Ukomo wa uzuri wa mwanamke

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
253
144
Kuna swali huwa najiuliza, naomba jibu kwa mwenye kujua. Hivi hawa wanawake warembo, machachari na wanaosumbua mitaani, urembo wao hukoma wanapofika umri gani? Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii kutembea mapaja na matiti yakiwa nje? Ni ktk umri upi mwanamke hawi tena kivutio kwa wanaume?
 
yaani katika matatizo ambayo tunayo katika taifa hili wewe likusumbualo ni kama mwanamke anaonyesha mapaja na kuvaa sketi fupi....dah we ni uamsho nini
 
Najua kinachokusumbua ni kujua lini Mzinzi ataacha uzinzi, Hiyo ni hulka ya mtu na haina umri, ndio maana kuna Mashuga Mami na mapaka shume, tena sasa vibibi vingi vina zini na watoto wadogo,
 
kuacha mapaja nje ni uzinzi?

Na ili mtu awe kaacha mapaja nje, atoke na blauzi tu au sketi fupi? Na ili iwe fupi ikomee wapi?

Kimtokacho mtu ndio humtia najisi, na si kimwingiacho.

Kuacha dhambi hakuna muda maalumu, ukikutana na Yesu na kukubali ni Bwana na mwokozi hata sasa hivi unaacha. Ukungu na utando ulioziba fahamu za mwenye kutenda dhambi ukitoka tu unakuwa huru hapo hapo hata ni kama saa sita mchana.
 
Hata bibi alikuwa binti..nadhani uzuri wao unaisha mashavu yanapojitapanya,uzee unapowashika kabla ya muda,kuzaa bila mpango au pengine wanapokubali kutumiwa kimapenzi kupita kiasi.
 
Beauty is in the eye of the beholder. Unaemwona kazeeka na hakufai anaweza akawa kama almasi kwa mwanamme mwingine. Unaemwona anatembea na matiti na mapaja nje anaweza akawa anakuvutia wewe lakini anamtia kinyaa mwingine regardless of age. Na just because wewe unamwona havutii tena haimaanishi kwamba yeye hajioni mrembo hata kama mwili wake sio kama ulivokuwa alipokuwa kijana. Therefore, hakuna umri ambao mwanamke anakuwa sio kivutio kwa mwanamme. Hiyo inategemea na mentality ya mwanamme. Ulishawahi kusikia watu wanaoana , baada ya miaka mitatu mwanamme alishachoka mkewe?

Naomba niulize, ni katika umri upi mwanamme anakuwa sio kivutio kwa mwanamke?

Kuna swali huwa najiuliza, naomba jibu kwa mwenye kujua. Hivi hawa wanawake warembo, machachari na wanaosumbua mitaani, urembo wao hukoma wanapofika umri gani? Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii kutembea mapaja na matiti yakiwa nje? Ni ktk umri upi mwanamke hawi tena kivutio kwa wanaume?
 
Kongosho ndio maana sijazumzia kuacha mapaja nje, kwani kuacha mapaja nje C uzinzi, wala mtu kuacha maziwa nje C uzinzi hizo ni fashion za mavazi ya Kisasa, na ni ustaarabu wa KimagharibiElewa tu kuwa Uzinzi ni tabia ya mtu maana hata hao wanaoficha nyuso zao na kuvaa nguo nguo ndefu hufanya uzinzi wa kupindukia,
kuacha mapaja nje ni uzinzi?

Na ili mtu awe kaacha mapaja nje, atoke na blauzi tu au sketi fupi? Na ili iwe fupi ikomee wapi?

Kimtokacho mtu ndio humtia najisi, na si kimwingiacho.
 
out of curiosity, kama kuna age ambayo mwanamke hatavutia kwa mwanaume je mwanaume atavutiwa na nani?
 
Kuna swali huwa najiuliza, naomba jibu kwa mwenye kujua. Hivi hawa wanawake warembo, machachari na wanaosumbua mitaani, urembo wao hukoma wanapofika umri gani? Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii kutembea mapaja na matiti yakiwa nje? Ni ktk umri upi mwanamke hawi tena kivutio kwa wanaume?

