Uko tayari kuwa mama wa kufikia/kambo?!

Afu bora huyo mtoto awe wa kiume. Wababa wengi wana mapenzi yalopitiliza kwa watoto wao wa kike. Which is natural. Akiwa mwanao ukiona baba ana mspoil utavumilia; na labda unaweza hata ukafurahia. Lakini kuna watu nawajua wanafikia kukasirikia kitendo cha waume zao kuwa na attention zaidi kwa watoto zao wa kike. Sasa nambie mtoto huyo si wako. Ndo hapo mtu anamchukulia mtoto kama mke mwenzie. Kazi kweli kweli. Je wewe kama baba utaacha kuonyesha mapenzi kwa bintiyo usimchukize mkeo? Je utampenda tu mkeo atajiju???

Maana kuna wanaume kila unapomkuta amemkumbatia bintiye. Lol.
 
nyumba kubwa, mie awe mtoto wangu au si wangu, binti akishafikisha miaka 10 sikubali akumbatiane na baba yake.

Naona kama sijawa tayari kulea wanangu katika utamaduni wa kimagharibi kwa kiwango hicho.
Kumpenda mtoto ruksa as long as haingilii malezi bora ya mtoto. Hivi unaweza mwonea wivu mtoto kwa baba yake? Kiaje?

Last edited by a moderator:
Mimi sina mtoto wa kike sina jibu la hapo kwenye bold. Lakini hicho kitu kipo labda wanaofanya hivyo wakiwa tayari kufunguka na kutuambia sababu.

Kuhusu kukumbatia mtoto wewe hupendi kwa nini au ndo wivu wenyewe.Lol.

Na kama uliruhusu akiwa mdogo utaanzaje kumwambia mmeo au mtoto kuwa sasa basi una miaka 10???

Kiuhalisia au kimtazamo wangu, makabila machache yalikuwa na mila ya kukumbatiana.
Na kati ya binti na baba yake huwa hata kama wanapendana sioni wakikumbatiana.

Na mkumbatio hata kati ya baba na mama ulikuwa haufanyiki hadharani au mbele ya watoto.
Ilikuwa inachukuliwa nama kitu cha faragha kukumbatiana, sasa nikimruhusu mtoto amkumbati baba, je wakafanye faragha au hadharani wakati mie mwenyewe namkumbatia tukiwa wawili tu?

Kwangu sio wivu, ila haikai sawa machoni kwangu.
Mimi sina mtoto wa kike sina jibu la hapo kwenye bold. Lakini hicho kitu kipo labda wanaofanya hivyo wakiwa tayari kufunguka na kutuambia sababu.

Kuhusu kukumbatia mtoto wewe hupendi kwa nini au ndo wivu wenyewe.Lol.

Na kama uliruhusu akiwa mdogo utaanzaje kumwambia mmeo au mtoto kuwa sasa basi una miaka 10???
 
Hii mada ni ngumu kuliko tunavyofikiri. Kwa yale niliyopitia kwa mama wa kambo...niliapa kamwe sitazaa kabla ya ndoa, na namwomba Mungu anipe mume asiye na mtoto. Si rahisi kulea mtoto wa mwenzio kama wako, huyo wa ndugu yako wa damu tu ni shida. Mama waweza kuwa mwema lakini watoto na mume wasione, kuna watoto nao ni vimeo.. Kuna mambo mengi sana juu ya hili.
 
Wanaume wasiokuwa na watoto ni adimu sana siku hizi mithili ya bikra ya mwanamke mwenye miaka 20!
 
Afu bora huyo mtoto awe wa kiume. Wababa wengi wana mapenzi yalopitiliza kwa watoto wao wa kike. Which is natural. Akiwa mwanao ukiona baba ana mspoil utavumilia; na labda unaweza hata ukafurahia. Lakini kuna watu nawajua wanafikia kukasirikia kitendo cha waume zao kuwa na attention zaidi kwa watoto zao wa kike. Sasa nambie mtoto huyo si wako. Ndo hapo mtu anamchukulia mtoto kama mke mwenzie. Kazi kweli kweli. Je wewe kama baba utaacha kuonyesha mapenzi kwa bintiyo usimchukize mkeo? Je utampenda tu mkeo atajiju???

