Ukodishaji wa ndege za serikali, Risiti za Salma Kikwete

Wakuu tuache ushabiki lakini kwenye hili Kinana inabidi awajibike kwa kuwadanganya watanzania na possibly kufanya forgery. CCM need to immediately come clean on this..............

Inawezekana vp risiti iliyotolewa tarehe 31/08/2010 ikawa na serial no. 00868727

na ile iliyotolewa tarehe 14/09/2010 ikawa na serial no. 00867609

Kama kawaida yao kuchukulia mambo rahisi rahisi na kwa utetezi rahisi watasema kuna vitabu vya risiti zaidi ya kimoja but why?????? Govt flight agency yenye ndege mbili tu iwe na vitabu viwili? Is that place that busy that much? Hapana hapa Kinana umechakachua tu, na kwa utaratibu wa kibongobongo usikute kuna jamaa alipewa hiyo kazi ya kuafuta risiti, he got them na no body akagundua upuuzi huu kwa sababu ya desperation. Vile vile by the look of first 4 numbers very likely ni kutoka kitabu kimoja au vinavyoongozana. Sasa iweje the ya mbele iwe ya mwanzo??????

Yaani hata mwalimu wangu in the 80's was smatter than this kugundua forgery za tiketi zan mabasi.

Nimewahi kuona hapo Tz watu wana birth certificate zilizotolewa Dec 25. au May 01, kama ile akaunti ya Tangold ilivyofunguliwa.

Risiti iliyotolewa tarehe 14/09/2010

Risiti iliyotolewa tarehe 31/08/2010

Note: Mods baadae changanya hii thread na nyingine zinazofanana

Hiki ndicho nilichotaka kusema kwa sababu nilikuwa na mashaka sana na mpangilio wa namba za risti hizo, ila nikakwama katika kutafuta sheria iliyotunga agency hiyo. Nilitaka kujua pia majukumu ya agency hiyo kisheria; nimetafuta pale Bunge nikachoka na kukata tamaa. Ila nina wasiwasi mkubwa sana na legitimacy ya invoice hizo alizoonyesha Kinana na uhalali wa matumizi ya ndege hizo kwa shughuli za binasfi; nilikuwa ninaamini kuwa ndege zile zinakodishwa na wizara kwa shughuli za kiserikali tu, ila nilitaka kujiaminisha kwa kusoma sheria inasemaje.

Kilichonishangaza zaidi ni lile pengo liliopo baina ya invoice hizo mbili katika kipindi cha wiki mbili tu ukichukulia kuwa wao wanaandika invoce zao kinyume nyume, utadhani kuwa Agency hiyo ina biashara nyingi sana kiasi cha kuwa na wateja zaidi ya 500 kwa wiki!!
 
Za Mwizi ni arobaini ! Wamezoa kughushi hadi kufikia hatua ya kusahau "tactics" WT*?
 
Kilichonishangaza zaidi ni lile pengo liliopo baina ya invoice hizo mbili katika kipindi cha wiki mbili tu ukichukulia kuwa wao wanaandika invoce zao kinyume nyume, utadhani kuwa Agency hiyo ina biashara nyingi sana kiasi cha kuwa na wateja zaidi ya 500 kwa wiki!!

Hawa jamaa hawana ahata aibu!!!!!!!
 
Risiti Number 868727 Imetolewa Tarehe 31/08/2010
Risiti Number 867609 Imetolewa Tarehe 14/09/2010

Kitabu cha Risiti kinaandikwa kinyume-nyume!
 
La! kwanza hilo la receipt number - wameghushi, pili hivi ni kweli ndege hiyo imekodishwa karibu mara 1,116 kati ya walipokodi mara ya kwanza na ya pili? tatu, receipt zote za serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa ni ndogo - kama slip na zinalingana - mimi ninazo hizo ukianzia kwenye malipo ya leseni, passport, n.k. na rangi yake ni kama reddish hivi (mimi si mzuri katika rangi). Nne, hii ndege ukute inabeba na bidhaa haramu. Au anachoonesha ni proforma invoice?

Kwa kifupi mianajeshi mingi aina busara!!!!!!!!!!!
 
Mkuu sema labda kwa sababu hii ni hati ya madai (invoice) ndiyo maana iko hivyo! Je wanaweza kutuonyesha hati ya malipo pia??????????????
 
Kwa TGFA kukodisha ndege hilo halina tatizo; wanafanya hiyo biashara. Lakini hizo zinazoonyeshwa ni bill, sio risiti za malipo-kama wamelipa waonyeshe risiti ya malipo. Unaweza kupata bill na ukalipa baadaye au usilipe. Kwa mimi kilichoonyeshwa sio ushahidi kwamba huduma imelipiwa!
 
Kama wahasibu wa wakala wa ndege za serekali ni wajinga hivyo, then kuna kila sababu ya kuamini kuwa hata fedha za serekali zinapotea kwa sababu ya ujinga huo. Hiyo invoice ilivyoandikwa inaonyesha vitu viwili, kwanza ni ya kuforge, au aliyeandika ni kihiyo. Mfano kaandika hivi "Being cost of hiring charges......... cost of hiring charges, what the hell is that?

Halafu kama CCM ndio walikodisha, kwa nini waandike 1st Lady. Hivi Kinana alizichunguza hizi documents kweli kuona kuwa zina vigezo kuonyeshwa kwenye public? Kwa sababu hata mtoto mdogo atajua kuwa hizi risiti ziliandikwa siku moja na mtu mmoja sema tu katumia kalamu tofauti na kulaza mwandiko kwenye risiti moja na kusimamisha kwenye risiti nyingine. Halafu nadhani receipt books na proforma invoice books ni vitu viwili tofauti, sikuwahi kujua kama serekali inatoa proforma, ninachojua inatoa risiti, sasa mbona hizi zote ni kitu kimoja?

