Uko wapi now na uko na nani?

Niko sebuleni nyumbani kwa wazazi wangu, my dad is the only person sebuleni with me, anaangalia documentary ya antique mosaics, mimi nafata kwa mbali, but I am on JF zaidi. From time to time we talk. I feel happy :)
 
RR
Where is yr mom......?
 
Nasubiri mvua iishe niende zangu cross country. Kwa sasa kahawa, JF na CI.
 
Niko na Mama mwenye Nyumba, tunapeana Nyumba! Taaaratiibu.
Note : Mama mwenye Nyumba not Landlord ni Mamie wana.
 
Niko sebuleni nyumbani kwa wazazi wangu, my dad is the only person sebuleni with me, anaangalia documentary ya antique mosaics, mimi nafata kwa mbali, but I am on JF zaidi. From time to time we talk. I feel happy :)

Alter do me a favour sogea kwa babako niambie anaangalia antique mosaics za wapi na muulize kama ni century gani... Pleeeeease!
 
Kwa wale tunaokuwaga busy kwa vishughuli vya hapa na pale mpaka tunasahau kula......ndo mida ya sosi hii, karibuni!!!
 
Alter do me a favour sogea kwa babako niambie anaangalia antique mosaics za wapi na muulize kama ni century gani... Pleeeeease!
1745, Germain Baufran (architechte du roi) was restauring the castle of Aroue, in France. kulikua na statues, mosaics na mengine.
 
Back
Top Bottom