Uko wapi saivi?

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Wapo ambao wakiona picha hii wata umia,na wapo watakao furahi
kutokana na status ya mahusiano yao na wenzi wao.
Sijui wewe uko wapi,kama uko A,B au F una fanya nini
ili usifike kwenye C,D,E,G,H?

Na kama uko C,D,E,G,H una fanya nini ili urudi kwenye A,B,F?

Hauja chelewa,anza sasa.
310472_443245309048286_1724335808_n.jpg
 
jamani nijuavyo kuna muda mnakuwa wamoja kwa bed kisha mnapeana nafasi ili kila mtu apumzike uzuri. huwa naanza na A,B Kisha F. halafu ninakwenda kwenye C,D na E. Mara chahce sana G inahusu hasa kama game lilikuwa la ukweli nikachoka sana.
 
Hahahaaahhhaa! LOLEST!!!! Mimi ikifikia D tu nasepa zangu mapema, coz huko kunakoendelea ni kama kujichosha tu!!!!Mapenz nionavyo BINAFSI ni kama Market Growth Theory, Yakianza yanakuwa in INFANT STAGE ambapo 1.anything is possible, 2.kila mtu anamuona mwenzie ndo maisha, 3.Full of hope and prospects. Tukifika MATURITY STAGE hapo Hapo sasa ndo 1. taking each other for granted, 2.Doubting your choice ya kuwa na mwenzio, 3. Continuous investigation zinaendelea. mwisho ndo mpango mzima wa DEATH STAGE ambapo 1. Kila analofanya mwenzio baya, 2. Small house ndo zenyewe. Sasa wale tunaojua theory hii ikifika matury unasepa kuatafuta mtu mwengine wa kuanzisha nae infant stage. Life is short bana!!! NANI KANUNA!!!!!! LOLEST!!!!!
 
Back
Top Bottom