Halafu ccm ilivyolipa kwa shilingi, walitumia exchange rate gani? kwa kuwa invoice ilitolewa in USD Dollars, I am so worried kama kweli nchi hii inaongozwa na jenge la majambazi kiasi hiki, this is very very scary!! Kinachoniuma ni kuwa hili jambo litapita hivi hivi tu bila kuwa challenged, really? oh poor Tanzania
 
That is my concern too!!!!!!!!!!
 
Hapa huyu msomali haja-prove chochote, maana yeye ametuonesha Hati ya Madai ambayo kama sikosei ndiyo invoice. Sasa hati ya madai ni instrument unayopewa kwa ajili ya kutekeleza malipo. Tunachotaka atuoneshe ni Hati ya Malipo au receipt ambayo kwa mpangilio wa serikali inatakiwa kuwa ya rangi ya orange kama sikosei. Hapo haja-prove kwamba CCM wamefanya malipo, bali ni proof kwamba CCM wanadaiwa. Those are two different things.

Sasa tukija kwenye issue ya invoce numbers kuwa kinyume-mbele, hapo tena ni text book CCM. Unakumbuka madudu waliyofanya wakati wanatoa fedha za EPA? Kufungua accoutn ya benki on New Year Day n.k? Hawa jamaa hawajifunzi?
 
Jamani hebu tuulize hivi ni Demokrasia au wanatufanya wajinga! Demokrasia ya kufika sehemu ndege ya raisi inakodishwa kweli huyu atakuwa raisi au takataka!!!????
 
Wakuu kwa hisani ya wavuti.com, Kinana ametoa baadhi ya risiti za kukodi ndege kwa ajili ya mama Salma. Yaani wameingia wenyewe, baada ya kuwa provoked kidogo tu na Dr. Slaa. And now is an open proof that CCM is out of touch! And they deserve to be vote out for good.

My Take:

1. Kama huyu mama anatumia $15,000 for only 5 hours flying kumkampenia mumewe what about mumewe tunayeambiwa sasa hivi anatumia helikopta tatu?????????

2. Mama Salma ni nani kwenye CCM mpaka they dare to go this far? I would have thought Mwinyi, Mkapa wangetumika kwa kampeni of this high standard in Tz terms.

3. Nyerere angekuwa hai CCM wangethubutu kufanya ujinga huu?

4. Hizo risiti si "magumashi" kweli???????

5. Wakuu naomba tujumuishe na zile picha za Tanzania zaidi ya uijuavyo

kikwete sasa hamwamini mtu yeyote zaidi ya Shehe yahya, Ridhwan, Mkewe, Kinana, Salva na Makamba!!!!!!! wengine wote hawaaminiki hata kiduchu ingawa wanajipendekeza kwake.
Maji yako shingoni, amebakia kuyanywa tu.

Dr. Slaa kanyaga twende tarehe 31 Octoba si mbali
 
kwa juu imeandikwa kwa kiswahili ''risiti ya madai''

serial No za tarehe 28 ni zinatofautina na za tarehe 31

gharama ziko katika $

Huu ni wizi na amegushi

NB: naweza kwenda kufanya tafrija ya ubarikio wa mwanangu pale viwanja vya ikulu jpili? maana vitu vya serikali vinakodishwa
 
This is not about Kikwete...I've said about this now and again kuwa CCM is a wrong party...hiki ni chama cha wanyan'ganyi, mabepari wanyonyaji...kura yako usiipe CCM na mgombea yeyote wa CCM, asilimia 50 ya watanzania wakifikia hapa basi hayo yote yatapunguwa kama si kwisha kabisa.
 
Pesa za mishahara hakuna ila ya kukodi ndege kwa salima kwa usd 15,000.00 zipo hata wahisani watatuelewa kweli? Hivi angepanda precision kwenda mwanza angebadilika nini? Huo sio ubadhirifu kweli wa mali ya umma, ccm hata wakisema hizo pesa sio za serikali, na pia si zao ni za wanachama ambao ni wananchi wanaoshindia mlo mmoja?ukweli utapatikana.

Naninachokiona hapa ni hati ya madai na sio risiti kwa kuwa risiti za serikali ni za rangi ya njano zinaitwa exchequre watuonyeshe hizo sio hizo za madai kwani deni pia waweza usilipe
 
Nadhani Kinana /CCM wamekurupuka. Alichoonyesha Kinana si HATI YA MALIPO, ni HATI YA MADAI. Inaonyesha kuwa malipo hayajafanyika. Pia inaelekea kama watu wangekaa kimya hawa jamaa wa ndege za serikali WASINGE DAI CHOCHOTE. Nahisi baada ya kelele wakakurupuka na kundika kuwa wanadai. Kwa hiyo utaratibu haukufuatwa. Ilibidi CCM ipeleke maombi (Resquest Note /LPO) amabayo yanaelezea mpangilio mzima wa safari za huyu mama mfujaji na ndio wao watoe HATI YA MADAI (Invoice).

Halafu inakuwaje Serikali inatoa INVOINCE kwa sarafu ya marekani (yaani US$ ????????????)

Kinana umetudanganya.
 
Kinana alisema jana kwamba Mama Salma anafanya kazi nzuri sana kwa CCM na mikutano ya kampeni anayofanya ni ya "ndani" sio ya hadhara. Mimi nadhani tuachane na hili kwani sidhani kama litampunguzia kura Dr Slaa. Urais ni TAASISI ambayo familia ya Rais huwezi kuitenganisha nayo. Afya ya JK ni mgogoro na huyu mama analijua zaidi hilo na mjue tu kwamba ana-play role kubwa zaidi ya hiyo mnayoiona kwenye majukwaa.
 
Back
Top Bottom