ukusanyaji wa kodi kwa benk za mitandao nchini na sms zinazoenda ktk namba zenye mifumo ya 15575

senioswald

Member
Mar 28, 2012
10
1
:A S cry:Nashukuru sana kwa uwepo wa mtandao huu wa jamii, hoja zangu ni:

Hadi sasa imekuwa ni suala la kawaida kwa wenye mitandao ya simu za mikononi kuanzisha bank kama aitel money, tigo pesa, m pesa, n.k mimi sijajua hadi sasa serikali kupitia benk kuu(BOT) na TRA wanachukuliaje suala hii maana ikitokea siku moja wakasitisha huduma hii ghafla nani ataye walipa pesa au ndo itakuwa kama DESI ambayo watu walilizwa na hadi sasa wanalalamika na hawakuweza kupata pesa zao.

Suala lingine kuna hizi sms zinazotumwa ktk namba fulani kama 15050, 15575, na wanakata hela kibao zaidi ya normal sms sijajua vizuri Serikali inafanyaje kujipatia kodi kwa hizi biashara za electronics.

Ahsante sana
 
Back
Top Bottom