Wazanzibari hawatishwi na vijineno visivo msingi. Sisi tunakwenda kwa idhibati (proof). Hatufanyi mambo kichwa mchungu nawakumbusha tena, katiba ya tanzania inasomeshwea kwenye vikao vya katiba point by point. Tunawataalamu wa sheria wanahusika kabisa kuwaelimisha wazanzibari kuhusu haki yao kikatiba. Kazi ipo maana itabidi kufanywe "referndum" kuhusu muungano. Mpaka leo, 92% ya wazanzibari hawautaki muungano. Zanzibar hamna CCM wala CDM wala NCCR wala CUF. Zanzibar ni wazalendo wanoitaka nchi yao kuikomboa kutoka kwenye falsafa za punguani za ujamaa. Wazanzibari wamechoshwa na ukiritimba wa muungano huu wa kuwanyanyasa. UHURU kwa Zanzibar ndio njia pekee ya kuleta amani.
Ndugu yangu Falconer, hebu nitonye kidogo tu. Hiyo 92% ya wasioutaka muungano uliipata wapi?