Ukosefu wa Fedha Serikalini

IshaLubuva

JF-Expert Member
Dec 4, 2008
250
11
Kuna baadhi ya Idara za Serikali hazijapata mgawo wa fedha za matumizi mengine (Other Charges-OC) tangu mwaka wa fedha wa 2009/2010 uanze. Hazi kuna tatizo gani au ndo mmeelekezwa kuanza kuzitunza kwa ajili ya uchaguzi wa 2010. Sasa Mtumishi hajapata fedha kwa ajili ya utekelezaji zaidi ya miezi miwili kwenye hiyo OPRAS tathmini yake inakuwaje? Hebu mtueleweshe
 
Kama ni kweli uyasemayo, basi yawezekana kabisa kunafisadi kapewa zitumike uchaguzi 2010. Wamebanwa sehemu mbalimbali, lakini kwa sababu wanambinu nyingi za kushindwa uchaguzi kama mzee mlcl alivyo wahi kusema, hiyo pia ni mbinu ya kufanikisha uchaguzi 2010
 
Bora ziendelee kukosekana tuu maana hakuna kitu wanafanya...wafe njaa tuu!
 
Back
Top Bottom