Ukuta Open space iliyovamiwa Ocean Road Wavunjwa

Huu ndio wasiwasi wangu nachelea kushangilia kwani tunaweza kuishia kumlipa mabilioini jamaa cha msingi aulizwe aliyemuuzia huyu muhindi alitumia kigezo gani?
Sasa akiulizwa akaonyesha kibali halali then aruhusiwe kujenga kwenye open space mbona siwaelewi.
 
....we better act fearlessly,,,,,and that is true leadership,,,,standing for the right!
Lets see the end of the beginning!
 
Sasa akiulizwa akaonyesha kibali halali then aruhusiwe kujenga kwenye open space mbona siwaelewi.

Hapana brother aliyeuziwa anyanganywe.... na aliyeuza afunguliwe mashtaka kwa kukiuka sheria..... kama ni fidia huyu jamaa amdai aliyemuuzia (and here i mean the gentleman who sold not serikali) au amfungulie kesi jamaa aliyemuuzia kwa utapeli...... Lakini as we know hii nchi yetu, pesa za mlipa kodi huenda zikatumika kulipia fidia.
 
Hivi hata Mhindi ni mtu wa kutusumbua hapa kwetu TZ? mhindi? jaribu uwe India kama utaoongea ww mweusi, hata wakikuona unaongea na demu wao ni noma, lazima kwanza akamatwe kwa kuidharau serikali mara moja, anaongea kwa nyodo na kuji boost like yy hapa kwao? kamata huyu na viboko apate adabu, shiiiiiit, hakuna cha nini hapa, kamata
 
Sasa akiulizwa akaonyesha kibali halali then aruhusiwe kujenga kwenye open space mbona siwaelewi.

Sasa ndugu yangu afanyiwe nini. Are you familiar with legal term of innocent until proven guilty?? In the eyes of the law muhindi huyo atakuwa ana haki ya kujenga pale maana vielelezo vya kisheria vimemruhusu na hilo ni kutokana na baadhi ya viongozi wetu na njaa zao wanapobadilisha vipengele for just 10% watakayoipata. Sasa kama hili kisheria muhindi ameshinda na anadeserve kujenga hoteli. Kama muhindi amevunja sheria na hana haki ya kujenga na amejenga pale kiujanjaujanja then hapo mama Tibaijuka ana haki ya kumvunjia na kumpora kila kitu maana amevunja sheria.
 
Hapana brother aliyeuziwa anyanganywe.... na aliyeuza afunguliwe mashtaka kwa kukiuka sheria..... kama ni fidia huyu jamaa amdai aliyemuuzia (and here i mean the gentleman who sold not serikali) au amfungulie kesi jamaa aliyemuuzia kwa utapeli...... Lakini as we know hii nchi yetu, pesa za mlipa kodi huenda zikatumika kulipia fidia.

Tatizo watamnyang'anya vp maana ukimnyang'anya ni civil case atadai fidia pamoja na kiwanja chake hapo tutakuwa na gharama mara mbili sijui aisee hii ishu mama Tibaijuka she should handle it with great care.
 
Wenzao wajanja na wenye pesa wanajenga baharini ndani kabisa.
Hawa hawana fedha wametufuma watanzania na ulimbukeni wetu tu.
 
Naona watu washaanza kushabikia haya mambo ya rule of the junglelakini pamoja na jazba na ushabiki uliopo hebu turudi nyuma na kujiuliza maswali yafuatayo:

1. Why huo ubomoaji ufanyike usiku wa manane? Wanaogopa nini mchana?

2. Why tibaijuka au ofisi yake haikutoa clarification yoyote on allegations alizozitoa taher

3. What if taher was right na tibaijuka was wrong, je ni pesa za nani zitalipa hiyo fidia?

Just curious
 
Licha ya mmiliki wa kiwanja cha jirani na Hoteli ya Palm Beach, Taher Muccadam kutoa notisi ya siku saba kwa Waziri Profesa Tibaijuka amuombe radhi na kumlipa fidia ya Sh bilioni mbili kwa madai kwamba alimvunjia heshima kwa jamii vinginevyo atamfikisha mahakamani, agizo hilo limepuuzwa na badala yake kapelekewa tingatinga na ukuta umebomolewa. Mama huyu kiboko.

Wakati wa Nyerere huyu mmiliki angechapwa viboko kwa kuidhalilisha mamlaka ya nchi. Waziri ni muwakilishi wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na chochote anachofanya in good faith kina mamlaka ya rais.
 
Mdondoaji sikatai huyo muhindi kuwa hana vibali halali lakini wakati legal terms zinatafutwa ukuta uwe chini then aliyenunua chen ya bandia na aliyetoa noti bandia wote wapelekane mahakamani. Afterall huwezi kulinganisha thamani ya ardhi na hela bora kurudishiwa gharama zake kuliko kukosa sehemu ya kuchezea kitukuu changu.
 
Tatizo watamnyang'anya vp maana ukimnyang'anya ni civil case atadai fidia pamoja na kiwanja chake hapo tutakuwa na gharama mara mbili sijui aisee hii ishu mama Tibaijuka she should handle it with great care.

hapa ndio the best case scenario ni kutumia mabavu sababu mali aliyouziwa ni ya umma basi tuweke vipengele vya sheria kando.... na tutumie common sence kwamba huyu jamaa walimtapeli... (kama baadhi ya watu wanavyouziwa choo)... tumpe pole kwa kutapeliwa na kumwambia be careful next time ila kiwanja chetu turudishie
 
Mkuu Voice of Reason na Quinine affirmative action mnayoisuggest inawezekana but kuna shida moja kwa vipengele vp. Ingelikuwa wanataifisha kwa manufaa ya umma tungesema sawa but kwa kigezo kipi unataifisha nyumba ya mtu aliyenunua kihalali???
 
Naona watu washaanza kushabikia haya mambo ya rule of the junglelakini pamoja na jazba na ushabiki uliopo hebu turudi nyuma na kujiuliza maswali yafuatayo:

1. Why huo ubomoaji ufanyike usiku wa manane? Wanaogopa nini mchana?

2. Why tibaijuka au ofisi yake haikutoa clarification yoyote on allegations alizozitoa taher

3. What if taher was right na tibaijuka was wrong, je ni pesa za nani zitalipa hiyo fidia?

Just curious

Akili ni nywele kila mtu ana zake.

Hivi leo hii mtu akitoa Vibali viwili kimoja cha kujenga Mnara wa saa na kingine cha kujenga Akari monument na vibali hivyo vikathibitishwa kwamba ni halali bado hoja zako hapo juu zitakuwa za maana?

Mtu akianza kuzungushia wigo pale askari monument huku akiwa na kibali undahani watu watakaa kimya eti kwa sababu fisadi fulani ndani ya serikali kampa Kibali??

Hizi development zote kwenye viwanja vya wazi kuna siku zote zitabomolewa tu. watu mnajilisha upepo.
 
Naona watu washaanza kushabikia haya mambo ya rule of the junglelakini pamoja na jazba na ushabiki uliopo hebu turudi nyuma na kujiuliza maswali yafuatayo:

1. Why huo ubomoaji ufanyike usiku wa manane? Wanaogopa nini mchana?

2. Why tibaijuka au ofisi yake haikutoa clarification yoyote on allegations alizozitoa taher

3. What if taher was right na tibaijuka was wrong, je ni pesa za nani zitalipa hiyo fidia?

Just curious
1. Why huo ubomoaji ufanyike usiku wa manane? Wanaogopa nini mchana?
Hii si issue kubwa wachina walikuwa wanajenga daraja la Mkapa usiku hatukuuliza.
2. Why tibaijuka au ofisi yake haikutoa clarification yoyote on allegations alizozitoa taher
Open space
3. What if taher was right na tibaijuka was wrong, je ni pesa za nani zitalipa hiyo fidia?
What if Taher was not right- in short kama ameonewa aende mahakamani si alitoa siku saba hazijaisha.
 
tumblr_l65cyg3mn_yda7q9oy.gif

All I know this wont end well...
 
Time to sit down, take a glass of cold water and watch how this hot movie ends.
 
Mkuu Voice of Reason na Quinine affirmative action mnayoisuggest inawezekana but kuna shida moja kwa vipengele vp. Ingelikuwa wanataifisha kwa manufaa ya umma tungesema sawa but kwa kigezo kipi unataifisha nyumba ya mtu aliyenunua kihalali???

Unajua hapa nadhani its good kuonyesha mfano to set a precedent among watu ambao wanachukua vitu vya manufaa ya umma for their own private issues...... (kwahiyo nadhani hicho kiwanja kurudi kuwa open space ni kwa manufaa ya umma) Pili nadhani hata kama jamaa aliuziwa hicho kiwanja which was open space in the first place nadhani some illegality ilitake place.
 
Back
Top Bottom