Uko wapi now na uko na nani?

Madam Lizzy wewe ulikuwa wapi na uko wapi now na uko na nani, sikuoni siku hizi? Uko kwenye fungate nini?
 
Pole sana. lol. French is not an easy language to learn from English, ila kama mtu anajua french kwanza, kujifunza English seem so easy... :)
Napenda tambi sana, hata juice, share some with me (naogopa lakini, hivi kwa nini unakula this late? au haupo TZ?)

Itabidi nije kuchukua darasa kwako, napenda nikisikia mtu anaongea!! Hahah unaogopa nini Roulette......mie nipo TZ kama kawaida, sema tu sometimes mambo yanachanganya mpaka najisahau though kiukweli mie ni mvivu sana kwenye suala la kula tena kama nisipohisi njaa ndo kabisa!!! Lol.....next time nikipika tambi nitakurushia kwa bluetooth!
 
Ni michoro mizuri mno... imechorwa kwa kupanga vipande vidogo sana vya glass/brushed stone vyenye rangi mbali mbali, hio picha ikiisha hunga fulani na huwezi dhani ni vioo vimepangwa bali kama imechorwa... kama umewahi ona picha maarufu ya "Monalisa Smile" kuna moja na mosaic. huwezi amini. Utanisamehe... uroho umenizidi lol

Okey kitu ka nishamkuta mtu anaangalia ila hata sikuijali....!! Anyways......we endelea tu na uroho wako mwaya, mie wala nisikusumbue! Kipipi hayo mambo ya sijui movies, yashampitia pembeni kabisa lol!
 
Me niko home with ma'wife na kadaughter ketu hapa tuna enjoy!
 
Jana wakati unaweka hii thread nilikuwa naangalia mpira wa Chelsea na Man City
Ila kwa sasa niko naenda kutafuta msosi nile nikalale
 
Eti jana kuna watu waligombana na wapenzi wao kwasababu ya mechi. Mindoo maana sijaenda jana. Niko home now na dogo hapa tunasikiliza injili.
 
Kweli hii jamii imepotoka, Dah! watu wanataja sehem za ajabu ajabu tu
Mimi niko nyumba ya ibada apa namlilia Mungu
 
Nipo kitandani.. Planning my tomorrow's schedule! And checking whats been happening hapa jf.. Before i sleep..!
 
Back
Top Bottom