Ukombozi umewadia:Awamu ya 5, Rais Dr Slaa, WM Sitta, Awamu ya 6 Rais Mwakyembe, WM Mbowe

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
Kuna makubaliano maalum kati ya Chadema na kundi la Sitta. Ilikuwa Sitta agombee urais ila kukatokea matatizo na ndio maana walimwomba Dr Slaa agombee hakuwa ameandaliwa. Mkakati mkubwa ni kuwa kundi la Sitta karibia na uchaguzi 2015 litajiunga na chadema na Dr Slaa atakuwa rais Sitta waziri mkuu. Watatawala kwa kipindi kimoja kipindi kingine anagombea mwakyembe na wm Mbowe. Kwanini inawezekana?
(i) Kundi la Sitta ni wazalendo sawa na ilivyo chadema hivyo wanaweza kufanya kazi pamoja "like-minded"
(ii) CCM hawawezi kukubali kundi la Sitta lichukue power kwani halitakuwa tofauti na chadema- watakamata sana mafisadi na kuibomoa ccm na kuiunda upya tofauti na maslahi ya mafisadi

Ninukuu, nchi itapata ukombozi 2015 na itakuwa salama ndani ya hao niliowataja
 
mkubwa!haya mambo wewe umeyapata wapi?unaposema kundi la sitta unamaanisha nani na nani?
 
Shehe yahya atakuwa alienda nje kidogo, yaani hawa baba zetu!!!!!!!!!!
 
mkubwa!haya mambo wewe umeyapata wapi?unaposema kundi la sitta unamaanisha nani na nani?
Sources ambazo zipo karibu na watu hawa. Wanatambua ukweli kuwa ni umoja huu pekee unaweza kuikomboa Tz na pia ni umoja huu pekee unaweza kuiangusha CCM. Sikulazimishi uamini anyway
 
kwani bila msaada wa akina sitta na mwakwembe ugumu wa cdm kuingia ikulu 2015 upo wapi? mbona dalili zote zipo wazi??Mwakwembe alificha baadhi ya kashfa za Richmond na Sitta aliifunga mjadala wa Richmond kihuni na hakuisukuma serikali itekeleze maazimio 23 ya bunge kuhusu sakata la Richmond!! Hwafai kwenye ukombozi!!
 
Uko chama gani? mbona hueleweki!!!!!!!!!!!!!!!!!! bange ni mbaya kwa afya yako
 
Hao Sitta na Mwakyembe wala hawawezi kuleta ukombozi wa nchi hii, ni wanafiki kama ccm wengine. Labda ungesema Rais Mwakyembe, Waziri Mkuu Sitta, Spika Anne Kilango, Waziri wa Habari Lusinde, Waziri wa Afya Prof Maji Marefu ndio utapata serikali ya kupendeza zaidi.
 
Jamani asipuuzwe huyu mleta mada maana humu JF tuna watu wazito sana sema2 wanatumia fake IDna tusishangae huyu mleta thread akawa ni sitta mwenyewe.
 
Kuna kaukweli fulani japo ni mtazamo wako. Kiukweli wale waliosafi wakitakakuja CDM 2tawapokea. Watafanyahvo na itawalazimu wafanyehvo kwani huko kwao(ccm)hawatakuwa na chao.
 
kama SITTA na MWAKYEMBE watakuja CDM sie hatuna kinyongo nao..kigumu ni yule jamaa FISADI PAPA JITU LENYE MIHELA YAKE aka BABAA YA MVI KICHWANI..kama litahamia chadema basi mie siipi kura cdm ila kwa hawa kama ndo mkakati wenyewe mbona safi sana..
Ninachoona CCM hawana chao soon so kuna baadhi ya watu wasafi inabidi tuanze kuwapokea
 
kwani bila msaada wa akina sitta na mwakwembe ugumu wa cdm kuingia ikulu 2015 upo wapi? mbona dalili zote zipo wazi??Mwakwembe alificha baadhi ya kashfa za Richmond na Sitta aliifunga mjadala wa Richmond kihuni na hakuisukuma serikali itekeleze maazimio 23 ya bunge kuhusu sakata la Richmond!! Hwafai kwenye ukombozi!!

Sasa ndugu yangu,wanasubiri huo wakati wa uchaguzi ukaribie ili wamalizie zile kashfa na wakati huo watakua upande wa Chadema.

Jambo hili lipo na nimeliskia katika sources zakuaminika.Subiri karibia na uchaguzi utaona moto
 
Kuna kaukweli fulani japo ni mtazamo wako. Kiukweli wale waliosafi wakitakakuja CDM 2tawapokea. Watafanyahvo na itawalazimu wafanyehvo kwani huko kwao(ccm)hawatakuwa na chao.

Nashangaa watu wanamshambulia ibange wa watu! Hivi mbona hii iko wazi kwamba mzee 6 mguu nje mguu ndani CCM. Kwa sasa anapigania tu mkate ila ikikaribia 2015 atafanya maamuzi mengine kwq kuwa mkate utakuwa unaishia. Hayo ya kugawana awamu sina hakika nayo. Yaani ina maana hadi 2020 nafasi ya Zitto na vijana wenzake wa sasa itakuwa haijafika? Six anaweza kuhamia CDM ila siamini kama atapewa hayo mamlaka ikiwa CDM watatwaa dola; naona ndani ya CDM ya sasa yenyewe hayo madaraka yana kinyang'anyiro sasa tena maintruder nao waje kuongeza kinyang'anyiro; no way.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom