ukuta vipi jamani umebomoka?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
katuni.jpg
 
Attachments

  • UKUTA UMEBOMOKA.jpg
    UKUTA UMEBOMOKA.jpg
    27.4 KB · Views: 77
Hiyo picha imenichekesha sana.

Hapo namwona Ngosha kwenye usukani...halafu namwona kamanda Siro...Babu Lowassa yuko nyuma ya ukuta anakula chabo...Mbowe na Lissu wapo pale kwa juu...sijui yule mwenye kapelo pale juu ndo yule katibu mkuu wao mpya...hao wengine wanaokula kona sijui ndo akina Sugu na Prof. J.

Imenipa burudani sana hii picha:D:D:D:D:D.
 
Nilichojifunza zaidi hapa kumbe wakati wa kuuvunja wanaoanguka vibaya sio kina Mamvi, Mbowe, wala Lisu . Na hii ndio inatoa picha ya CHADEMA kwa ujumla wakati wa vurugu
 
Hiyo picha imenichekesha sana.

Hapo namwona Ngosha kwenye usukani...halafu namwona kamanda Siro...Babu Lowassa yuko nyuma ya ukuta anakula chabo...Mbowe na Lissu wapo pale kwa juu...sijui yule mwenye kapelo pale juu ndo yule katibu mkuu wao mpya...hao wengine wanaokula kona sijui ndo akina Sugu na Prof. J.

Imenipa burudani sana hii picha:D:D:D:D:D.
We ni mchangiaji mzuri sana.
Kuna wakati members wanakuelewa vibaya lakini tulio wengi tunauthamini mchango wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom