Ukosefu wa polisi TZ huu hapa.

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
525
131
Katika harakati za FFU kuwazuia wanafunzi wa Chuo Muhimbili wasifike wizara ya Elimu wanatoa sababu eti kuna mgeni H. Clinton. Jamani tutafika?

Naomba police wa Tz walijue hili kuwa hawa wageni wanaowashabikia hawana lengo zuri. Maendeleo ya nchi yetu yako mikononi na si mikononi mwa wanafiki.

Aibu kubwa hii kuwazuia wasomi wasidai haki zao. Nawasilisha.
 
Kuna haja ya kuweka kigezo cha kila police minimum awe ni form six at least awe anareason kidogo (kwa sasa hawana tofauti na mbwa ukimwambia kamata anakamata) ...naamini ningekuwa police amri zingine za kishenzi shenzi ningeshakufa siku mingi sana...as long as nina siraha! utajuta!
 
kwa hiyo wamewazuia wasiandamane kudai haki zao kisa mama Clinton.......ujinga!!
 
1. PR

2. Kweli tunahitaji polisi wenye a bit higher level of education..! and that is being done as we speak...sadly, it cant be on a fortnight as u wish bro! change is good but takes time too...
we'l b there..soon, I promise.
 
Lakini kumbuka ni mgeni wa kimataifa lolote likitokea aibu nikwetu kwani wajue hata magaidi wanawezakutumia mwanya huo kufanya uharifu huo!!Mbona hata marekani watu wanazuiwa akiwepo mgeni wakimataifa?

Hakuna mahali wanaruhusu kuandamana hasa pale wanapokuwa wanahitaji kulweka ulinzi kwa ajili ya wageni wakitaifa na hasa head of state,Nakumbuka Tony Br,watu waliandamana kuhusu iraq Watu walizuiwa pale DC!Sembuse huku porini!Acheni masikhara jama!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom