Mpaka sasa sijawaona wachangiaji watukufu akina FaizaFox, Rejao, Ritz, Mwita25, Kibunango, Nape nk. Mko wapi nyie kwani hili haliwahusu?
kimya kina mshindo mkuu mkubwa wahenga walisema. Mi nadhani kuna mawili katika kimya hiki nayo ni:
1. wameona kinachozungumzwa kina maana na kweli tupu na hawawezi kupiga, ila pia kutokana na itikadi zao hawawezi kukiri waziwazi so "wanakubali kiaina"
2. Wapo wanajipanga na kutafuta cha kuandika kama utetezi juu ya JMK na serikali yake...so tusubiri mpaka mwisho tuone.