Maana kuna wanaume kila unapomkuta amemkumbatia bintiye. Lol.
kweli kabisa, mimi baba yangu ananipenda mpaka mama ananiita mtoto wa baba, na sometimes nahisi nampa baba wakati mgumu kama kuna kitu anatakiwa achague kati yangu na mama.............na naona watoto wa kiume walivyo karibu na mama.
kwa hili shida ipo ila inatakiwa tu pande zote mbili zikubaliane na hali halisi ila baba asimtetee mtoto wa kike mbele ya mke wake mana atampa yule mtoto bichwa.
 
watoto kama ni wa kiume hawatampa shida mama wa kambo ila kama ni wa kike shida itakuwepo..........muhimu mke na mume muwe na msimamo mmoja lakini mmoja akionyesha kulega lega basi ndoa itakuwa ngumu kama nyie wawili mtashindwa kuelewana vizuri katika kuwalea hao watoto.
 
Watoto wa kike wanampaje shida mama wa kufikia?Hebu fafanua hapo!
 
Mie nimeolewa nikamkuta mumewangu anawatoto wawili wamechwa na mama yao wakiwa na umri wa miaka3 na mwengine miezi 10 na sababu kubwa nilikua nawaonea huruma wale watoto vp mwanamke unagua na moyo wa kiume kumuachia mwanamme watoto wako wadogo sababu anasema atalijua jiji,leo hii watoto wako 16 na 13yrs nawapenda sana na watoto wangu wanajua kama wale ni dada na kaka yao wa kwanza na sijawambia kama sio mama mmoja,mama yao watoto nilimpigia cm nikamwambia njoo uwaone watoto alinambia usione raha yakulala na baba yao ujue na raha yakulea pia unao hao nilishangaaa! lakini nimezowea na maisha yanakwenda,sasa ukipenda boga upende na majani yake...
Hongera shosti,manake mwanamke mwenzio kukusomea mbovu ukakakimnya jina lako linafanana na upole wako.
 
Eiyer sio kwamba natarajia ila nimeshaona kwa wengi kwamba watoto wanapokuwa wakubwa na mama yao bado yu hai sio rahisi sana wakamheshimu mama wa kambo automatically. Kwa maana ya kuwa, wengi hua trained na mama mzazi kutomheshimu mama wa kambo. Hivyo wanahitaji kuonyeshwa kwamba hiyo heshima ni muhimu ili familia yote iwe na furaha. Ndio maana ntajitahidi/hakikisha tunaelewana lugha. . .na hilo likishindikana basi lazima maisha yatatuwia magumu, especially kama baba yao nae wanamwendesha tu.

Katika suala la watoto kuwa trained na mama yao mzazi mara nyingi huwa linatokea,utakuta kuwa mama ambaye yupo ndani hana matatizo kabisa na watoto,lakina mama yao akianza mazoe ya kuja mara kwa mara utakuta watoto wanaanza kuto kumuheshimu mama yao wa kambo.na hii yote inatokana na wanawake wengi kuto kujiamini na kuamini ya kuwa watoto wake wanateseka,au utakuta mama anaanza kuwajaza ujinga watoto mara hoo huyo mama yenu ni mtu mbaya sa hiyo yote ni kutaka kujenga chuki kati ya watoto na mama yao wa kambo hata kama huyo mama anaishi vizuri na hao watoto.katiaka suala hili wenyekuleta mataizo zaidi huwa ni wamama wale walio achika huwa na visilani sana.
 
Bnafc cko tayar kumuacha mwanangu alelewe na mama wa kambo coz nina xperience na hilo.na naamin kua hakuna anaeweza kumpenda mtt wa m2 km anavyowapnda wanawe.lazma atawapndlea watt wke kwa kila ki2.
 
hii inategemea sana na uelewa wa mtu na mtu na pia makubaliano kat ya wanandoa. kuwa mama wa kambo inawezekena iwapo mama wa mtoto/watoto hayupo karibu sana na wanawe. pia co msumbufu na mkorof. mf.kuna family 1 mama aliolewa akakuta mumewe ana watoto wa4 kila mtoto na mama yake,bt yule mama aliwalea wale watoto kwa upendo na ukifika huez aman km co wanawe.so inategemea mtu na mtu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom