Ukumbuka enzi hizi

Mi kuna shairi nalipenda lkn silikumbuki sawa sawa. Linaanza hivi:-

karudi baba mmoja, toka safari ya mbali.
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili.
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali.
Wakataka na kauli, iwafae maishani.

Kama kuna anayekumbuka hili shairi lote naomba aliweke hapa.
 
Na kipindi hicho kwa shule nyingi na hasa vijijini,ukivaa viatu wanakushangaa kwelikweli. Siku hizi ni tofauti-usipovaa viatu ni ajabu pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom