Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,664
Kwa wale tunaokuwaga busy kwa vishughuli vya hapa na pale mpaka tunasahau kula......ndo mida ya sosi hii, karibuni!!!
That is French... unakula nini?Roulette kuna lugha moja vile uliiweka hadi kwenye signature yako! Ndo inaitwaje??
1745, Germain Baufran (architechte du roi) was restauring the castle of Aroue, in France. kulikua na statues, mosaics na mengine.
I see madame is a connaisseur... lolThe best Mosaics are in Egypt, France and German... Hua nikiangalia the most beautiful ni za France... Hizo mosaics za miaka ya 1700's mara nyingi ni makanisani na castles za Royal families.... Beautiful.
We nae kwa collections haujambo! Lol......ndo manini sasa hayo??
That is French... unakula nini?
That is French... unakula nini?
Pole sana. lol. French is not an easy language to learn from English, ila kama mtu anajua french kwanza, kujifunza English seem so easy...Nakumbuka nilikuwa nakwepa kufanya kazi pindi ninapotoka shule jioni.....hiyo lugha ndo ilonifanya niwe najishikiza japo jikoni mradi nisiende kusoma..kwakuwa mwalimu alikuwa anakaa nyumbani!! Niliisoma few days tu wakati nipo form one...then nikaikimbia!!! Btw, mi nakula tambi na juice karibu!
haina majotroooHabari yako bana?
wa just peruzzing this jf pitchShe is in her room, alituaga 20 min ago, Dad akasema anamalizia hii documentary. Wewe uko wapi?
Khaaaaa!Mi nimelala fofofo! Hapa naota nachangia mada JF!