'Ukware' huu wa Arusha kiboko, khaaaaa!

Kama ni ukware, basi Arusha kiboko! Kweli kutongoza kwa wengine ni kazi kubwa. Kuna siku nilikuwa kwa bar na shemeji yangu wa kike, bila aibu njemba moja baada ya kuvutiwa na shemeji yangu, ikaamua kuandika namba yake ya simu na kumpa Bar maid eti ampe huyo shemeji yangu. Nilipogundua nikamwambia shemeji anipe hichi kikaratasi then nikamuita bar maid na kumwambia amrudishie mhusika. Jamaa alipopewa namba yake aliona aibu then akaondoka. Wakati anatoka nje, nikampa lama ya dole gumba akatokomea zake na watu wengine wakabaki wanacheka. Mjadala ukawa mkubwa ila baadae nikagundua-kutokana na maongezi yalivyoendelea-kuwa kumbe ni 'practice' ya kawaida sana miongoni mwa wanaume wengi wa jiji la Arusha kutumia njia hiyo kuwapata wanawake na kufanya nao mapenzi.

Mwenyewe aliamini huenda angepigiwa simu then wangeenda kula raha. Hivi inakuwaje mtu unazidiwa na ukware inafika mahali hata unashindwa kujiuliza status ya wahusika waliokaa bar wana uhusiano gani na kuamua kufanya ujinga kama huu. Hivi mtu kama huyu upeo wake na upstairs kuko sawia kweli.

Jamani wanaume mi siamini kama mji wa wajanja kama arusha kumbe vidume vyake ni 'midomo gundi' kiasi kile! Jamani wanawake sio rahisi kiasi hiki, labda awe ni mtu ambaye unamjua kuwa kazi yake ni umalaya. Kwa ambaye humjui, ni vyema 'ukamuimbisha', ujue moja kama umekubaliwa au umetoswa, sio kuingia kwa gia ya kutoa simu. Wengine ni wapelelezi utaishia kufanywa vibaya mtoto wa kiume!

Siyo "mdomo-gundi". Wengi wao wanapenda "bwerere". Bia na gharama atoe mwingine, kuchukua achukue yeye.
Mmoja wao hukohuko Arusha, alijaribu kumshawishi waifu achukue pesa ya gesti kutoka kwangu..!!! Hakujua kwamba tulikuwa tunamchezea gemu mimi na waifu.
 
aisee wanadhani ni watalii wanaokuja kufanya utalii wa mapenzie, eeeeeeh, wajinga kweli wanaume wa arusha!
 
sasa tuchangie nn hapo? .....siku nyingine uwe unakaa kimya

Sio lazima, kuchangia mkuu. Si unaona wenzo walivyotoa maoni yao hapo mkuu. usiniambie kuwa we unadhani kila kinachobandikwa humu basi lazima uchangie, mbona kazi unayo ndugu!
 
Ukiona watu wanaona fahari kuchomana chomana visu na kupigana na chupa za bia ujue huo ni mji wa mafulumbu, sijawahi kuuona ujanja wa watu wa Arusha
Kama ni ukware, basi Arusha kiboko! Kweli kutongoza kwa wengine ni kazi kubwa. Kuna siku nilikuwa kwa bar na shemeji yangu wa kike, bila aibu njemba moja baada ya kuvutiwa na shemeji yangu, ikaamua kuandika namba yake ya simu na kumpa Bar maid eti ampe huyo shemeji yangu. Nilipogundua nikamwambia shemeji anipe hichi kikaratasi then nikamuita bar maid na kumwambia amrudishie mhusika. Jamaa alipopewa namba yake aliona aibu then akaondoka. Wakati anatoka nje, nikampa lama ya dole gumba akatokomea zake na watu wengine wakabaki wanacheka. Mjadala ukawa mkubwa ila baadae nikagundua-kutokana na maongezi yalivyoendelea-kuwa kumbe ni 'practice' ya kawaida sana miongoni mwa wanaume wengi wa jiji la Arusha kutumia njia hiyo kuwapata wanawake na kufanya nao mapenzi.

Mwenyewe aliamini huenda angepigiwa simu then wangeenda kula raha. Hivi inakuwaje mtu unazidiwa na ukware inafika mahali hata unashindwa kujiuliza status ya wahusika waliokaa bar wana uhusiano gani na kuamua kufanya ujinga kama huu. Hivi mtu kama huyu upeo wake na upstairs kuko sawia kweli.

Jamani wanaume mi siamini kama mji wa wajanja kama arusha kumbe vidume vyake ni 'midomo gundi' kiasi kile! Jamani wanawake sio rahisi kiasi hiki, labda awe ni mtu ambaye unamjua kuwa kazi yake ni umalaya. Kwa ambaye humjui, ni vyema 'ukamuimbisha', ujue moja kama umekubaliwa au umetoswa, sio kuingia kwa gia ya kutoa simu. Wengine ni wapelelezi utaishia kufanywa vibaya mtoto wa kiume!
 
Yaani usiniambie kwamba hujui hata huyo mwanaume aliyekaa naye yukoje naye, we unapeleka namba yako tu! Vipi kama ni mumewe au sio malaya? Si utaishia kupata aibu kama alivyoipata pale?

Rafiki yangu Ndyoko ukiogopa aibu hutapata demu maana kutongoza ni kutake risk eti
 
Back
Top Bottom