Ukoloni Mambo sasa

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Ndugu zanguni naomba tujadili aina hii ya ukoloni mambo sasa[CONTEMPARARY COLONIALISM].Mara nyingi ni ukoloni unaofanywa na watawala wanao ongoza nchi baada ya ukoloni kutoka nje yaani wakoloni ni raia wenyewe ambao hutumia vyeo ama utajiri kuwatawala wanyonge ama maskini waliowengi na waliowasaidia kutafuta uhuru kutoka kwa walowezi. NAOMBA TUJADILI! Source: worldbook encyclopedia 2002.
 
Katika Africa huu unaitwa ukoloni wa weusi kuwafanya weusi wenzao makoloni ikilinganishwa na ule ukoloni wa wazungu. Africa ilipata uhuru ikajitawala kidogo tu mwanzoni baadaye wazungu wakawa wanawatumia waafrica wenyewe kuwatawala waafrica. yaani kutawala kwa mgongo wa waafrica. Unakuta mwafrica ndio anatawala lakini badala ya kutawala anakuw mkoloni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom