Ukombozi Ukombozi Umeingia Tanzania. CCM kushikwa pabaya.

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Naona wanamagamba wamefuta post yangu!!! Naapa lazima dawa itumike kushughulikia suala la amani Arusha. Nitatumia nguvu zangu mwenyewe, Mkuu wa Polisi wilaya, Mkuu wa mkoa, Jaji Arusha kaeni mkao wa kula leo lazima nakula nanyinyi meza moja bila kuniona, Tumechoka1
 
Bro. vipi?
Mlienda Nigeria na EL nini?
Ila inabidi ujipange kwelikweli, maana mambo hayo kwa magamba ndio kama uwanja wa nyumbani.
Si unakumbuka pale mjengoni!
 
Kwa mwendo huu tunaokwenda sidhani kama tutafika 2015 kabla ya kutokea machafuko makubwa nchini, thanks to Msanii na chama chake cha Magamba.
 
Haya maccm yanajipanga sasa kukabiliana na nguvu ya umma 2015
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom