi kwenye hili swala..mka mtawaze ikulu tENA...
 
Ukweli ni kuwa JK alikutana na 50 cent katika mkutano wa UN wa ''every woman,every child milenium Development Goals'' na kama ambavyo 50 cent ameanzisha taasisi ya kusaidia tatizo la njaa kwa watoto Afrika. Kwa hiyo nadhani ilikuwa ni kukutana kwao tu,ndio kulipelekea kupiga kwao picha ya pamoja. Na 50 cent alipost picha hiyo katika account yake ya twitter.
Zaidi tembelea www.raprid.com

Na Boyz 2 Men?
 
Back
Top Bottom