Hakuna umri maalum wa mwanamke kuchuja au kutokua kivutio, bali anatoka hatua moja kwenda nyengine!
anaanza kuwa kivutio kwa vijana, baadae kwa watu wazima, baadae kwa wazee na mwisho kwa vikongwe!!
na katika kila hatua basi anakua mrembo tu juu ya hao wanaomuona!!!
 
mhm...wacha bwana watupe raha sie maana sinema za bure mie napenda sana.
uzuri wake unaisha pale unapoenda kumpigia puchu au pale unapofanikiwa kumvua tchupi....hana jipya tena
 
Jibu lako laweza kuwa na ukweli lkn kwa asilimia 50 kwani kuna baadhi ya wadada once ukishamvua ndo unagundua na uzuri mwingine ambae ulikuwa hujauona kwa jicho la juu.Sasa waweza kwenda kwa lengo la kupita then ukajikuta unatamani ujiweke milele.
 
hahahaha mkuu hapo kwenye red umenikumbusha mama yangu mkubwa aliniambiaga kjana unaweza sema watest kume unaishia kuoa kabisa....kweli mwana inatokea hiyo na ndio maana ni vizuri ata wale ambao una lengo lakupita tuu hakikisha wana zile qualities ambazo ungependa mkeo awe nazo so worse comes to worse ukitia nanga hutajuta. kama vipi wewe bora ukamatie dada poa tuu
 
starehe zote atafanya ila muda ukifika huwa wanaisha kama na wanakuwa wapole sana haswa pale kuanzia 40 years maujanja huwa yanaanza kuisha hapo akiwa na watoto si chini ya 5 kazi na mziki wa kulea na kuchakaa vinakuwa viko juu sana
 
Beauty is in the eye of the beholder. Unaemwona kazeeka na hakufai anaweza akawa kama almasi kwa mwanamme mwingine. Unaemwona anatembea na matiti na mapaja nje anaweza akawa anakuvutia wewe lakini anamtia kinyaa mwingine regardless of age. Na just because wewe unamwona havutii tena haimaanishi kwamba yeye hajioni mrembo hata kama mwili wake sio kama ulivokuwa alipokuwa kijana. Therefore, hakuna umri ambao mwanamke anakuwa sio kivutio kwa mwanamme. Hiyo inategemea na mentality ya mwanamme. Ulishawahi kusikia watu wanaoana , baada ya miaka mitatu mwanamme alishachoka mkewe?

Naomba niulize, ni katika umri upi mwanamme anakuwa sio kivutio kwa mwanamke?

Kweli mkuu, umeeleza kwa hekima nzuri. Kwa mwanamume tunaona hata wakiwa wazee bado wanachua vibinti. Sasa sijui ni kwamba wao wanaendela kuwa vivutio mpaka lini? Kuna tofauti kidogo.
 
Kuna swali huwa najiuliza, naomba jibu kwa mwenye kujua. Hivi hawa wanawake warembo, machachari na wanaosumbua mitaani, urembo wao hukoma wanapofika umri gani? Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii kutembea mapaja na matiti yakiwa nje? Ni ktk umri upi mwanamke hawi tena kivutio kwa wanaume?
Uzuri wa mwanamke unakoma Pale utakapoacha kumtani kimapenzi
 
Urembo wa mwanamke unakoma anapoamua yeye kutokuwa mrembo. Wakina Oprah warembo hadi leo japo wabibi. Na kuonyesha matiti, magoti na mapaja haihusiki na umachachari wa mtu. Unaweza kuvaa ushungi na nguo ndefu na kuwa unagawa bure kabisa bora hata wakina wema sepetu wanagawa wanajenga nyumba mikocheni sijui vijitonyama!
 
Kuna swali huwa najiuliza, naomba jibu kwa mwenye kujua. Hivi hawa wanawake warembo, machachari na wanaosumbua mitaani, urembo wao hukoma wanapofika umri gani? Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii kutembea mapaja na matiti yakiwa nje? Ni ktk umri upi mwanamke hawi tena kivutio kwa wanaume?

Umri wa uso kuanza kukunjana
 
Back
Top Bottom